Angekichangia chama tawala angeitwa fisadi... siasa bana... nachoka kabisa!
Hahaha hahah....nimecheka sana.....nyongeza tu....angepokea Zitto hizo pesa...pasingekalika hapa....!!!
Angekichangia chama tawala angeitwa fisadi... siasa bana... nachoka kabisa!
Kuna mtu yoyote ametoa mchango mkubwa CCM akaitwa fisadi watu wakashindwa kuonyesha ufisadi wake hapa?Kama yupo tupe jina na ushahidi.Angekichangia chama tawala angeitwa fisadi... siasa bana... nachoka kabisa!
Hao wote wanao itwa mafisadi wamefisadisha nini? Je unajuwa kiundani kama kweli ni mafisadi?Kuna mtu yoyote ametoa mchango mkubwa CCM akaitwa fisadi watu wakashindwa kuonyesha ufisadi wake hapa?Kama yupo tupe jina na ushahidi.
Hahaha hahah....nimecheka sana.....nyongeza tu....angepokea Zitto hizo pesa...pasingekalika hapa....!!!
Kiranga,Vyama vyote, vilivyo madarakani na vya upinzani, viogope kuchangiwa michango mikubwa na watu wachache. Chama kinapochangiwa mchango mkubwa na mtu mmoja kuna hatari kubwa ya kununuliwa na kukosa uhuru wa maamuzi.
Kiranga,
Mbona hili bwawa lilishapasuka siku nyingi? Huwezi kulirudisha jini kwenye chupa.
Kanda2,Ama kweli ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni... rafiki na mshirika mkuu wa Jeetu Patel anachangia chama makini chenye kupinga ufisaid Chadema!
Tuliwaambia hapa kila mwana siasa wa Bongo ana bei yake mkabisha haya sasa....
Kiranga,It is not so much kulirudisha jini kwenye chupa as it is ku state first principles tu. Every action has an equal and opposite reaction, there is no free lunch in the known universe, especially kutoka kwa ndugu zetu hawa.
Kama hii situation inaweza kuwa repaired, legality yake na swala zima la campaign finance legislation linasemaje etc, hayo ni maswala mengine.
Vyama imara huendeshwa kwa grassroot organizations, sio kwa kuwa na michango mikubwa ya vizito wachache.
Kesho keshokutwa kizito atakuwa ana interest zake za kibiashara atawaomba wabunge wa CHADEMA wamfanyie hisani fulani kwa kutumia privileges zao za kibunge wataona haya kumkatalia kwa kuangalia mchango wake mkubwa, tutakwazana hivi hivi jamani. Ni hilo tu ninalohofia.
Kiranga usihofu sana, mioyo ya watu inatofautiana si kila mtu atoaye hungojea karama zimrudie kuna wale wenye mioyo ya tenda wema uende zako usisubiri.........It is not so much kulirudisha jini kwenye chupa as it is ku state first principles tu. Every action has an equal and opposite reaction, there is no free lunch in the known universe, especially kutoka kwa ndugu zetu hawa.
Kama hii situation inaweza kuwa repaired, legality yake na swala zima la campaign finance legislation linasemaje etc, hayo ni maswala mengine.
Vyama imara huendeshwa kwa grassroot organizations, sio kwa kuwa na michango mikubwa ya vizito wachache.
Kesho keshokutwa kizito atakuwa ana interest zake za kibiashara atawaomba wabunge wa CHADEMA wamfanyie hisani fulani kwa kutumia privileges zao za kibunge wataona haya kumkatalia kwa kuangalia mchango wake mkubwa, tutakwazana hivi hivi jamani. Ni hilo tu ninalohofia.
Kiranga usihofu sana, mioyo ya watu inatofautiana si kila mtu atoaye hungojea karama zimrudie kuna wale wenye mioyo ya tenda wema uende zako usisubiri.........