Te Lavista
JF-Expert Member
- Mar 12, 2017
- 1,626
- 2,848
Bado mkuu kama unayo naomba nisaidie..Dogo ushapata ajira?
Bado mkuu kama unayo naomba nisaidie..Dogo ushapata ajira?
We dogo acha ujinga wako naona unatikisa mzinga wa nyuki mchana jua linawaka juzi ulikua unalima hapa upewe kazi hata kuwa mhudumu bar VP umepata????Karuchi nipo hoi dear Mafua na kichwa vinaniendesha balaa
:Confused:
We dogo acha ujinga wako naona unatikisa mzinga wa nyuki mchana jua linawaka juzi ulikua unalima hapa upewe kazi hata kuwa mhudumu bar VP umepata????
Aaaaaargh!!!Tunaolewa sana kazi kwenu wenye uzuri wa kutafuta na darubini kutwa kujifariji
wengi wenu hamuolewi we shuhudia harusi za kuanzia mwaka jana hadi mwaka huu wanaooloewa wengi wako simple saana,tunaangalia wife material ,halafu nyie nyapu zenu zimecehezewa sana kama mbuzi au mooo aliyezaa au aliyeharibikiwa,mnachezewa sana jiangalieni huu ndio ukweli ,mnatafuta wanaume kwa kuangalia utajiri wao naw wao wanawapata kwa kutumia pesa wakiwapata na maradhi wakiwaachia wanaendelea na maisha yao na wake zao,msijifariji badilikeni la sivyo mtaishia kuwa nyumba ndogo na watu wa kumegwa na kuachwa,ukweli wengi wenu hamuolewi wengine hawapendi stress kwani nyie hamna utulivu kutokana na njia mlizopita ni nyingi hvy kurudisha game nyuma ni kitu cha kawaidaTunaolewa sana kazi kwenu wenye uzuri wa kutafuta na darubini kutwa kujifariji
kwanza machakaramu ndio wanaolewa..Kuolewa wakati mwingine ni bahati ya mtu si urembo wala si tabia. Unaweza kumkuta yule chakaram mtaani kaolewa na yule mwenye tabia nzuri anaozea ndani hivyo hivyo uzuri. Kuolewa hakuna formula.
😱😳😵🙁😡😕🙂😉🙄😕 So sad!Kutamaniwa nakila Mwanamme wao huishia kutafsri wanapendwa sana
Baki na nungaembe lako na povu lako kafulie mtongozo wako kajitie dole pumbavuwengi wenu hamuolewi we shuhudia harusi za kuanzia mwaka jana hadi mwaka huu wanaooloewa wengi wako simple saana,tunaangalia wife material ,halafu nyie nyapu zenu zimecehezewa sana kama mbuzi au mooo aliyezaa au aliyeharibikiwa,mnachezewa sana jiangalieni huu ndio ukweli ,mnatafuta wanaume kwa kuangalia utajiri wao naw wao wanawapata kwa kutumia pesa wakiwapata na maradhi wakiwaachia wanaendelea na maisha yao na wake zao,msijifariji badilikeni la sivyo mtaishia kuwa nyumba ndogo na watu wa kumegwa na kuachwa,ukweli wengi wenu hamuolewi wengine hawapendi stress kwani nyie hamna utulivu kutokana na njia mlizopita ni nyingi hvy kurudisha game nyuma ni kitu cha kawaida
Kwa vile kaoa nungaembeWivu tu umekujaa
Sio kwa utetezi Huu sikia mwanamke uzuri mwanaume uchumi imaraHahahaa tutajiju aje sasa akati sisi tunapokezana kuwabandua?
Nakuona tu kutwa kumsifi mima angekuwa nungaembe usingemtambulisha hata kwanguMkuu ,Warembo wengi hujipa moyo sababu ya urembo wao .
Kutamaniwa nakila Mwanamme wao huishia kutafsri wanapendwa sana ,Matokeo yake huwa wanashindwa kufanya maamuzi sahihi *Ingali bado niwarembo* ... Nahuja kushtuka wapo 29++++ too late maana ktk huo umri wanaume wengi wanakua tayar wanawachumba au wanawake wao tayar[emoji23]. 3-0.
Sure ktk maharusi niloudhuria , Ndugu narafiki ,, aiseeee unakuta jamaa yuko vzuriiii lkn ameoa mwanamke Wa kawaida sana !!!.
Hata ivo Urembo sio uzuri !!! Urembo huegemea sana ktk mwonekano ..lkn uzuri huzungumzia sana Sifa ndani nanje !!.
Hivo basi, Warembo wengi chansi nindogo ,na Wazuri wengi Wanachansi Kubwa !!.
Munitue na nimeolewa kwa taarifa yenuWewe mmoja wao kumbee
Hahahaha Mima ni 'Mzuri' Kapeace !!.Nakuona tu kutwa kumsifi mima angekuwa nungaembe usingemtambulisha hata kwangu