Safari ya kwenda kumsalimia Jakaya Kikwete huko Msoga wakati wa Christmas hii

Kansigo

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
2,664
2,000
Amejenga kilometer za barabara kuliko rais yeyote katika historia ya Nchi hii. Amejenga shule za sekondari kuliko rais yeyote katika nchi hii. Amejenga vyuo vikuu vingi kuliko Rais yeyote katika nchi hii (udom, mloganzila,katavi, Butiama etc.

Aliimarisha uhuru wa kujieleza na demokrasia kuliko rais yeyote Tanzania! Aliyaimarisha majeshi yetu kwa vifaa na maslahi kuliko raisi yeyote! Ameacha MoU kuhusu standard gauge na China, mradi wa DART, REA etc. Wanafunzi kwa maelfu walipata mikopo na ajira!

Ameifanyia mema mengi nchi hii ni muda wake wa kupumzika, ni muda wetu wa kushow our appreciation kwake!

Twendeni tukamsalimie mzee Jakaya Kikwete Msoga xmass hii.
 

Bramo

JF-Expert Member
Oct 21, 2009
11,598
2,000
Amejenga kilometer za barabara kuliko raisi yeyote katika historia ya mchi hii. Amejenga shule za sekondari kuliko raisi yeyote katika nchi hii. Amejenga vyuo vikuu vingi kuliko Raisi yeyote katika nchi hii (udom, mloganzila,katavi, Butiama etc.Aliimarisha uhuru wa kujieleza na demokrasia kuliko raisi yeyote Tanzania! Aliyaimarisha majeshi yetu kwa vifaa na maslahi kuliko raisi yeyote! Ameacha MoU khs standard gauge na China, mradi wa DART, REA etc- wanafunzi kwa maelfu walipata mikopo na ajira! Ameifanyia mema mengi nchi hii ni muda wake wa kupumzika, ni muda wetu wa kushow our appreciation kwake! twendeni tukamsalimie mzee Jk msoga xmass hii
Unasahau kuwa yeye ndiye aliyetuletea tuliye nae
 

Mndengestani

JF-Expert Member
Dec 15, 2016
1,003
2,000
Wana JF habarizenu. kwahatua hii tuliofikia ya nchi yetu inaoneshawazi sasa tupo ktk halingumu kutokana na kuomba na kupatiwa mkopo wa 360Bil ktk Benk ya Afrika. Mh wetu nakumbuka alise kwa utajili tuliokuanao hatupaswi kukopa bali tuje kukopwa sisi leo hii cjui tumekwama wapi mpaka tunalamba matapishi yetu au zilikua njia tu zakumchafua JK?. Tulimsifu sana Pogba mpenda sifa naikapelekea kumuona MH: JK mlanguzi, Baba JK mimi nakuoba msamaha kwa jinsi nilivyo kuhukumu kukuona si lolote si chochote. Amakweli nimeamini usimtukane mamba kabla ujavuka mto[JK shikamooo]
 

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
3,666
2,000
Propaganda za kipumbavu kabisa. Badala ya kumuita yeye aje atuombe radhi sisi unataka wewe na wenye njaa wenzio mumtafutie sifa za kijinga ambazo hakuwah kuwa nazo. Na wewe ni masalia ya watu wa hovyo walioachwa na huyo unayemtaja. Hovyo kabisa.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom