Sabuni hizi zinaongoza kuachanisha ndoa

Sabuni hizi zinaongoza kuachanisha ndoa

Ukienda guest au hoteli yoyote hapa TZ unakuta sabuni hizi za EVA zimewekwa kwenye bafu la choo cha chumba ulichopanga..

Kwa kawaida ni adimu sana kuikuta inatumika nyumbani,hivo nadhani hata watengenezaji wa hizi sabuni wanajua kuwa soko lao kubwa ni nyumba za wageni..

SABUNI HIZI ZINA HARUFU SANA..
Wanawake wanazijua sana harufu za sabuni hizi na ikitokea umerud nyumbani na harufu yake una maswali magumu ya kujibu,.

Inavosemekana baadhi ya ndoa zimevunjika kwasababu ya harufu ya hizi sabuni..

Ni wakati mwafaka wa kampuni inayozitengeneza kuangalia kama kuna umuhimu wa kuweka harufu kali kwenye bidhaa yao hii..

Wasiozijua kwa jina picha hiyo hapo..

heheheeee inaonesha kuwa leo ilikuwa SHUGHULI NZITO...mshededu umeshughulika hasa leo..na wewe ukicheza leo utaachika
 
Gues za uswazi hizo ndiyo wanaweka hito tusabuni!
 
Alafu hizo sabuni zinapatikana guest lakini ukienda hotel huwezi kukuta hizo ni locol mkuu anza kwenda hotel sasa achana na vi gust ha ha ha ha
 
Hyo picha nimeipiga nikiwa hotelini,sinza..
Sasa sikuelewi..
 
Ukienda guest au hoteli yoyote hapa TZ unakuta sabuni hizi za EVA zimewekwa kwenye bafu la choo cha chumba ulichopanga..

Kwa kawaida ni adimu sana kuikuta inatumika nyumbani,hivo nadhani hata watengenezaji wa hizi sabuni wanajua kuwa soko lao kubwa ni nyumba za wageni..

SABUNI HIZI ZINA HARUFU SANA..
Wanawake wanazijua sana harufu za sabuni hizi na ikitokea umerud nyumbani na harufu yake una maswali magumu ya kujibu,.

Inavosemekana baadhi ya ndoa zimevunjika kwasababu ya harufu ya hizi sabuni..

Ni wakati mwafaka wa kampuni inayozitengeneza kuangalia kama kuna umuhimu wa kuweka harufu kali kwenye bidhaa yao hii..

Wasiozijua kwa jina picha hiyo hapo..

Hao wake wamezijuaje hizo sabuni?
 
kuna vikondom fulan navyo vina halafu kweli,hata upake upake mafuta ya ayuu utanuka daladala nzima .
 
Back
Top Bottom