Kansigo
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 2,670
- 2,156
Amejenga kilometer za barabara kuliko rais yeyote katika historia ya Nchi hii. Amejenga shule za sekondari kuliko rais yeyote katika nchi hii. Amejenga vyuo vikuu vingi kuliko Rais yeyote katika nchi hii (udom, mloganzila,katavi, Butiama etc.
Aliimarisha uhuru wa kujieleza na demokrasia kuliko rais yeyote Tanzania! Aliyaimarisha majeshi yetu kwa vifaa na maslahi kuliko raisi yeyote! Ameacha MoU kuhusu standard gauge na China, mradi wa DART, REA etc. Wanafunzi kwa maelfu walipata mikopo na ajira!
Ameifanyia mema mengi nchi hii ni muda wake wa kupumzika, ni muda wetu wa kushow our appreciation kwake!
Twendeni tukamsalimie mzee Jakaya Kikwete Msoga xmass hii.