Sabodo aichangia CHADEMA milioni mia moja

Itakuitaji muda mrefu kufikiria na kuconnect dots membe na sofia wanachosema kina ukweli ndani yake. inawezekana wahisani wa nje wanapitia migongo ya wengine kusponsar vyama, na inawezekani hii imeanza muda mrefu.

Mzee Sabodo amekuwa akimwaga hela kwa CDM kwa muda mrefu na mara nyingi. Je wahisani wamepitia kwa sabodo kuipa nguvu cdm?

Naweza kusema hii ni moja wapo ya ushahidi wa cdm kupokea mkwanja toka nje


DSC09389.JPG


:msela::msela:

Pole sana..nafatilia thread zako..unatia mashaka sana kwa kila unachochangia..kwa ushauri wa bure tu..fatilia kwanza Sabodo ni nani nchi hii na biashara zake alianza wapi..waulize pia wakubwa wako miaka ya hivi karibuni tu, sio zamani sana (maana tukikurejesha zamani sana wakati Sabodo akiwa best wa mwalimu Nyerere ulikuwa hata hujafikiriwa)..ni hivi majuzi tu wakati ukiwa sjui darasa la ngapi, sjui chekechea, kulikuwa na kitu kinaitwa Bahati Nasibu ya Mwalimu Nyerere, ulizia fedha za hiyo zilitoka wapi...lakini vile vile ni bora uje kwa speed ya kati kidogo..naona waliokutuma mpaka pia wanashangaa unavyoitekeleza kazi waliyokupa kwa pupa hivyo..njoo taratibu
 
SABODO AICHANGIA CHADEMA MILIONI MIA MOJA

DSC09396.JPG


Juu mfanyabiashara maarufu na muumini wa maendeleo ya kijamii nchini, BW. Mustapha Jaffar Sabodo akimkabidhi hundi ya shilingi milioni 100 Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA Mh.Freeman Mbowe aliyeambatana na Katibu Mkuu wake Dr Wilibrod Slaa leo jijini Dar. Chini Bw. Sabodo akiongea na Mh. Mbowe na Dk. Slaa

DSC09389.JPG


CHANZO:
Michuzi Blog
CHADEMA wapokea mshiko?

Daah mbowe na slaa mate yalikua yanawatoka ,hapo slaa alikua anajisemea kimoyomoyo mpango wa nyumba yake umeshakamilika!!
 
Uliona wapi mtu anafuatwa nyumbani kwake na wanasiasa ili kutoa msaada? Chadema wote ni wasaliti, inakuwaje Mnapewa pesa na Kada wa CCM na mnakubali? kama kushirikiana na mtu wa CCM kwenu ni dhambi? tutahakikishaje kama hamhongwi kama mnavyomtuhumu zitto?

Nakala kwa: Godbless J Lema , Zitto , THE BIG SHOW , sixgates....etc



Hayo angeyafanya zitto ungeona misukule ya slaa jins inavyomwaga POVU,,

WABAGUZ WASO KIFANI HAWA JAMAA
 
Back
Top Bottom