Safari ya kwenda kumsalimia Jakaya Kikwete huko Msoga wakati wa Christmas hii

Unasahau kuwa yeye ndiye aliyetuletea tuliye nae

Mkuu Bramo,

Wala si yeye, kilichomkumba Jk ndicho kilichomkumba Bm mwaka 2005. Jk hapana shaka alikuwa na Membe, Kishindo cha kufanyiwa figisu Mzee Lowassa,kikaondoka na BM na kumuacha Yohana akipeta sababu Jk asingeenda na Marope wala Yule bibi aliyeingia tatu bora.

Kwahiyo utaona ni Zari tu lililomuangukia Yohana maana kwa kinywa chake mwenyewe mara kadhaa amesikika akisema "Hakujipanga wala Kupangwa!" kubeba huu mzigo ambao kwa Maelezo yake ni Mzito.!! So hizo lawama muondolee tafadhali kwani hastahili.

Hili wazo la kumtembelea linaniingia taratibu ingawaje halijaainishwa vizuri, Pengine hata mleta Mada hakuwa siliasi. Wazo liwekwe vizuri liwe na kitu ambacho kila atakayesoma atavutika kufanya.

Nakuja baadaye kwa maoni zaidi

BACK TANGANYIKA
 
Hata kwa mtutu siwezi kumwomba msamaha JK kwa mambo aliotufanyia bongo!! Bora tukomae na MR POMBE Mara mia !!! MTAZAMO TU
 
Wana JF habarizenu. kwahatua hii tuliofikia ya nchi yetu inaoneshawazi sasa tupo ktk halingumu kutokana na kuomba na kupatiwa mkopo wa 360Bil ktk Benk ya Afrika. Mh wetu nakumbuka alise kwa utajili tuliokuanao hatupaswi kukopa bali tuje kukopwa sisi leo hii cjui tumekwama wapi mpaka tunalamba matapishi yetu au zilikua njia tu zakumchafua JK?. Tulimsifu sana Pogba mpenda sifa naikapelekea kumuona MH: JK mlanguzi, Baba JK mimi nakuoba msamaha kwa jinsi nilivyo kuhukumu kukuona si lolote si chochote. Amakweli nimeamini usimtukane mamba kabla ujavuka mto[JK shikamooo]
Badooo
 
Amejenga kilometer za barabara kuliko raisi yeyote katika historia ya mchi hii. Amejenga shule za sekondari kuliko raisi yeyote katika nchi hii. Amejenga vyuo vikuu vingi kuliko Raisi yeyote katika nchi hii (udom, mloganzila,katavi, Butiama etc.Aliimarisha uhuru wa kujieleza na demokrasia kuliko raisi yeyote Tanzania! Aliyaimarisha majeshi yetu kwa vifaa na maslahi kuliko raisi yeyote! Ameacha MoU khs standard gauge na China, mradi wa DART, REA etc- wanafunzi kwa maelfu walipata mikopo na ajira! Ameifanyia mema mengi nchi hii ni muda wake wa kupumzika, ni muda wetu wa kushow our appreciation kwake! twendeni tukamsalimie mzee Jk msoga xmass hii
Mnyika atakuwemo kwenye msafara?
 
Sawa,lakini Christmas,weekend hii ni mapema sana. Wakati wa Pasaka ndio mzuri.
JK anaishi Dar. Hiyo safari ya kwenda kwake labda ni rahisi kuliko unavyofikiria.
 
Propaganda za kipumbavu kabisa. Badala ya kumuita yeye aje atuombe radhi sisi unataka wewe na wenye njaa wenzio mumtafutie sifa za kijinga ambazo hakuwah kuwa nazo. Na wewe ni masalia ya watu wa hovyo walioachwa na huyo unayemtaja. Hovyo kabisa.
Kweli wewe ni chizi, tena siyo maarifa, wewe ni chizi bwege kabisa.
Si mlisema kila mwezi mnakusanya sh trilioni 1 TRA pekee?
Na pesa za serikali mkazitoa kwenye mabenki binafsi na kuzipeleka BOT eti zikikaa huko benk binafsi zitaibiwa na waliokuwa wakizitunza mkawafukuza na kazi...
Sasa mmepeleka wapi Hizo pesa zote hadi mnakopa bilioni 360 tu?
Mnanunua ndege hovyo hovyo tu utadhani mnanunua madaftari ya Shule, Hizo ndege ngoja tuone atapanda nani, wakati Hizo precision na fast jet zilikuwa zinakosa wateja.
Tatizo la kukurupuka utadhani mpo vitani, Hizo ndege mlinunua Kwa bajeti ipi?
mkiambiwa ukweli mnatupoteza, sasa mtalijua jiji, mamtu maongo kweli nyie.
 
