Mkuu una mziki mzuri...ila haujaupanga vzuri...upange vzuri ili upate quality nzuri ya mziki wakohuyo mnyama ndy suluhisho,,,samsung 3D.....jichange mkuu,,uende GAME![]()
Imekufaje kwa sauti kubwa? Umeifungua na umekuta resistor? au IC? imekuwa nyeusi.
Ngoja nikupe Ufafanuzi kiasi.
1. Hiyo SeaPiano ni multimedia speaker System ambayo inaweza kuwa 2.1 au 5.1 channel.
endapo ni ni 2.1 basi itakuwa na IC 3 na kama ni 5.1 basi itakuwa na IC 4 au 5 au 6 kutegemeana na ukubwa (Power in WATTS)
2. Mara nyingi kinachoungua ni IC (especially IC ya speaker kubwa -SUBWOOFER) na husababishwa na ufunguliaji wa sauti kubwa muda mrefu hivyo ina OVERHEAT.
3. Pia inaweza kuua Fuse ( kutokana na matatizo ya umeme) au inaweza kuua vyote Fuse na IC.
-----------------------------------------------------------------------
Kuhusu Ubora wa hizi bidhaa.
1.Zinatumia TRANSFOMER Powersupply (LINEAR PSU) na huwa HAZINA PROTECTION ya uhakika.
2. Cooling system zake hazitoshelezi kupooza joto la IC kwa matumizi makubwa.
3. IC za surrounding speaker ndio aina hiyo hiyo inatumika kwenye subwoofer speaker (sidhani kama huwa wanaconsider vigezo).
4. Zinakula umeme tena hata kama ipo standby.
mkuu kuna nyingne hapa aborder Bluetooth imezingua siku ya NNE sasa ila kila kitu kizima tundu za aux in zote zinafanya kazi pia flash na SD inafanya kazi na bass u
iko poa.. nn inaweza kuwa tatizo
mkuu kuna nyingne hapa aborder Bluetooth imezingua siku ya NNE sasa ila kila kitu kizima tundu za aux in zote zinafanya kazi pia flash na SD inafanya kazi na bass u
iko poa.. nn inaweza kuwa tatizo
nilifungua kila nachoangalia naona kipo Sawa ...ila kuna resista r16 na r47 vidogo sana kama havipo hiyo sehemu yani kuna njia huku na huku katikati ndo ikae hizi resistor naona kama hazipo hivi thou ukiisearch Bluetooth take unaipata shida kuconectinawezekana bluetooth module imeshort au imekuwa disconnected. Kama unaweza ifungue uangalie kama kuna loose connection.