econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 25,096
- 39,922
Hao watakuwa ni wale watengeneza pesa za bandia kule Hai na Dar es Salaam.
Maana ndio Cartel inayomkomoa ikishirikiana na Mbowe.
Rais kashasema siasa za uhasama zimepitwa na wakati.
Hao watakuwa ni wale watengeneza pesa za bandia kule Hai na Dar es Salaam.
Maana ndio Cartel inayomkomoa ikishirikiana na Mbowe.
Wengi wameacha mshitaki wanapewa hela ,sasa sisi hela ya kula tunayo na hasira zetu ni alivyokuwa anatupora hela na kututisha ,tunazihamishia kwa kesi hiiKhekhekhekhekhe khekhekhe khekhekhe kwamba ela mnazo🤨
Sasa hivi vijana wa Hai ndo wanamtesa au imekuaje?Pamoja na nguvu kubwa iliyotumika kumkomoa.
Hakuna hatia yoyote aliyokutwa nayo mpaka sasa Ndugu Lengai Ole Sabaya.
Kinachofanyika ni Uhuni wa kumkomoa kupitia Cartel ya wahalifu wa "Hai".
Na mnaposema hakuna uhuni kwa sasa,ebu mtuambie!
Inakuwaje!
Mtu ameshinda kesi,anarudishwa Rumande kwa sababu bado anayo kesi ingine.
Halafu akiwa amelala Ndani ya Gereza,usiku.
Anaamshwa na kutolewa kinyemela katika gereza la Kisongo- Arusha na kusafirishwa kinyume na taratibu,hadi Gereza la Karanga mkoani Kilimanjaro mjini Moshi.
Mtuhumiwa au mshitakiwa haruhusiwi kuhamishwa Gereza Usiku,tena bila mwanasheria wake kuwa na taarifa.Wala bila kuwepo remove warranty au Remove Order ya Mahakama.
Kisha Anafunguliwa Kesi ambayo kiuhalisia ndio ile ile ambayo amekwisha shinda kule Arusha!
Kwa sababu ya kukosekana ushahidi,anaendelea kushikiliwa huko kihuni,huku kesi ikiendelea kupigwa tarehe kila uchao,kwa visingizio kwamba upelelezi haujakamilika.
La kustaabisha,washtakiwa wenzie,wa kesi ile ile,wanaambiwa wakiri kosa na wanakiri na kupigwa faini ya shilingi elfu hamsini za kitanzania na wanaachiwa huru.
Sabaya kama mlengwa wa kukomolewa,na kwa sababu DPP kweka anazozijua yeye!
Bado anaendelea kumshikilia Sabaya kinyemela,halafu mnasema Serikali hii haina wahuni?
Ukweli unabaki kwamba,Sabaya amewashinda,na kinachoendelea ni Uhuni mtupu!
Wahuni wa Mbowe mtatukana sana,lakini ukweli hamtaubadilisha asilani.
Tutaendelea kuwaambia mpaka tarehe ya mwisho.
Nimepita....
10101.
🤣🤣🤣🤣 Aiseh we unapenda sifa sana inaonekana.Wengi wameacha mshitaki wanapewa hela ,sasa sisi hela ya kula tunayo na hasira zetu ni alivyokuwa anatupora hela na kututisha ,tunazihamishia kwa kesi hii
Kabisa halafu sababu ni alikataliwa na demu wa dogo ,ambae huyu mdogo wetu sio demu wake ni mchumba wake ambae wamezaa mtoto na tayari dogo amemuoa ...
Jambazi sugu Sabaya lazima aozee jelaHao watakuwa ni wale watengeneza pesa za bandia kule Hai na Dar es Salaam.
Maana ndio Cartel inayomkomoa ikishirikiana na Mbowe.
We mpuuzi wa rombo mashati...anachofanyiwa Sabaya ni maandalizi ya kuja kuwa Rais wa Tanzania.Mpelekee Chai pale Jela Kisongo au Karanga,acha kupoteza muda kuandika UHARO JF
Dah,, mkuu fanyeni hivyo mbona mnachelewa,, huyu jamaa ni zaidi ya shetani, alikuwa anajiona mungu mtu.Sisi tunayo kesi ambayo imepewa n'a registration na ndani ya ushahidi tunayo vidéo akimpiga mdogo wetu n'a ak 47 pale cocorico arusha kwa hiyo akiachiwa tu tunaanzisha yetu tuone kama atatoboa n'a hela tunazo
we ngoja wajifanye kumuachiaDah,, mkuu fanyeni hivyo mbona mnachelewa,, huyu jamaa ni zaidi ya shetani, alikuwa anajiona mungu mtu.
