kiwatengu
Platinum Member
- Apr 6, 2012
- 19,489
- 18,370
nimeshaanza safari nimefika Nako sasa, naenda huko kwa wema tu ndugu yangu
poa..salimia kina kitange wote pale
nimeshaanza safari nimefika Nako sasa, naenda huko kwa wema tu ndugu yangu
ameeeeen
pole sana kwa msiba ulio wafikia
?????????????????????????????
Upitie hapa Dosi dosi nikuchomee nyama!
kudadadeki, lazima nipite hapo
poa..salimia kina kitange wote pale
Karibu sana! Na ninategemea tutamaliza na ukaguzi hapa hapa!
niko hapa teta nakusikiliza
nitakukagua tu baba usjali
Hapa sasa itabidi tuandike kwa maandishi meupe!!?
sio mbaya hata ukitumia maji
You love my wife eeeh!! watch out
ndiyo hapo mkaguzi anapogeuka mkaguliwa.. Lady doctor we noma