Safari yangu Jijini Arusha na niliyoyakuta

Toa location (ramani ya kufika)
 
Vile nikipewa uteuzi na mama katika huo mji vitakuwa vya kwanza kuvifuta kabisa safari za mjini.

Labda vitumike kubeba wanafunzi tu,tena wakiwa katika unifomu zao.
Tatizo hata hizo Costa chache zilizoanza kupiga ruti mjini madereva wake wamezidisha bangi, nidhamu kidogo kama wanavyofanya ruti za moshi
 
Nipe location ya hapo mkuu
 
Machalii wanachanja veve kama wako 254 yaani maderee wote wanachanja veve kuanzia saa kumi jioni....hizo stori zao sasa wakipata handas...
Utasikia hivi unajua Bob Marley asili yake ni mchaga wale kina Mallya au Benson ana pesa sana Bakhressa na Mo hawasogei...
🤣🤣🤣
 
Tatizo meno yao bana.. hivi hakuna namna wakasaidiwa kupunguza ama kuondoa kabisa hilo tatizo.

Sijamuona mkuu huyu mwarabu.

Baridi ipo lakin jamaa wamezidi uoga wa baridi.
Ulizia demu yeyote Malaya hapo kuwa mwarabu Yuko wapi.
Pia Kuna mchaga mmoja anaitwa Airene ni mzuri kinouma.yaani paja sura kifua Kama chote. Smt huwa najiuliza ni kwa Nini mademu wazuri ni Malaya wanajiuza ni mabaamedi ama ni wadangaji rejea kwa mamisi ama wanamuziki ama wasanii wenye ndoa ni kuwatafuta na torch ya watt 90000.
Ila ninavyohisi ule uzuri wao wanababaika wakiwa wadogo wanarubuniwa naa wenye pesa magari majumba mazuri tayari hao Wana familia zao sema wanastarehe.
Ukienda wewe anakuona kinyaa zaidi ya mzoga ulioza funza wamejaa.
Unapanda daladala yeye anapandishwa benzi anapelekewa hotel Kali za kulipia laki 5,
Anakuja kushtuka hajui baba wa mtt Mara alikuwa anasterehesha wanaume.
Anarudi kwako mliyekuwa mnasoma naye umeshaoa maana muda huo alikudharau.
Yaani binti wa olevo anaongea kiujasiri kabisa Sasa mwenzangu anapewa hela Kama mie nitembee naye wa nini.atanisaidia Nini.
So anaamua kuwa Malaya mazima anadanga mtandaoni,dating za babu wa kizungu Ila hapati
 
Si uoga wa wa baridi..
Mwili unaweza kuathirika ukidhani husikii baridi..
Hivi vitu ni vya kibaiolojia zaidi..
Binafsi "najijaladia" mwaka mzima..


Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
 
Hapo kwa madereva wa daladala kwakweli ni kero kubwa mno.. Anaweza simama hata katikati ya barabara kupakia abiria.. Watumiaji wengine wa barabara inabidi msubiri. Vituo vya kupakilia abiria havizingatiwi hata kidogo,
Dereva anasimama popote hata kama kituo kipo mita moja mbele.. Ukizingatia na vi barabara vyenyewe vilivyo vyembamba.
 
Hahaha inaitwa "kutoboa bomba" akipiga stata Kama uko hapo karibu unaeza anguka na presha. Machali bhana wanafeligi sana
 
Tatizo hata hizo Costa chache zilizoanza kupiga ruti mjini madereva wake wamezidisha bangi, nidhamu kidogo kama wanavyofanya ruti za moshi
Kiukweli masuka wa hapa, wakitupia majani yao barabarani wako vizuri hukuti ajali hovyo hovyo barabarani
 
"asee chalii yake si ni nimembutua deree, kila nikimmanya anaongea nfa nfa nfa, nikaona huyu ni nte"

Huyu mjinga alikuwa ananiambia hizi stori mtaani kwao hapo Esso, hata sikuelewa yaan
Haaaaa halaf ni kawaida sana kukuta mtu na mpenziwe wakiongea hizo lugha, zile lugha za malovee kama wengine huko hamna
 
Dah umenikumbusha mwanama aisee nilikaa kidogo sana hapo time naingia chuga nikiwa na swaga zangu za kibongo.
Ujanja wangu uliishia hapo. 😢😢watu Wa chuga sio Jamanii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…