Sababu za wanawake wanaojiona warembo sana kutoolewa

Sababu za wanawake wanaojiona warembo sana kutoolewa

Joram Dymisster

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2014
Posts
502
Reaction score
430
msuoer.jpg

Nimeenda harusi nyingi wanawake wanaoolewa ni wale wa kawaida na wenye kujitambua, hawa wanaojiita warembo wengi wao hawaolewi na huishia kusimamia harusi za wanawake wenzao tu.

Pia wengi huishia kuwa nyumba ndogo, sababu kuu zinazofanya wasiolewe ni wengi wanakuwa wanataka kuishi maisha ya tamthilia za ng'ambo anataka mwanaume tajiri awe mtanashati sana.

Pia wanapenda sana matumizi makubwa story zake ni kuhusu matumizi ya anasa, wanaume wengi hushtuka na kuishia ku hit na kusepa.

Hawaridhiki anakuwa anajiona mzuri sana hivyo mkikorofishana kidogo na akatongozwa nje basi uishia kwenda nje. Wengi huishia kutumiwa tu na kuachwa kwa sababu ya tabia zao na tamaa.

Chanzo: Priority10News
 
Shareholder,hivi kumbe mleta thread ni wa kike
Sasa mwanaume wa kweli ataandika wivu na husda kwa warembo namna Hii, km sio mwanamke basi ni mwanaume Mwenye tabia za kike

Nimekumiss mpk nikasizi yani za darasa mamiii
 
Hawa wengi wao wanapenda masharobaro ambao wengi wao hawajielewi na wana videmu wengi, waache waisome namba tu huko street labda akili zitawakaa sawa
 
Sasa mwanaume wa kweli ataandika wivu na husda kwa warembo namna Hii, km sio mwanamke basi ni mwanaume Mwenye tabia za kike

Nimekumiss mpk nikasizi yani za darasa mamiii
Haahahhah ila kweli
Nimekumiss pia my dear...baby wangu hajapata mchepuko mpya kweli?
 
Haahahhah ila kweli
Nimekumiss pia my dear...baby wangu hajapata mchepuko mpya kweli?
Kaninunia baby wetu namtext ananichunia lol[emoji24] [emoji24] [emoji24] napambana na hali yangu

Hana mchepuko sema pic zake za makalio tu hajaacha

Uwe na siku nzuri baby J
 
Kaninunia baby wetu namtext ananichunia lol[emoji24] [emoji24] [emoji24] napambana na hali yangu

Hana mchepuko sema pic zake za makalio tu hajaacha

Uwe na siku nzuri baby J
Naombea aendelee kukuchunia hivyo hivyo ili mahaba yote yabakie kwangu😛

Hizo picha zake za makalio nilishamshindwa kwa kweli
Siku nzuri kwako pia kapeace ...see you around
 
Mi huw najiuliza sana hawa wanawake maisha yao yote wamewekeza kwenye kudanga na kuhangaika na kila aina ya wanawake huwa wanaona sawa kwa hiyo lifestyle yao??!!huwa hapo ndio mwisho wa akili yao kufkiri na kuona!wamejichagulia kabisa maisha hayo?? Je huwa wanafanya kwa hulka au wanafurahia maisha hayo!
Maana wengi wao nawaona hawana mpya wakishachuja wanakuwa kama simba mzee porini kila mtu anakaa nae mbali
 
Tunaolewa sana kazi kwenu wenye uzuri wa kutafuta na darubini kutwa kujifariji
Hapa jirani na job kuna kisu kimoja kikali kila idara,,sasa majuzi si nikakichokoza hazikupita ata dakika2 ikaja msg..naomba laki2.,khaa! af kitu ishabinuliwa na kila MTU kwenye huu mtaa.....sasa nkajiuliza hawa wadada warembo nao ni kama dola tuseme licha ya kutumika sana bado inazidi kupana?? Mnao jiona warembo mtachakazwa! Umri ukishawatupa mkono mtaolewa na wastaafu msijali!
 
Mtajiju
 
Back
Top Bottom