Tatizo lako una ujuaji ambao hauna tija wala faida, labda nikuelekeze kipindi kile mwaka 2006, njiapanda ya kuelekea Kilombero kulikuwa kuna njia ya train ilikuwa imepita pale kama mita 30 kulikuwa kuna kituo cha Mapolisi kupumzikia sasa sijui hapo unakuwa unasema nimedanganya . Punguza ujuaji halafu huo sio ujanja wala nini 😀😀😀Kuna kipande cha kupanda gari za Iringa katupiga..!! Mikumi kituo cha polisi hakipo porini. Kipo maeneo ambayo watu wanaishi na ni umbali mkubwa kutoka hifadhini..!!
Ngoja nikushike uongo sasa… 😹Tatizo lako una ujuaji ambao hauna tija wala faida, labda nikuelekeze kipindi kile mwaka 2006, njiapanda ya kuelekea Kilombero kulikuwa kuna njia ya train ilikuwa imepita pale kama mita 30 kulikuwa kuna kituo cha Mapolisi kupumzikia sasa sijui hapo unakuwa unasema nimedanganya . Punguza ujuaji halafu huo sio ujanja wala nini 😀😀😀
Kashachemka tayari boss wako..!!Atakuja ku clear kwenye re-examination kaa kwa kutulia
Hahahahaaaaa hawezi kuniangusha.... anajipangaKashachemka tayari boss wako..!!
Hiloooo nimekushika uongo 😹😹😹Achana naye huyo kwanza hataki Cross check naye huwa sipendi 🤣
Jeuri hiyo huna ni vile nimekukamata..!Huwa hata ku interact na wewe sitaki , haya umenishika uongo sawa basi
Mbona naona vimaboksi mkuu.....
Badilisha simu.. Hiyo unayotumia kuna siku itakulipukia..!! 😹😹Mbona naona vimaboksi mkuu.....
Hahahaaaaa kwanza yananikera sana.....Badilisha simu.. Hiyo unayotumia kuna siku itakulipukia..!!
halafu unataka tena uje ureply na comment yako ya chai.... Kama ni wewe unajisikiajeJeuri hiyo huna ni vile nimekukamata..!
Haya acha kususa susa mtoto wa kiume..!!
Shusha episode inayofata basi
Mkuu usimalizie hadi The Day of the Jackal itokeHuwa hata ku interact na wewe sitaki , haya umenishika uongo sawa basi
Fanya kama The boldHiyo The day of the Jackal ni kitambo sana aisee....
Nitamalizia usiku kuandika part 2
Ipo siku utamchoka tu na ndio maana watu ambao hutupendi migogoro kwenye mambo laini kama haya huwa hatutakagi interaction naye kabisa.halafu unataka tena uje ureply na comment yako ya chai.... Kama ni wewe unajisikiaje
Ubinadamu kazi..... Kila mtu ana mtazamo wake!Ipo siku utamchoka tu na ndio maana watu ambao hutupendi migogoro kwenye mambo laini kama haya huwa hatutakagi interaction naye kabisa.
Hata kama ni uongo kipi kinachomuumiza ? Who huwa wanaandika mambo ya faragha hadharani lakini huwa tunapita tu bila kutia neno.