Safari ya Tanga Dec.28-30

Safari ya Tanga Dec.28-30

kwa waliopo tanga naombeni muongozo mie nipo arusha nitatangulia tanga kwa anko kabla ya tarehe husika inamaana muda huo utanikuta huko je munakutana maeneo gani?na kuna mpango wa ziada uliopangwa kama usafiri wa kukodi,ulaj,malaz,nk vya pamoja
 
mbona mwaka mpya hautakua umefika CUTE....twenzetu Tanga bhanaaaa
yani kuanzia tar 20 mm naanza kulipuka kuukaribisha mwaka mpya ...mpaka tar inafika inanikuta mm mzuka mbaya ....tanga kunani jamani watu8
 
Last edited by a moderator:
kwa waliopo tanga naombeni muongozo mie nipo arusha nitatangulia tanga kwa anko kabla ya tarehe husika inamaana muda huo utanikuta huko je munakutana maeneo gani?na kuna mpango wa ziada uliopangwa kama usafiri wa kukodi,ulaj,malaz,nk vya pamoja

angalau umeuliza
 
Mipango yote inafanywa Arusha. Wasiliana na waliopo Arusha kabla hujaenda huko.
 
yani kuanzia tar 20 mm naanza kulipuka kuukaribisha mwaka mpya ...mpaka tar inafika inanikuta mm mzuka mbaya ....tanga kunani jamani watu8

twenzetu tukauauendeleze huo mzuka wa kuukaribisha mwaka baada ya xmas...huko itakua full kula bata hadi kuku nao wajifunze kuogelea....halafu uzuri siku ya mkesha wa mwaka mpya tutakua tushageuza
 
Last edited by a moderator:
Karibuni Ta Wadau mmjekuogelea kwenye bahari iliyotiwa iliki
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom