Michael Scofield
JF-Expert Member
- Jul 30, 2011
- 1,225
- 471
Mkuu kwa Maslahi Binafsi atasaport tu,
Kwanini asingemtuma Makamu wake wa Chama/Katibu Kumwakilisha?
Tena ukiondoa wenyeji, marais waliofika ni Robert Mugabe wa Zimbabwe kwa sababu nchini kwake yuko hoi.
Jakaya Kikwete wa Tanzania kwa sababu hana shughuli muhimu ya kufanya nchini mwake.
A.N.C Imewakilishwa na katibu mkuu.
Angola imewakilishwa na makamu wa pili wa rais.
Msumbiji imewakilishwa na katibu mkuu.
Viongozi wetu wa kiafrika wanaubinafsi mbona sikuwasikia KANU, ZANU PF?
Naona wanajiwekea mikakati ya kupeana hifadhi za kisiasa kikinuka. na tuwatimua kwa nguvu ya umma tu.
Pius Msekwa hii ndio ilikuwa shughuli yake au angemtuma Dk Shein basi, au Bilali........!
aagh! napatwa na ghadhabu................... na mtu huyu.