Sababu za vegetarians kutokula nyama

Na ndiyo maana hawajilipui mabomu mwilini au kutengeneza majini toka kwenye vitabu ili kutesa wenzao.
 
Wanasema hata mpangilio Wa meno yetu sio kwa ajili ya kula nyama,kwa sababu hatuna gap between tooth & tooth.

Ni vile tumepewa akili ya kutumia toothpick baada ya kula nyama,by the way nyama choma in tamu has a.
the way nyama choma in tamu has a.[emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani kila kitu kiwe tu kwa kiasi. Tule nyama kwa kiasi kuepuka madhara yake. Hivi naachaje kula nyama. Mboga za majani zenyewe tule kwa kiasi manake ukila sana damu ikizidi sio shida kweli.
 
Huku ni kuharibu medula kabisa sasa
Mkuu Mshana Jr Kuna mahali nimetazama documentary wanasema kuwa watafutaji wa Kuamka kiroho zamani walikuwa wanakaa kwenye mapango yenye giza, Yaani wanameditate kimya bila kufumba macho ili mradi tu pawe na utulivu wa hali ya Juu Sana na giza kubwa.
Je, Taamuli hiyo inautofauti na hiyo mnayofundisha humu Jf ambayo mnasema ni muda wowote hata iwe mchana kwenye mwanga ambayo mtu anafumba macho na kuzingatia pumzi?
 
Zipo tahajudi za aina mbalimbali na ya kukaa mapangoni ni mojawapo na nimewahi kufanya.. Nina picha yake ngoja nikiipata takuonesha hapa
 
Maajabu haya. Sasa wao wanakula vitu gani ambavyo havina uhai?

Maana kama ni mimea nayo ina uhai..


Wanasema imani yao inasema wale wanyama tunao wala watazaliwa wanadamu nao watatukula. Sasa mimi nitaliwa na wanadamu wangapi ambao leo hii ni wanyama nilio wala na ninazidi kuwala????

Poor reasoning kwakweli.......wangejua kuwa sisi viumbe tunategemeana ili tuishi, basi wasingekubali kukosa hizi protein muhimu sana
 
Na wale kware walioteremshwa toka mbinguni wakati Wana Israel wakitoka misri? Please tell something, viumbee hai ni pamoja vegetables so tafadhali naomba unielezee kiunabaga baga
 
Ni mimea sio viumbe uhai wao na wetu una tofauti kubwa sana..!
tumesoma shule na kujua ni viumbe hai.
Inazaliwa.
Mimeainakua.
vinapumua.
Vinahisia.
Kunavimimea ukivigusa vinajikunja.
vinakufa.
vinatoa excretions km wanyama wote.
Vinatumia jua by means of photosynthesisi.
Mwanadamu vit D
Napinga kwa sababu mimea ni viumbe hai pia.labda ule hewa au maji tu.sababu miili yetu asilimia 90 ni maji.utaishi pia
Huruma zipo tu siyo mpaka ule majani.
 
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…