bongo zipo za kichina tu 20,000 mpaka 30,000, za brand kubwa ni around 60,000 na kuendelea hadi ila sweet spot ni around 100,000 hadi 200,000
Mbona kama ya kilong time kitambo..ina hadi Casset![]()
Njoo nikuuzie hii achana na mikate ya Baharesa hiyo.
Mbona mimi ninayo ina miwili na iko vizuri tuJaman naombeni msaada kwanini hizi sabufa za kichina mfano sea piano zinakufa mapema sana haswa kwa sauti kubwa. Naombeni msaada na mwenye idea ya kutengeneza nimefungua nimekuta resistor zimekuwa nyeusi.
Old Gold Mzee, acha mawenge.Mbona kama ya kilong time kitambo..ina hadi Casset
Doh..Old Gold Mzee, acha mawenge.
Mkuu nakukubali sana kwenye hii sector. Mimi nina seaPiano langu toka 2011 bado lipo vizuri trna situmii regulator yeyote ni direct connection.Imekufaje kwa sauti kubwa? Umeifungua na umekuta resistor? au IC? imekuwa nyeusi.
Ngoja nikupe Ufafanuzi kiasi.
1. Hiyo SeaPiano ni multimedia speaker System ambayo inaweza kuwa 2.1 au 5.1 channel.
endapo ni ni 2.1 basi itakuwa na IC 3 na kama ni 5.1 basi itakuwa na IC 4 au 5 au 6 kutegemeana na ukubwa (Power in WATTS)
2. Mara nyingi kinachoungua ni IC (especially IC ya speaker kubwa -SUBWOOFER) na husababishwa na ufunguliaji wa sauti kubwa muda mrefu hivyo ina OVERHEAT.
3. Pia inaweza kuua Fuse ( kutokana na matatizo ya umeme) au inaweza kuua vyote Fuse na IC.
-----------------------------------------------------------------------
Kuhusu Ubora wa hizi bidhaa.
1.Zinatumia TRANSFOMER Powersupply (LINEAR PSU) na huwa HAZINA PROTECTION ya uhakika.
2. Cooling system zake hazitoshelezi kupooza joto la IC kwa matumizi makubwa.
3. IC za surrounding speaker ndio aina hiyo hiyo inatumika kwenye subwoofer speaker (sidhani kama huwa wanaconsider vigezo).
4. Zinakula umeme tena hata kama ipo standby.
mi nilicheki tu bei ya online mkuu, ambayo ukitumia shiping ya bei rahisi ile ya mwezi mzima ndio iwe hivyo. ila kwa shipping nzuri ukilipa na kodi inakaribia hio bei.Mkuu hizi speaker huku Arusha wanatupiga sana, si chini ya 200K
Ana miaka mingapi baba mkwe!Seapiano yangu nmeinunua 2012 sikumbuki bei vizur ila nahis140000 mpakaa leo iko sawa haikoromii inapiga kama kawa sema kuna bint yangu ameanza ichokonoa chokonoa
Haaahaaaa miez nane [emoji23][emoji23] afu usinzoeeeeeAna miaka mingapi baba mkwe!
kuna mbwa wa Polisi wanauzwa bei chee maeneo haya.Haaahaaaa miez nane [emoji23][emoji23] afu usinzoeeeee
Nafugaa chatuuukuna mbwa wa Polisi wanauzwa bei chee maeneo haya.
Umeshasema za kichina, unategemea nini? Wahenga walinena "Bure aghali"Jaman naombeni msaada kwanini hizi sabufa za kichina mfano sea piano zinakufa mapema sana haswa kwa sauti kubwa. Naombeni msaada na mwenye idea ya kutengeneza nimefungua nimekuta resistor zimekuwa nyeusi.
Bei gani na uko wapi?![]()
Njoo nikuuzie hii achana na mikate ya Baharesa hiyo.
Ndio bei zake especially jbl extreme na wachina wametoa pia...kua makiniMkuu hizi speaker huku Arusha wanatupiga sana, si chini ya 200K
mkuu kwa bajeti yako chukua hiyo Sony DAVTZ140Wakuu kwa budget ya 400,000/= nitapata radio gani nzuri?nahitaji ufafanuzi kwenye kipengele cha uzuri wa upigaji wake.nataka hasa iwe Sonny maana ndio naona zina mziki mzuri.