Yaani hakikisheni huyu mbwa anapotea kabisa hata kwa ndumbaKabisa halafu sababu ni alikataliwa na demu wa dogo ,ambae huyu mdogo wetu sio demu wake ni mchumba wake ambae wamezaa mtoto na tayari dogo amemuoa ,sasa sikuhiyo dogo alitoka na mchumba wake out ,jamaa kumuona katuma mabaunsa wakamwambie kuna laki 5 atemane na dogo demu akawajibu mm sio malaya huyu ni mume wangu sasa sabaya alikuwa hakubali kushindwa kitu akaona dogo kama kamzidi kitu ,akavizia kaenda choon walimpiga sana dogo mbaya zaid alikuwa na kahaba moja anatembea nalo lilimngata dogo tunashukuru alipima moto hana siku hiyo na baada ya miezi mitatu
Pamoja na nguvu kubwa iliyotumika kumkomoa.
Hakuna hatia yoyote aliyokutwa nayo mpaka sasa Ndugu Lengai Ole Sabaya.
Kinachofanyika ni Uhuni wa kumkomoa kupitia Cartel ya wahalifu wa "Hai".
Na mnaposema hakuna uhuni kwa sasa,ebu mtuambie!
Inakuwaje!
Mtu ameshinda kesi,anarudishwa Rumande kwa sababu bado anayo kesi ingine.
Halafu akiwa amelala Ndani ya Gereza,usiku.
Anaamshwa na kutolewa kinyemela katika gereza la Kisongo- Arusha na kusafirishwa kinyume na taratibu,hadi Gereza la Karanga mkoani Kilimanjaro mjini Moshi.
Mtuhumiwa au mshitakiwa haruhusiwi kuhamishwa Gereza Usiku,tena bila mwanasheria wake kuwa na taarifa.Wala bila kuwepo remove warranty au Remove Order ya Mahakama.
Kisha Anafunguliwa Kesi ambayo kiuhalisia ndio ile ile ambayo amekwisha shinda kule Arusha!
Kwa sababu ya kukosekana ushahidi,anaendelea kushikiliwa huko kihuni,huku kesi ikiendelea kupigwa tarehe kila uchao,kwa visingizio kwamba upelelezi haujakamilika.
La kustaabisha,washtakiwa wenzie,wa kesi ile ile,wanaambiwa wakiri kosa na wanakiri na kupigwa faini ya shilingi elfu hamsini za kitanzania na wanaachiwa huru.
Sabaya kama mlengwa wa kukomolewa,na kwa sababu DPP kweka anazozijua yeye!
Bado anaendelea kumshikilia Sabaya kinyemela,halafu mnasema Serikali hii haina wahuni?
Ukweli unabaki kwamba,Sabaya amewashinda,na kinachoendelea ni Uhuni mtupu!
Wahuni wa Mbowe mtatukana sana,lakini ukweli hamtaubadilisha asilani.
Tutaendelea kuwaambia mpaka tarehe ya mwisho.
Nimepita....
10101.
Definately Sabaya alikuwa jambazi hasa.Nikikumbuka viongozi aina ya Sabaya naongeza kumchukia Magufuli.
Hivi huyu alikuwa kiongozi au jambazi?
Definately Sabaya alikuwa jambazi hasa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]labda awe Rais wa MATAKONI kwako[emoji1787][emoji1787][emoji38]We mpuuzi wa rombo mashati...anachofanyiwa Sabaya ni maandalizi ya kuja kuwa Rais wa Tanzania.
Yaani huyu adhabu anayostahili achomwe moto kama kibaka wa kawaida tu.Kuna watu wa kuonewa hura, lakini siyo majitu maovu kama Sabaya.
Fikiria shetani hili lilifikia hatua ya kumkata masikio mama asiye na hatia. Lilifikia kumpigilia msumari mtoto wa miaka 17 eti aseme Baba yake yupo wapi. Shetani kama hili, nalo ni la kuonewa huruma?
Huyu acha akae huko huko ndiko alikojichagulia.