Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,229
- 44,240
yap ina battery, unaichaji kama simu tueeh bwana jpili naenda kuibeba nimsikilize one republic na kids yake kwenye mziki mnene, sasa kama hiyo inatumia chaji au, maana sioni waya hapo
yap ina battery, unaichaji kama simu tueeh bwana jpili naenda kuibeba nimsikilize one republic na kids yake kwenye mziki mnene, sasa kama hiyo inatumia chaji au, maana sioni waya hapo
sony 600k unapata nzuri tuUnaongelea spika noja moja? Kama ni audio system yenye spika zaidi ya moja iuzwe. kwa bei hiyo tena toka kampuni kubwa? Sijui!
K
Mfano audio system yenye subwoofer ya LG inayotumia bluetooth connection na dvd player niliuliza bei hapa Mbeya ilikuwa inauzwa 1.8 mil Tshs.
Inaonekana we mtaalam.Imekufaje kwa sauti kubwa? Umeifungua na umekuta resistor? au IC? imekuwa nyeusi.
Ngoja nikupe Ufafanuzi kiasi.
1. Hiyo SeaPiano ni multimedia speaker System ambayo inaweza kuwa 2.1 au 5.1 channel.
endapo ni ni 2.1 basi itakuwa na IC 3 na kama ni 5.1 basi itakuwa na IC 4 au 5 au 6 kutegemeana na ukubwa (Power in WATTS)
2. Mara nyingi kinachoungua ni IC (especially IC ya speaker kubwa -SUBWOOFER) na husababishwa na ufunguliaji wa sauti kubwa muda mrefu hivyo ina OVERHEAT.
3. Pia inaweza kuua Fuse ( kutokana na matatizo ya umeme) au inaweza kuua vyote Fuse na IC.
-----------------------------------------------------------------------
Kuhusu Ubora wa hizi bidhaa.
1.Zinatumia TRANSFOMER Powersupply (LINEAR PSU) na huwa HAZINA PROTECTION ya uhakika.
2. Cooling system zake hazitoshelezi kupooza joto la IC kwa matumizi makubwa.
3. IC za surrounding speaker ndio aina hiyo hiyo inatumika kwenye subwoofer speaker (sidhani kama huwa wanaconsider vigezo).
4. Zinakula umeme tena hata kama ipo standby.
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wapangaji wenzako wamepata nafuu ya kelele, bora limekufa tu,
Sony home theatre hadi 450k nzuri na zinadumu pia ziposony 600k unapata nzuri tu
jbl mbna nyingi naona dola 200 had 300 kwa xtremespika moja tu, bluetooth speaker
![]()
Samsung Home theatre. Hii dukani ni 1.9mWe we unatumia zipi
hizi sea piano ...za laki na nusu
Kweny skukuu walitoa ofa kweny site yao..saiz sjui kama bado ipojbl mbna nyingi naona dola 200 had 300 kwa xtreme
inategemea na version mkuu, umecheki amazon?jbl mbna nyingi naona dola 200 had 300 kwa xtreme
mbna sony nzuri rms 1000w ni around laki nane au tisa hiyo theatre ya samsung tena bei hiyo em tupe model yake ....hi fi ndo rahisi kufika hayo mabei lakini sio home theatreSamsung Home theatre. Hii dukani ni 1.9m
youtube wakireviewinategemea na version mkuu, umecheki amazon?
Mkuu hizi speaker huku Arusha wanatupiga sana, si chini ya 200Kspika moja tu, bluetooth speaker
![]()