Sabaya bado ni mshindi mpaka sasa, kinachoendelea ni Uhuni

Kabisa halafu sababu ni alikataliwa na demu wa dogo ,ambae huyu mdogo wetu sio demu wake ni mchumba wake ambae wamezaa mtoto na tayari dogo amemuoa ,sasa sikuhiyo dogo alitoka na mchumba wake out ,jamaa kumuona katuma mabaunsa wakamwambie kuna laki 5 atemane na dogo demu akawajibu mm sio malaya huyu ni mume wangu sasa sabaya alikuwa hakubali kushindwa kitu akaona dogo kama kamzidi kitu ,akavizia kaenda choon walimpiga sana dogo mbaya zaid alikuwa na kahaba moja anatembea nalo lilimngata dogo tunashukuru alipima moto hana siku hiyo na baada ya miezi mitatu
unajua kudanganya sana aisee
 
Pamoja na nguvu kubwa iliyotumika kumkomoa.

Hakuna hatia yoyote aliyokutwa nayo mpaka sasa Ndugu Lengai Ole Sabaya.
Kinachofanyika ni Uhuni wa kumkomoa kupitia Cartel ya wahalifu wa "Hai".

Na mnaposema hakuna uhuni kwa sasa,ebu mtuambie!

Inakuwaje!
Mtu ameshinda kesi,anarudishwa Rumande kwa sababu bado anayo kesi ingine.

Halafu akiwa amelala Ndani ya Gereza,usiku.
Anaamshwa na kutolewa kinyemela katika gereza la Kisongo- Arusha na kusafirishwa kinyume na taratibu,hadi Gereza la Karanga mkoani Kilimanjaro mjini Moshi.

Mtuhumiwa au mshitakiwa haruhusiwi kuhamishwa Gereza Usiku,tena bila mwanasheria wake kuwa na taarifa.Wala bila kuwepo remove warranty au Remove Order ya Mahakama.

Kisha Anafunguliwa Kesi ambayo kiuhalisia ndio ile ile ambayo amekwisha shinda kule Arusha!

Kwa sababu ya kukosekana ushahidi,anaendelea kushikiliwa huko kihuni,huku kesi ikiendelea kupigwa tarehe kila uchao,kwa visingizio kwamba upelelezi haujakamilika.

La kustaabisha,washtakiwa wenzie,wa kesi ile ile,wanaambiwa wakiri kosa na wanakiri na kupigwa faini ya shilingi elfu hamsini za kitanzania na wanaachiwa huru.

Sabaya kama mlengwa wa kukomolewa,na kwa sababu DPP kweka anazozijua yeye!
Bado anaendelea kumshikilia Sabaya kinyemela,halafu mnasema Serikali hii haina wahuni?

Ukweli unabaki kwamba,Sabaya amewashinda,na kinachoendelea ni Uhuni mtupu!

Wahuni wa Mbowe mtatukana sana,lakini ukweli hamtaubadilisha asilani.

Tutaendelea kuwaambia mpaka tarehe ya mwisho.

Nimepita....
10101.
Hivi nani alitoa CCTV camera kule Dodoma baada ya Mh. Lissu kushambuliwa? Poleni sana Sukuma gang, na bado huu ni mwanzo tu. Mlijifanya wajanja pori sasa mtavuna maovu yenu mkitanguliwa na mungu wenu aliyeko motoni
 
Pamoja na nguvu kubwa iliyotumika kumkomoa.

Hakuna hatia yoyote aliyokutwa nayo mpaka sasa Ndugu Lengai Ole Sabaya.
Kinachofanyika ni Uhuni wa kumkomoa kupitia Cartel ya wahalifu wa "Hai".

Na mnaposema hakuna uhuni kwa sasa,ebu mtuambie!

Inakuwaje!
Mtu ameshinda kesi,anarudishwa Rumande kwa sababu bado anayo kesi ingine.

Halafu akiwa amelala Ndani ya Gereza,usiku.
Anaamshwa na kutolewa kinyemela katika gereza la Kisongo- Arusha na kusafirishwa kinyume na taratibu,hadi Gereza la Karanga mkoani Kilimanjaro mjini Moshi.

Mtuhumiwa au mshitakiwa haruhusiwi kuhamishwa Gereza Usiku,tena bila mwanasheria wake kuwa na taarifa.Wala bila kuwepo remove warranty au Remove Order ya Mahakama.

Kisha Anafunguliwa Kesi ambayo kiuhalisia ndio ile ile ambayo amekwisha shinda kule Arusha!

Kwa sababu ya kukosekana ushahidi,anaendelea kushikiliwa huko kihuni,huku kesi ikiendelea kupigwa tarehe kila uchao,kwa visingizio kwamba upelelezi haujakamilika.

La kustaabisha,washtakiwa wenzie,wa kesi ile ile,wanaambiwa wakiri kosa na wanakiri na kupigwa faini ya shilingi elfu hamsini za kitanzania na wanaachiwa huru.

Sabaya kama mlengwa wa kukomolewa,na kwa sababu DPP kweka anazozijua yeye!
Bado anaendelea kumshikilia Sabaya kinyemela,halafu mnasema Serikali hii haina wahuni?

Ukweli unabaki kwamba,Sabaya amewashinda,na kinachoendelea ni Uhuni mtupu!

Wahuni wa Mbowe mtatukana sana,lakini ukweli hamtaubadilisha asilani.

Tutaendelea kuwaambia mpaka tarehe ya mwisho.

Nimepita....
10101.
Kila mmea una kipindi cha mavuno...
 
Back
Top Bottom