Amejenga kilometer za barabara kuliko raisi yeyote katika historia ya mchi hii. Amejenga shule za sekondari kuliko raisi yeyote katika nchi hii. Amejenga vyuo vikuu vingi kuliko Raisi yeyote katika nchi hii (udom, mloganzila,katavi, Butiama etc.Aliimarisha uhuru wa kujieleza na demokrasia kuliko raisi yeyote Tanzania! Aliyaimarisha majeshi yetu kwa vifaa na maslahi kuliko raisi yeyote! Ameacha MoU khs standard gauge na China, mradi wa DART, REA etc- wanafunzi kwa maelfu walipata mikopo na ajira! Ameifanyia mema mengi nchi hii ni muda wake wa kupumzika, ni muda wetu wa kushow our appreciation kwake! twendeni tukamsalimie mzee Jk msoga xmass hii
Unatafuta mume Msoga weee sio burebure
 
Ongezea na hizi mkuu

==> Aliruhusu ufisadi waziwazi kabisa mpaka mafisadi wanagawana hela mchana mchana laivu kwenye lumbesa (Richmond, EPA, ESCROW..... ). Mpaka leo mafisadi yaliyogawana pesa za Stanbik bank kimyaaaa!!!

==> Alipitisha na kutia sahihi sheria hii gandamizi ya makosa ya mtandao. Sheria hii ililalamikiwa sana lakini kwa kiburi tu akaitia sahihi. Naona alikuwa amechoka kutukanwa na kuitwa dhaifu. Leo hii sheria inatekelezwa watu hatupumui!

==> Alivuruga upatikanaji wa katiba mpya, katiba ambayo ingetupa tume huru ya uchaguzi na kupunguza madaraka ya rais (HILI NDILO KOSA KUBWA KABISA KULIKO YOTE)

JK ni mwanasiasa mahiri lakini, kama alivyosema Mnyika, ni kiongozi dhaifu na legelege. Imagine angetupatia katiba mpya. Angeacha legacy ya vizazi na vizazi lakini ushabiki wa kivyama ukafisha matakwa ya taifa na watu wake.

Mkienda kuonana naye hakikisheni kuwa anayejua haya na yote yamekuwa na madhara makubwa kwetu. Leo hii tungekuwa na tume huru ya uchaguzi. Leo hii mawaziri ingekuwa siyo lazima watokane na wabunge. Leo hii rais angekuwa na madaraka yasiyopindukia kimo. Leo hii....Aaaargh!!!
 
Hayaw macku ila yanayokuja n mabaya zaid kuliko yaliyopta tutaendelea kupigka hata kama twajitoa ufahamu
 
Msije mkapishana yeye akawa pale msasani beach......
Amejenga kilometer za barabara kuliko raisi yeyote katika historia ya mchi hii. Amejenga shule za sekondari kuliko raisi yeyote katika nchi hii. Amejenga vyuo vikuu vingi kuliko Raisi yeyote katika nchi hii (udom, mloganzila,katavi, Butiama etc.Aliimarisha uhuru wa kujieleza na demokrasia kuliko raisi yeyote Tanzania! Aliyaimarisha majeshi yetu kwa vifaa na maslahi kuliko raisi yeyote! Ameacha MoU khs standard gauge na China, mradi wa DART, REA etc- wanafunzi kwa maelfu walipata mikopo na ajira! Ameifanyia mema mengi nchi hii ni muda wake wa kupumzika, ni muda wetu wa kushow our appreciation kwake! twendeni tukamsalimie mzee Jk msoga xmass hii
 
Kwa waliopata raha nyakati hizo wanawajibu wakufanya usemalo.
Kwa tuliokua tumedhulumiwa na utawala huo tutashangaa usemalo
 
Back
Top Bottom