Selwa
JF-Expert Member
- Dec 17, 2010
- 543
- 524
Kuna wakati nilipita kule kwa wenzetu ule mtandao ulionishinda nikakuta huyu dada anaonewa sana kwasababu ya alitangaza ametengeza million 100 kuuza mtumba na duka lake kwenye hii kipindi fulani kinaitwa fursa (Bado sijajua fursa ni nini hasa mimi si mwenyeji kidogo Tanzania)...kwa kweli nilisikita sana maana nilipita page yake nikaona kwa kweli vitu vyake ni vizuri tu...kasoro ya manung'uniko ya wateja hapa na pale lakini si unajua wateja walivo
Ni maendeleo ya kweli au ulaghai? Maana hata mwenza wangu nilishawahi kumfungulia duka la nguo ila mhhh hakufika hapo..Mia ni parefu. nimependezwa nae
Jamani, kuna mtu ana profile yake?
Ni maendeleo ya kweli au ulaghai? Maana hata mwenza wangu nilishawahi kumfungulia duka la nguo ila mhhh hakufika hapo..Mia ni parefu. nimependezwa nae
Jamani, kuna mtu ana profile yake?