Wazo kwa vijana wa kitanzania kuhusu pombe naomba maoni

Brojust

Member
Sep 17, 2016
60
92
Salaam wakuu wote.

Naungana na vijana wa kitanzatia wenzangu ambao mpo humu Jamii forum kuomba maoni yenu kuhusu utumiaji wa pombe uliokithiri.

Case study; UKONGA MAZIZINI NA VIUNGA VYOTE.

Kwa muda fulani hivi nimekuwa natembelea maeneo hayo, jamani kusema ukweli nguvu kazi ya vijana inapotea, jamani watu wanakunywa pombe hasa GONGO, SMART, LENGALENGA, CHOYA, WANZUKI, N.K

Mfano mtu anaweza kukesha anafanya kazi ikifika saa kumi na mabuti yake na damu, wananza kwenye vibanda vya palepale mpaka saa moja hivi au saa mbili baada ya hapo kuna wamama maarufu zaidi ya 30 wanauza kwenye nyumba zao hiyo mpaka saa sita au saa saba wanaenda vilabuni tena pale kuna vilabu maarufu sana hiyo mpaka saa nne usiku Baada ya hapo saa sita anahitajika tena kazini, kumbuka hiyo ni daily routine.

Kwani mazizini na viunga vyake kuna shida gani ? Mbona kuna watu wa kufanya sampling ya ukimwi wanakuja kila siku lakini sijawahi kuona watu wengine labda wa viwango na chakula (mamlaka)

Watu wanachomana visu, watu wanapata vilema, watu wanalala nnje, watu wanakufa kwa visa tofauti, Bangi ndio kama sigara kule.

Sasa mimi nina wazo kwa serikali, nataka kuandika PROPOSAL KWA SELIKALI AU NGO YOYOTE kwenda kufanya utafiti kimya kimya. Wakachunguze na baadae kuja na solution ya kuokoa vijana wetu.

Nasema hivi sababu mimi pia ni mhanga ila nashukuru Mungu ananilinda sana. Ndio maana leo nimekuja na wazo ambalo labda likionekana tunaweza kupata solution juu ya kizazi cha Tanzania.

Case 2; Inakuja (Bado nafanya utafiti wa kujitegemea )

Mungu ibariki Tanzania

Heri ya siku ya Muungano.

Mungu mbariki Dr. Samia suluhu Hassan

Ahsante kwa Muda wenu.

(+255) 710 782874)
 
Wale vijana wanapata Sana pesa kwa kuuza Nyama maini ngozi, kichwa nk
Pesa yote wanahonga na Kunywa pombe huku wakipata magonjwa Makubwa Makubwa na kufariki

Niseme pale mazizini ukiwa na Akili unaweza pata mtaji mzuri ukafungua hata butcher yako ya Nyama na samaki.

Then pale hata maaskari wanalewa ,wanajeshi wanalewa mh mwenyekiti analewa niseme mazizini is cursed place
 
Back
Top Bottom