Perry
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 10,043
- 2,000
jibu swali,acha kuzunguka mbuyu haujaulizwa huko shule za govt huwa mnafanya nini??kakuuliza miaka yote hiyo zaidi ya kumi ambayo marian inaongoza walikuwa wanaiba mitihani??
jibu ni ndiyo.
jibu swali,acha kuzunguka mbuyu haujaulizwa huko shule za govt huwa mnafanya nini??kakuuliza miaka yote hiyo zaidi ya kumi ambayo marian inaongoza walikuwa wanaiba mitihani??
hAPO KWENYE UBLUU UMENENA.MIMI MWENYEWE NIMEFUNDISHWA NA WALIMU AMBAO HAWAKUPATA HATA ELIMU YA DIPLOMA WALA DEGREE LAKINI NILIELEWA SANA HADI LEO HII.NILIPOENDA A LEVEL NIKAANZA KUONANA NA HAO WANAITWA WANADEGREE. KWA HAKIKA NILIFELI NA SIKUWAELEWA NA NILIWADHARAU SANA.MIMI HUWA NAISHANGAA SERIKALI INAPONG'ANG'ANIA KUWA WALIMU WAWE NA DIP AU DEG.MBONA SEMINARI ZINAONGOZA NA WALIMU WAKE WENGI NI FORM 6 LEAVER.?ELIMU SIO CHETI NI UWEZO.Hiz shule ni nzur lakin watoto wanalemaa hasa hiz za Bei kubwa kuna utofauti mkubwa na seminari za kikatorik kule mtoto anatoka yuko ful kwenye life cjui kwa sabab kuna kazi kama gerezan(hasa za mikoan) lakin huwa wakiingia chuo, wanakuwa na wknes kwa madem, seminiari zinafundisha maisha sana, nadhan kuliko shule zozote kwa Hapa tz. MI nadhan serikal inabid iige mfumo wa seminar(ukiondoa yale maswala ya kikatolik zaid) kama inataka iongeze idad ya ufaulu. Kumbuka hizi shule ni mara chache sana zinakuwa na walimu wenye hata hizo diploma, yaan wengi Wao tena hawana hata hizo pass za kuingia chuo. Je inakuwaje mtu aliye na four ya form 6, anakuwa anauwezo wa kumfundisha mtu na akapata 1? (karibia shule zote za serikali zina walimu wa ngaz ya diploma kwenda juu, lkn hazifaurish kama hiz seminar
Sio wote kuna wengine ni vipanga kwelikweli hadi chuo...sitamsahau dada mmoja alisoma A-level Marian PCM alitukimbiza balaa hadi tunamaliza chuo..na ndie aliyeongoza mwaka huo kwa G.P.A kubwa pale udsm...my point is kuna wengine kweli ni dhaifu sana ila wengi wao wanajitahidi sana...sio wao tu mbona hata wale vipanga wa Mzumbe,Ilboru,Tabora boys n.k wakifika chuo wanapotea vibaya..ni akili ya mtu na juhudi binafsi..Chuo ni tifauti sana na secondary..
kaka wewe mwalimu nini wa marian???........umeshawai kusikia ilboru,mzumbe,makongo,azania na st antony zikijitangaza??.......hapa point ni ileile kama kweli wanatoa elimu bora wachukue vilaza wawafundushe wakiwatoa ndo tutasema kweli ile shule kama kufahuru wanafahuru ilboru,aza,benja na mishule mingi tu msilete thread za kuadvertise shule.
jibu ni ndiyo.
Kubali kataa io ni mazingira ya rushwa imetengenzwa, 150 > 3000 wapi na wapi..! hadi rushwa ngono lazma ipo. Watu watapigwa njenje apo hawatakaa waamini
Mkuu ondoa kabisa hilo la Rushwa. Uliza wazazi na watoto wenyewe haki tupu pale Marian. Hata wanaokosa wanaridhika kabisa.
Huenda una ushahidi, but Marian wana Integrity ya hali ya juu. Manager wa shule Rev. Fr. Bayo ni mtu wa haki kabisa.
hAPO KWENYE UBLUU UMENENA.MIMI MWENYEWE NIMEFUNDISHWA NA WALIMU AMBAO HAWAKUPATA HATA ELIMU YA DIPLOMA WALA DEGREE LAKINI NILIELEWA SANA HADI LEO HII.NILIPOENDA A LEVEL NIKAANZA KUONANA NA HAO WANAITWA WANADEGREE. KWA HAKIKA NILIFELI NA SIKUWAELEWA NA NILIWADHARAU SANA.MIMI HUWA NAISHANGAA SERIKALI INAPONG'ANG'ANIA KUWA WALIMU WAWE NA DIP AU DEG.MBONA SEMINARI ZINAONGOZA NA WALIMU WAKE WENGI NI FORM 6 LEAVER.?ELIMU SIO CHETI NI UWEZO.
hivi Udsm ni chuo basi? Nakumbuka long time kitambo wkt niko VET SUA, watu waliokuwa wakidisco pale walikuwa wanakimbilia Udsm. Mfano halisi ni classmate aliedisco mwaka wa 3. (NB Veterinary medicine ni miaka5) alipokuja udsm alikimbiza mbaya huko huko engineering.
So ukitaka kuonyesha ugumu wa shule either refer SUA or Muhimbili. Not udsm generally
Siku izi kuna St Islamic Seminari Sec School,, Kazi kweli kwel.
Kaka hii shule ipo chini ya umiliki wa kanisa sasa habari ya mtu na mkewe inakujaje?million 45 swaafi wakitoka hapo na mkewe ni Dubaiii hahahaha
hizo sio mbwembwe, hivyo ndivyo inavyotakiwa,....hata mimi shule yangu natarajia kufanya mchakato wa aina hiyohiyo....safi sana...
Mkuu nadhani hukufanya utafiti kabla ya kuandika. Kwa kweli ondoa kabisa hilo wazo la Rushwa. Uliza wazazi na watoto wenyewe haki tupu inatendeka pale Marian. Hata wanaokosa wanaridhika kabisa.
Huenda una ushahidi, but Marian wana Integrity ya hali ya juu. Manager wa shule Rev. Fr. Bayo ni mtu wa haki kabisa.
By the way sababu moja ya mafanikio ya shule hiyo ni Discipline, kuanzia kwenye management hadi wanafunzi. Na wazazi hukimbilia hilo hasa kwa watoto wao wa kike.