Safari itasonga Kwa msaada wa Mungu: Dr. Mwele Malecela

Hivi unajua asilimia 15.5 katika watu 533 ni watu wangapi wanazika? Just like 3 people sasa hawa watu watatu ndio iwe tishio hadi uchumi uporomoke? Acheni siasa kwenye mambo ya kitaalam mtaiua nchi kwa kuendekeza siasa
15.5% of 533 = 82.6~ 83
 
Aende zake, We uliona wapi Mkuu wa Majeshi anatangaza hali ya hatari? Ni kweli hali ya usalama si nzuri, Je mkuu wa Majeshi anayo mamlaka hayo?

Kama si kutaka kuogofya wananchi na kuporomosha uchumi wetu tu...!
czan km umefiria vizur kabla ya kuchukua maamuz ya kukoment hapa...
 
Hee!
Hivi unajua asilimia 15.5 katika watu 533 ni watu wangapi wanazika? Just like 3 people sasa hawa watu watatu ndio iwe tishio hadi uchumi uporomoke? Acheni siasa kwenye mambo ya kitaalam mtaiua nchi kwa kuendekeza siasa[/QUOHebuHebulll
 
Aende zake, We uliona wapi Mkuu wa Majeshi anatangaza hali ya hatari? Ni kweli hali ya usalama si nzuri, Je mkuu wa Majeshi anayo mamlaka hayo?

Kama si kutaka kuogofya wananchi na kuporomosha uchumi wetu tu...!
Huu ni unafki lkn Sikulaumu wewe ila Tatizo la mfumo uliokua nao baadae madhara yakiwa makubwa mtalalamika kwa nini hakusema mapema

Huo uchumi utaathirika zaidi tatizo likiwa kubwa ni bora jitihada zifanyike mapema zaidi kuzuia tatizo kuliko kujidanganya kwamba uko salam akati usalama hauko
 
Tunaomba asije fikishwa mahakamani kwa utafiti wake coz dhamana siku hizi ngumu sana hata kama hujafanya kosa.
 
Hivi unajua asilimia 15.5 katika watu 533 ni watu wangapi wanazika? Just like 3 people sasa hawa watu watatu ndio iwe tishio hadi uchumi uporomoke? Acheni siasa kwenye mambo ya kitaalam mtaiua nchi kwa kuendekeza siasa

Kweli hesabu ngumu, unaweza ukakuta hapo na calculator ametumia....hahaaaaa
 
Huwa napata shida sana napomsikia PhD holder ana invoke God/ god kwenye empirical matters.
 
Bado kuna upungufu wa chakula nchini kwa kukosekana kwa mvua, mazao yamekauka. MaDC wanahofia kulisema hilo.

Ni Kweli kabisa! Madiwani wanasisitiza wao Ndiyo wanaishi Na wananchi mtaani hali Sio nzuri Njaa ni kali lakini DCs hawataki ku declare! Kumbe ndo hivyo tena !
 
Dr kafanya kazi kwa taaluma yake!

Siasa kila mahali hadi kwenye mambo muhimu
 
Ndo yeye mkuu fikiria mzee wake nae angetumia ushawishi wake ktk chama akashinda kwa turufu ya akina mama wanaweza nae angemtumbua jamaa kwenye lile liboti lisilofanya kazi?
Mmh, hi familia naona mkuu ana aleji nao; maza nae alitumbuliwaga na binti nae kala za USO!?
 
Kutumbuliwa kwa Dr Mwere ama Mama Anne Kilango Malecela hakujaniuma sana. Ila nimekumbuka Mzee wetu Malecela kupoteza mwanawe miaka kadha iliyopita. Kijana huyu alikuwa anachipukia na pengine angekuwa nguzo ya familia. Huko nyuma kidogo Mzee Malecela alimpoteza mkewe pia. Kabla ya kuchukua hatua kama hizi, ni vyema pia kuyajua maisha ya familia husika hasa historia yake hata kama kidogo tu. Mapigo haya yatamsononesha sana Mzee Malecela na yanaweza kumwongozea Mzee matatizo ya kiafya maana atajiona nchi haimthamini. Hata tufanyeje, waasisi huheshimika, hii ikiwa ni pamoja na familia zao. Pole sana Mzee Malecela.
Khaaa, kwenye orodha ya hapo kwenye bold huyu mzee nae yupo!? Sidhani kaka, yaani nabisha kabisa. LAbda kina Msekwa wanaweza kudhaniwa but not this man from Dodoma.
 
Ngoja awadhalilishe watoto na wake zao wao ndo walishadidia aletwe huyu. Inabidi ahamie kwa Mwinyi na kwa Warioba. Yule kijana wake aliyepewa uDc naye apumzishwe....watusaidie kusoma numberi
 
Back
Top Bottom