Sabufa za kichina kwanini ziko hivi!

Sabufa za kichina kwanini ziko hivi!

Imekufaje kwa sauti kubwa? Umeifungua na umekuta resistor? au IC? imekuwa nyeusi.

Ngoja nikupe Ufafanuzi kiasi.
1. Hiyo SeaPiano ni multimedia speaker System ambayo inaweza kuwa 2.1 au 5.1 channel.
endapo ni ni 2.1 basi itakuwa na IC 3 na kama ni 5.1 basi itakuwa na IC 4 au 5 au 6 kutegemeana na ukubwa (Power in WATTS)

2. Mara nyingi kinachoungua ni IC (especially IC ya speaker kubwa -SUBWOOFER) na husababishwa na ufunguliaji wa sauti kubwa muda mrefu hivyo ina OVERHEAT.

3. Pia inaweza kuua Fuse ( kutokana na matatizo ya umeme) au inaweza kuua vyote Fuse na IC.

-----------------------------------------------------------------------

Kuhusu Ubora wa hizi bidhaa.
1.Zinatumia TRANSFOMER Powersupply (LINEAR PSU) na huwa HAZINA PROTECTION ya uhakika.
2. Cooling system zake hazitoshelezi kupooza joto la IC kwa matumizi makubwa.
3. IC za surrounding speaker ndio aina hiyo hiyo inatumika kwenye subwoofer speaker (sidhani kama huwa wanaconsider vigezo).
4. Zinakula umeme tena hata kama ipo standby.
We we unatumia zipi
 
Ni zipi hizo chief
kama hii
best-bluetooth-speaker.jpg
 
Mi naamini hizi kitu za wachina zinatengenezwa na wanafunzi wa daraja la chini kabisa km majaribio ya vitendo kwa vile walivyosoma..
 
Sound system nzuri unachukua research time,pesa na uvumilivu...na mziki mzuri huwezi upata kwa subwoofer au speaker za kichina...una upata kwa ku assemble music system yako.. 7.2 music systems, pioneer av receiver,bookshelf speaker,central speaker,floorstand speaker,svs elevation speaker na svs pb-1000 subwoofer...huu mziki may take yrs to build ila ukikalimika utajua tu tofauti ya huo mziki na vi mziki tunavyouziwa town...guarantee ni 10yrs and above (svs ikifa subwoofer wana replace with no additonal cost labda usafiri) km una stable power na sound yake ikiwa full ni balaa lingine,na ht ktk sauti ndogo ni km upo studio au cimena...ukiwa na vipesa kidogo unaweza ku upgrade to full svs sound au klipch....ukitaka kununua agiza ebay or amazon..good luck kwa wapenda sound nzuri
 
bongo zipo za kichina tu 20,000 mpaka 30,000, za brand kubwa ni around 60,000 na kuendelea hadi ila sweet spot ni around 100,000 hadi 200,000
Hizo a brand kubwa zinapatikana wapi kama bongo hazipo. ??
 
Subwoofer nyingi za kichina hutengenezwa kwa component za low quality, na ndio maana hata bei zake ni za chini, hata utumizi wake wa umeme si mzuri. Nzuri zipo za hao hao wachina ila importers wengi ambao ni wabongo wanakimbilia vya rahisi kulingana na soko na vipato hafifu vya Watanzania wengi.
yupo mchina humu ndani ajibu
 
bongo zipo za kichina tu 20,000 mpaka 30,000, za brand kubwa ni around 60,000 na kuendelea hadi ila sweet spot ni around 100,000 hadi 200,000
chief kwahiyo hizo naweza piga hata mziki wa kwenye simu yangu si ndio
 
yap unaweza zina bluetooth na nyengine zina usb kwa ajili ya flash, memory card etc
eeh bwana jpili naenda kuibeba nimsikilize one republic na kids yake kwenye mziki mnene, sasa kama hiyo inatumia chaji au, maana sioni waya hapo
 
Back
Top Bottom