Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 20,715
- 20,472
Wengi mnafuata mkumbo tu, hata hamuelewi kilichozungumzwa. Na kichaka mnachotumia ni kusema 'tuienzi lugha yetu ya Kiswahili'. Haya sasa, yako wapi? Hujui hata interview ilifanyika lini, kujua kilichoongelewa hadi utafute mtu aliyetafsiri kwa kiswahili, halafu unakuja humu kutoa comments as if umeifuatilia original interviewSio leo ni kesho.