Kudadeki
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 859
- 52
hivi Gaddafi hajawahi kuimwagia CCM pesa through bernard membe mpaka membe akaamuliwa na Ghaddafi ajenge misikiti jimboni kwake?
Hapana aliyechangisha fedha hizo ni Nyerere. In fact hichi kitendo cha Nyerere kuchangisha fedha kutoka kwa Dikteta Gaddafi ili kujenga msikiti huko Butiama kinachukuliwa kama "muujizi" ambao utampelekea Nyerere kupata UTAKATIFU!