Ha ha ha! Hii inaitwa Welcome to the World of ****** . Eti kuoga kavu! Lol!
Uliza uelezwe mamaa..watu wana fani zao jamani. Lol! Leo nimecheka sana mwenzenu. Ijumaa imeleta tabu! Kule waheshimiwa ni majanga; huku watu wanajadili sabuni. Mwee!!ndo nilichojifunza hapa... mimi nilikuwa na ingia gharama kunuunua sabuni ya kama ya home kumbe kuna kuoga kavu
Hapana,picha imepigwa mda..