Nokia83
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 24,643
- 44,390
Alafu hizo sabuni zinapatikana guest lakini ukienda hotel huwezi kukuta hizo ni locol mkuu anza kwenda hotel sasa achana na vi gust ha ha ha ha
So ww unakaziwa hotelin?
Alafu hizo sabuni zinapatikana guest lakini ukienda hotel huwezi kukuta hizo ni locol mkuu anza kwenda hotel sasa achana na vi gust ha ha ha ha
hahahaa, unaosha mashine kwa maji tu, dadeki na harufu ya latex huwa haieshi!
Jifunze uje unishauri.....
kwa hiyo ukienda maeneo ya kujidai huogi baada ya kumaliza zoezi?
nimelishangaa jibu lake nikadhani kuwa sisi tuna matatizo...............Huwa hamsafiri? Walau weekends?
nimelishangaa jibu lake nikadhani kuwa sisi tuna matatizo...............
ni mara nyingi tu tunaenda kulala hotel hapa hapa DAR, siyo lazima kusafiri
ha haaaaa, hayo pia ni mazoea......Hata mie nimeogopa, tunajilaliaga zetu hata 1 day tu. Ujue kufurahia maisha ni mtazamo nimegundua, wengine sijui wanasubiri wawe mabilionea waende Hawaii?
kitendea kaz ulkuanach kweliUkienda guest au hoteli yoyote hapa TZ unakuta sabuni hizi za EVA zimewekwa kwenye bafu la choo cha chumba ulichopanga..
Kwa kawaida ni adimu sana kuikuta inatumika nyumbani,hivo nadhani hata watengenezaji wa hizi sabuni wanajua kuwa soko lao kubwa ni nyumba za wageni..
SABUNI HIZI ZINA HARUFU SANA..
Wanawake wanazijua sana harufu za sabuni hizi na ikitokea umerud nyumbani na harufu yake una maswali magumu ya kujibu,.
Inavosemekana baadhi ya ndoa zimevunjika kwasababu ya harufu ya hizi sabuni..
Ni wakati mwafaka wa kampuni inayozitengeneza kuangalia kama kuna umuhimu wa kuweka harufu kali kwenye bidhaa yao hii..
Wasiozijua kwa jina picha hiyo hapo..
Utaendaje guest na mkeo.?
Ha Ha ha. Mkuu una maswali magumu?? Lol!Hao wake wamezijuaje hizo sabuni?
Ukienda guest au hoteli yoyote hapa TZ unakuta sabuni hizi za EVA zimewekwa kwenye bafu la choo cha chumba ulichopanga..
Kwa kawaida ni adimu sana kuikuta inatumika nyumbani,hivo nadhani hata watengenezaji wa hizi sabuni wanajua kuwa soko lao kubwa ni nyumba za wageni..
SABUNI HIZI ZINA HARUFU SANA..
Wanawake wanazijua sana harufu za sabuni hizi na ikitokea umerud nyumbani na harufu yake una maswali magumu ya kujibu,.
Inavosemekana baadhi ya ndoa zimevunjika kwasababu ya harufu ya hizi sabuni..
Ni wakati mwafaka wa kampuni inayozitengeneza kuangalia kama kuna umuhimu wa kuweka harufu kali kwenye bidhaa yao hii..
Wasiozijua kwa jina picha hiyo hapo..
Ha ha ha! Hii inaitwa Welcome to the World of ****** . Eti kuoga kavu! Lol!usijali nimeshajua kuna kuoga bila sabuni... wanaita kuoga kavu