Sackur: Good to see my interview with Tundu Lissu has stirred passionate debate!

Ha ha ha, kwa nini asiende mbinguni kabisa? Hana jipya.
Squatter huyo tundulissu msaliti, amejiabisha kweli kweli walahi
Naona hata kama kawatetea mashoga lakini hatakaa aione pesa yao walahi
Wamemshtukia ni jitu fake tu walahi
 
Lissu kachemka sana, ati Raia watoa taarifa za wahalifu, wenyeviti wa vijiji, watendaji wa vijiji na mabalozi wa nyumba kumi, maeneo ya Rufiji na Kibiti, walikuwa wanauliwa na serikali na kutupwa baharini😵😵 Tumepata point za kampeni. Tutakutana 2020
 
Halafu hana ushahidi.
Wee lijinga nikueleze kidogo tu.

Lissu ni victim wa risasi 38. Serikali haijamkamata mtu wala silaha iliyotumika licha ya kushindwa kuelezea tukio hilo. Kwa wenye akili tukio la Lissu ni ushahidi tosha wa serikali ya mauaji, isiyoheshimu haki za kibinadamu. Labda kama wewe na wenzio ni malaya msiojali gharama za uzembe wa kujiuza.
 
Tunapaswa kujua, ile ni debate-like conversation, hakukuwa kuna upande wa serikali pale. Kwa hivyo basi muhusika mmoja anapaswa kuwa neutral (mtangazaji/muongozaji)au anapaswa kuonesha yupo dhidi ya muhusika anayehojiwa.

Watu wengi wanashindwa kulijua hili.

Sent using Jamii Forums mobile app
ndugu hakuna kazi ngumu kama kumuelewesha mtanzania huoni polepole kashasema stephen sackur ni kama (mwanachama wa CCM)
 
Wee lijinga nikueleze kidogo tu.

Lissu ni victim wa risasi 38. Serikali haijamkamata mtu wala silaha iliyotumika licha ya kushindwa kuelezea tukio hilo. Kwa wenye akili tukio la Lissu ni ushahidi tosha wa serikali ya mauaji, isiyoheshimu haki za kibinadamu. Labda kama wewe na wenzio ni malaya msiojali gharama za uzembe wa kujiuza.
Uzuri hayo mahojiano hayakuonyeshwa ufipa peke yake.
 
Watampeleka yule jamaa wa chuo kikuu anayeongea pumba huku katoa macho kodo, nilicheka nilipoisikia historia ya Marais wa Marekani kutoka kwake,
yuko (mzee wa phd)


Sent from my iPhone using JamiiForums
kiparamagamba anakusikia tu
 
Lissu hamna alichojibu zaidi ya uongo tu. Sidhani kama akiambiwa arudi tena huko atarudi. Mfano swala la takimu anasema eti bila ya kuisifia serikali hutakiwi kutoa takwimu. Sasa huu si uongo wa hali ya juu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi mwenyewe niliona huyu jamaa ni mwehu.

Nokia ya kitochi yuzingi jamii foramu
 
Back
Top Bottom