Mkuu ,Warembo wengi hujipa moyo sababu ya urembo wao .
Kutamaniwa nakila Mwanamme wao huishia kutafsri wanapendwa sana ,Matokeo yake huwa wanashindwa kufanya maamuzi sahihi *Ingali bado niwarembo* ... Nahuja kushtuka wapo 29++++ too late maana ktk huo umri wanaume wengi wanakua tayar wanawachumba au wanawake wao tayar[emoji23]. 3-0.
Sure ktk maharusi niloudhuria , Ndugu narafiki ,, aiseeee unakuta jamaa yuko vzuriiii lkn ameoa mwanamke Wa kawaida sana !!!.
Hata ivo Urembo sio uzuri !!! Urembo huegemea sana ktk mwonekano ..lkn uzuri huzungumzia sana Sifa ndani nanje !!.
Hivo basi, Warembo wengi chansi nindogo ,na Wazuri wengi Wanachansi Kubwa !!.