Sabaya bado ni mshindi mpaka sasa, kinachoendelea ni Uhuni

Huyu mama ni mzandiki sna..ana visasi vya kishamba utafikiri atatawala milele...mshamba wa wete tu hana issue
 
Pamoja na nguvu kubwa iliyotumika kumkomoa.

Hakuna hatia yoyote aliyokutwa nayo mpaka sasa Ndugu Lengai Ole Sabaya.
Kinachofanyika ni Uhuni wa kumkomoa kupitia Cartel ya wahalifu wa "Hai".

Na mnaposema hakuna uhuni kwa sasa,ebu mtuambie!

Inakuwaje!
Mtu ameshinda kesi,anarudishwa Rumande kwa sababu bado anayo kesi ingine.

Halafu akiwa amelala Ndani ya Gereza,usiku.
Anaamshwa na kutolewa kinyemela katika gereza la Kisongo- Arusha na kusafirishwa kinyume na taratibu,hadi Gereza la Karanga mkoani Kilimanjaro mjini Moshi.

Mtuhumiwa au mshitakiwa haruhusiwi kuhamishwa Gereza Usiku,tena bila mwanasheria wake kuwa na taarifa.Wala bila kuwepo remove warranty au Remove Order ya Mahakama.

Kisha Anafunguliwa Kesi ambayo kiuhalisia ndio ile ile ambayo amekwisha shinda kule Arusha!

Kwa sababu ya kukosekana ushahidi,anaendelea kushikiliwa huko kihuni,huku kesi ikiendelea kupigwa tarehe kila uchao,kwa visingizio kwamba upelelezi haujakamilika.

La kustaabisha,washtakiwa wenzie,wa kesi ile ile,wanaambiwa wakiri kosa na wanakiri na kupigwa faini ya shilingi elfu hamsini za kitanzania na wanaachiwa huru.

Sabaya kama mlengwa wa kukomolewa,na kwa sababu DPP kweka anazozijua yeye!
Bado anaendelea kumshikilia Sabaya kinyemela,halafu mnasema Serikali hii haina wahuni?

Ukweli unabaki kwamba,Sabaya amewashinda,na kinachoendelea ni Uhuni mtupu!

Wahuni wa Mbowe mtatukana sana,lakini ukweli hamtaubadilisha asilani.

Tutaendelea kuwaambia mpaka tarehe ya mwisho.

Nimepita....
10101.
Sema nini. Kwa sasa Sabaya amejua hii nchi mwanaume ni nani na ni kina nani wanaimiliki hii nchi
 
Nikikumbuka viongozi aina ya Sabaya naongeza kumchukia Magufuli.

Hivi huyu alikuwa kiongozi au jambazi?
 
Huyu hatakaa aishi uraiani maisha yake yote yaliyobaki hapa duniani
Kabisa halafu sababu ni alikataliwa na demu wa dogo ,ambae huyu mdogo wetu sio demu wake ni mchumba wake ambae wamezaa mtoto na tayari dogo amemuoa ,sasa sikuhiyo dogo alitoka na mchumba wake out ,jamaa kumuona katuma mabaunsa wakamwambie kuna laki 5 atemane na dogo demu akawajibu mm sio malaya huyu ni mume wangu sasa sabaya alikuwa hakubali kushindwa kitu akaona dogo kama kamzidi kitu ,akavizia kaenda choon walimpiga sana dogo mbaya zaid alikuwa na kahaba moja anatembea nalo lilimngata dogo tunashukuru alipima moto hana siku hiyo na baada ya miezi mitatu
 
vyovyote itakavyokuwa lakini hakika cha moto amekipata[emoji1787]yaani hata ikitokea akarudi uraiani leo naamini hata akiona Kuku atatoa Shikamoo kwa Kuku maana kusota Jela mwaka mmoja na Nusu kwa mtu aliyekuwa na madaraka na jeuri ya kujiita Jenerali ni fedheha kubwa sana,hakika What Goes Around Comes Around
hahahaha eti jenerali dogo alijisahau sana
 
Huyo mbwa atafia jela kwa ushenzi aliofanya akiwa uraiani watu watamuua mchana kweupe
Hao watakuwa ni wale watengeneza pesa za bandia kule Hai na Dar es Salaam.

