Sachque na Million 100 ya Fursa

Selwa

JF-Expert Member
Dec 17, 2010
513
500
Kuna wakati nilipita kule kwa wenzetu ule mtandao ulionishinda nikakuta huyu dada anaonewa sana kwasababu ya alitangaza ametengeza million 100 kuuza mtumba na duka lake kwenye hii kipindi fulani kinaitwa fursa (Bado sijajua fursa ni nini hasa mimi si mwenyeji kidogo Tanzania)...kwa kweli nilisikita sana maana nilipita page yake nikaona kwa kweli vitu vyake ni vizuri tu...kasoro ya manung'uniko ya wateja hapa na pale lakini si unajua wateja walivo
Ni maendeleo ya kweli au ulaghai? Maana hata mwenza wangu nilishawahi kumfungulia duka la nguo ila mhhh hakufika hapo..Mia ni parefu. nimependezwa nae

Jamani, kuna mtu ana profile yake?
 
Attachments

  • Found.png
    File size
    276.1 KB
    Views
    370

Teresia Mahimbi

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
271
195
kwa mujibun wa jmaa yake wa karibu ni kwamba alianza kununua mitumba na kuipiga soap soap kisha anauzia kwa bei ya ju wadada wa mujin na maofisin hadi mtaji ulipokua ndo akaanza kwenda kufuata mzigo China chui wapi,BUT zingine ni mitumba yetu ya ilala!!!Ila amekarabati Duka lake saivi lina mvuto maeneo ya njia ya Kijitinyama,mtafutaji mdada
 
Sista

JF-Expert Member
Sep 29, 2013
3,207
2,000
Huwa naona matangazo yake kwa kweli anajitahidi kujitangaza kibiashara
 
Punda wa Dobi

JF-Expert Member
Jul 4, 2013
561
250
fika kijitonyama, jichanganye kwenye vijiwe vya around mabatini area, utapata full profile na mengineo mengi ya kumuhusu huyo mtuhumiwa wako
 
mtafuta-maisha

JF-Expert Member
Nov 5, 2016
1,985
2,000
Yule dada muache kabisa ni mpambanaji, kumbuka pia anatengeneza furniture ana kampuni ya kuandaa na kupamba kwenye events.
Kwa sasa ukiachilia mbali kuwa anauza mitumba pia anaagiza containers za mitumba na kuuza mabaro kwa wafanya biashara.
She is a really hustler personally uwa ana niinspire kwa kufanya kile wengi wanachofanya lakini kwa kukiboresha hata furnitures zake za ukweli sana na alienda china mwaka jana akanunua mashine za maana za kutengenezea hizo furnitures.
Her dream ni kuja kumiliki mall ambalo litakuwa na flow tatu kila flow ikiwa na biashara yake moja kati ya hizo nilizotaja
 
greybakuza

JF-Expert Member
Jan 8, 2016
898
1,000
Sitamsahau huyu dada alivyomtapeli mke wangu. Tulimuagiza mzigo wa 7M china lkn alichotuletea.....!!!!! Kiukweli pamoja na kuwa kwa nje anaonekana mcha Mungu lkn si muaminifu. Kwake pesa mbele..utu baadae.
Lkn pamoja na yote namkubali, ni mpambanaji sana. Ni mfano bora kwa wanawake wengine wanaosubiri kuwezeshwa.
 
amu

JF-Expert Member
Aug 8, 2012
15,512
2,000
Mjini Kugumu Acha Tuache Udangaji Tuuze Mitumba,furniture Na Umri Nao Unaenda Ikizingatiwa Tuliolewa Jumatatu Tukaachika Ijumb
 
Raynavero

JF-Expert Member
Apr 29, 2014
38,474
2,000
Yule dada muache kabisa ni mpambanaji, kumbuka pia anatengeneza furniture ana kampuni ya kuandaa na kupamba kwenye events.
Kwa sasa ukiachilia mbali kuwa anauza mitumba pia anaagiza containers za mitumba na kuuza mabaro kwa wafanya biashara.
She is a really hustler personally uwa ana niinspire kwa kufanya kile wengi wanachofanya lakini kwa kukiboresha hata furnitures zake za ukweli sana na alienda china mwaka jana akanunua mashine za maana za kutengenezea hizo furnitures.
Her dream ni kuja kumiliki mall ambalo litakuwa na flow tatu kila flow ikiwa na biashara yake moja kati ya hizo nilizotaja
Halafu ni mdogo sana sachko km sikosei this year ndo anafika 30
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom