Ni kosa kusema tutashitakiwa MIGA???Sheria ipo wazi. Lazim ipitishwe na taasis ndio uitoe which is good. Mtu anaamka asubuhi kama lissu unaanza kusema tutashtakiwa MIGA alafu uachwe tu. Nchi hiendeshwi hivyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kosa kusema tutashitakiwa MIGA???Sheria ipo wazi. Lazim ipitishwe na taasis ndio uitoe which is good. Mtu anaamka asubuhi kama lissu unaanza kusema tutashtakiwa MIGA alafu uachwe tu. Nchi hiendeshwi hivyo
Sent using Jamii Forums mobile app
acha kuficha ujinga
Swali gani?jibu Swali
Point yako ni nini sasa? Kwamba lisu anatumika tu kama kisemeo siyo?Itachukua muda mrefu sana kwa watz kuelewa propaganda na namna zinavyofanywa. Mnadhani ni bahati mbaya Lissu kwenda kuhojiwa hapo BBC, tena HardTalk? Clue: Mataifa ya magharibi yanajua kwa undani kinachoendelea Tanzania. Hawamuhitaji Lissu kujua yaliyofanyika na yanayoendelea kufanyika (hili hata Lissu kaligusia kwenye interview). Kwa kifupi wenzetu wapo mbele sana kwenye kukusanya intelligence.... zaidi kwa faida yao.
Kama mnatizama hiyo interview kama ni ya Lissu tu, mnapotea sana. Jiulizeni "agenda" iliyopo nyuma ya mahojiano hayo na hasa maswali yaliyoulizwa.
Kwani ni uwongo " umesahau kilicho ikuta TWAWEZA baada ya kutoa utafiti unaosema kuwa umaarufu wa jiwe umepungua " ...
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha wana jambaMna LISSU FEVER kuanzia wanachama,mashabiki hadi mwenyekiti wenu TAIFA the MAN is back makatafute pampas pumbav.
Anajua nini huyo " shabiki maandazi ...ndio wote hao misukule ya lumumba ... buku 7 tu inamtoa akili hahaaWewe twaweza walipotoa takwimu iliyotofauti na jiwe, ilikuaje,? Mkurugenzi wa Twaweza si alinyang'anywa passport yake na kumchunguza kama ni raia wa TZ, na vitisho kibao
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahahaaaaSAFI SANA TUNDU THE GREAT! Kwa alichoandika MTU maarufu Stephen sasa kila media kubwa itatamani kufanya mahojiano na Lissu maana hata lugha anaeleweka sio mambo ya "intaperenyuwa'.
Na kuonyesha hamkufuatilia mauzui ya mahojiano nyie mliangalia muonekano wa nywele tuu.
Ingekuwa dunia akili ni hizo za Lumumba basi Trump na wa Korea isingekuwa kujadili nyuklia bali kiduku cha jamaa!
Akili za Intaperenyuwa utazijua tuu. Mjadala kujadiliwa ujue uko hai sio mjadala mfu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa chief ... muda hautoshimuda hautoshi,kuna ujinga mwingi awamu ya tano hiwezi maliza.HISTORIA YA DAUDI BASHITE TU HADI KUGEUKA KUWA PAUL NA KUFOJI VYETI INAKULA KIPINDI KIZIMA
HahahaaJaribu hata kupata nafasi TBC ukaongee wewe.
Unafikiri kupata hiyo nafasi Hard Talk ni sawa na kupokea ndege?
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahaaMnapata tabu sana....na mnateseka. Boss wenu halali, lakini ndio hivyo mshapigwa za uso.
Tulieni, acheni kulialia mitandaoni....ooh ameshindwa, amesema uongo....daaadeki. Soma hiyoooo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Thubutuuu wamtoe wapiDawa ni nyepesi tu na nyinyi watu wa serikali ombeni kipindi kingine cha Hardtalk ili "m-counter" yale aliyoyasema Tundu Lissu.
Kama mtakuwa naye huyo mtu......
Huyo jamaa mwehu .hahaasnoyden sio mwanasiasa we mbuzi, yule ni.mwanakitengo maalum aliyeasi.
Weee maandazi " snowden ni jasusi aliyekula kiapo cha kutunza siri za usalama wa taifa lake ... so inapo tokea akazitoa siri hizo ni lazima awajibishwe .... ila sio mwanasiasa " mwana siasa " haswaa mpinzani yupo kwaajili ya kuikosoa serikali dhidi ya utendaji wake mbaya " ili iweze kurudi kwenye mstari mnyoofu " na wananchi waweze kupatiwa haki zao ....Kama kuna freedom of expression mbona Snowden na Assange ni wakimbizi? Kama kuna freedom of expression mbona trump anawaita feki news kila siku?
Nimeipenda retweet ya huyo bwana Ngomakisi The 3rd hapo juu. Wapinzani wameumuliwa hakika. Teh!Mjadala kuhusu mahojiano ya Tundu Lissu katika kipindi cha Hard Talk umekuwa moto kwenye mitandao ya kijamii kiasi cha kupelekea mwendesha kipindi hicho, Stephen Sackur kupata mentions za kutosha mpaka akalazimika kutoa neno;
"Nimefurahi kuona mahojiano yangu na Tundu Lissu yamesababisha mjadala murua"
View attachment 1001613
Mtangazaji wa BBC anayeongoza kipindi maarufu cha mahojiano cha HardTalk, Stephen Sackur, ameitoa kauli hiyo kupitia mtandao wa Twitter mapema leo ikiwa ni saa chache kupita tangu kuruka hewani kwa mahojiano yake na Tundu Lissu nchini Uingereza.
Kufuatia mahojiano hayo, mjadala mkali umeibuka baina ya pande mbili ambapo kuna wanaodhani Tundu Lissu ameshindwa kuyajibu ipasavyo maswali magumu ya Stephen, huku wengine wakisimamia kwamba Lissu ametumia vizuri fursa hiyo kueleza kwa undani sakata la yeye kushambuliwa na risasi na kueleza kuwa Serikali inahusika moja kwa moja na tukio hilo.
Hiyo ndiyo nguvu ya mitandao ya kijamii. Watanzania wametisha sana!