Maana ndio Cartel inayomkomoa ikishirikiana na Mbowe.
 
Pamoja na nguvu kubwa iliyotumika kumkomoa.

Hakuna hatia yoyote aliyokutwa nayo mpaka sasa Ndugu Lengai Ole Sabaya.
Kinachofanyika ni Uhuni wa kumkomoa kupitia Cartel ya wahalifu wa "Hai".

Na mnaposema hakuna uhuni kwa sasa,ebu mtuambie!

Inakuwaje!
Mtu ameshinda kesi,anarudishwa Rumande kwa sababu bado anayo kesi ingine.

Halafu akiwa amelala Ndani ya Gereza,usiku.
Anaamshwa na kutolewa kinyemela katika gereza la Kisongo- Arusha na kusafirishwa kinyume na taratibu,hadi Gereza la Karanga mkoani Kilimanjaro mjini Moshi.

Mtuhumiwa au mshitakiwa haruhusiwi kuhamishwa Gereza Usiku,tena bila mwanasheria wake kuwa na taarifa.Wala bila kuwepo remove warranty au Remove Order ya Mahakama.

Kisha Anafunguliwa Kesi ambayo kiuhalisia ndio ile ile ambayo amekwisha shinda kule Arusha!

Kwa sababu ya kukosekana ushahidi,anaendelea kushikiliwa huko kihuni,huku kesi ikiendelea kupigwa tarehe kila uchao,kwa visingizio kwamba upelelezi haujakamilika.

La kustaabisha,washtakiwa wenzie,wa kesi ile ile,wanaambiwa wakiri kosa na wanakiri na kupigwa faini ya shilingi elfu hamsini za kitanzania na wanaachiwa huru.

Sabaya kama mlengwa wa kukomolewa,na kwa sababu DPP kweka anazozijua yeye!
Bado anaendelea kumshikilia Sabaya kinyemela,halafu mnasema Serikali hii haina wahuni?

Ukweli unabaki kwamba,Sabaya amewashinda,na kinachoendelea ni Uhuni mtupu!

Wahuni wa Mbowe mtatukana sana,lakini ukweli hamtaubadilisha asilani.

Tutaendelea kuwaambia mpaka tarehe ya mwisho.

Nimepita....
10101.

Sabaya ana shida na hapo kesi zote zimekatiwa rufaa mahakama kuu
 
Sisi tunayo kesi ambayo imepewa n'a registration na ndani ya ushahidi tunayo vidéo akimpiga mdogo wetu n'a ak 47 pale cocorico arusha kwa hiyo akiachiwa tu tunaanzisha yetu tuone kama atatoboa n'a hela tunazo
Khekhekhekhekhe khekhekhe khekhekhe kwamba ela mnazo🤨
 
Kabisa halafu sababu ni alikataliwa na demu wa dogo ,ambae huyu mdogo wetu sio demu wake ni mchumba wake ambae wamezaa mtoto na tayari dogo amemuoa ,sasa sikuhiyo dogo alitoka na mchumba wake out ,jamaa kumuona katuma mabaunsa wakamwambie kuna laki 5 atemane na dogo demu akawajibu mm sio malaya huyu ni mume wangu sasa sabaya alikuwa hakubali kushindwa kitu akaona dogo kama kamzidi kitu ,akavizia kaenda choon walimpiga sana dogo mbaya zaid alikuwa na kahaba moja anatembea nalo lilimngata dogo tunashukuru alipima moto hana siku hiyo na baada ya miezi mitatu

Poleni sana. Nchi ilikuwa inaelekea pabaya.
 
Back
Top Bottom