kiwatengu
Platinum Member
- Apr 6, 2012
- 19,489
- 18,370
mama huyu mwanao sijui vipi anapagawa hadi kasahau kukwambia,amelia sana hadi majirani wakaja kunisaidia
hny! uliniambia hutasema jinsi nilivyolia..unataka nishangawe?
mama huyu mwanao sijui vipi anapagawa hadi kasahau kukwambia,amelia sana hadi majirani wakaja kunisaidia
Namtakia safari njema huko aendako na Mungu amtangulie kwa kila hatua apigayo katika safari yake.
Hata mimi niko njiani nasafiri Mungu atuongoze salama atuepushie baya lolote lisitokee katika safari yetu
damu ya Yesu itufunike, malaika mlinzi atulinde, ibilisi ashindwe...... Kwa jina la Yesu wa Nazalet...
A M E N!!!!!!!!!
Safari njema , Mungu awatunze..
mungu akutangulie
baada ya msiba nitakuwa arusha kwa wiki 2..
Poa ....Endapo ntakuwa Marangu kesho ntakucheck ...Mnazika lini?
Ushaanza safari ya kiteto? ila hujasema if ur going there for good...
me nnilianza safari jana, naenda kiteto ila nimelala kibaigwa...... Napata breakfast hapa then nianze tena safari