Sababu za kwanini MaT.O (Tanzania one) hawafanikiwi kimaisha!?

Wewe Raynavero mimi pia EGM,humble imemuuma sana kuambiwa kasoma hkl,na kweli hiko kikomb ni cha failures,ya kuvutavuta kama vile ualimu ilivyokuwaga kote umekosa anaulizwa "hata ualimu pia amekosa?" japo sikatai kuna wanaosomea hobby ila wengi ndo hali zinakuwa tia maji tia maji
hapo hataki kuonekana kilaza kwa HKL yake!

Zamani nilikua nkiona mwanaume anasoma H kunani nashangaa kaah!!!wanasomea hobby wapo nakubali lakini sasa wanakua na target ya kusoma law na wana uwezo pia...
 
Hahahahahahaahhaaaa Mkuu ebu fafanua vizuri,sijui age yako ni ngapi ili niweze kujua umeona ma T.O wangapi mpaka ukaja kuconclude kwamba wamepigika.

Ebu Tutajie Ma T.O kuanzia 1975-2013(Nimeacha miaka mi5,nikiassume TO wa 2013 kwa sasa atakuwa ana mwaka m1 au m2 mtaani),weka stats tujue kama wamepigika au lah.

Shule nilizosoma hatujawahi kutoa T.O na wala siwajui ma T.O ,ebu weka mifano iliyo dhahiri tuconclude bandiko lako maana isije ikawa ni chuki tu,ila still tuwakubali maana kupiga A Flat masomo 10 sio mchezo.

Kufanikiwa kifedha(kuwa na pesa nyingi) hakuhusiani na elimu,elimu itakusaidia kupata kazi(zinazohitaji taaluma) kwa kupata kazi utapata mshahara ambao utasaidia kukidhi mahitaji mawili matatu,ila kutusua knahitaji akili ya ziada,wengi wametumia nafasi walizo nazo kujipatia pesa kwa njia zisizo halali.
 
Raynavero huu uzi ni mtamu kwa tunaowaelewa humble na engineer wameanzia wapi,wanatuburudisha maana hawa wana maneno sana ya shombo ya tambo kama Haji Manara na Jerry Muro ila itakula kwa humble alivyosema mat.o bora angemtaja mtani wake wa jadi tu engineer,wafia elimu hawatomuelewa,hata minsingewajua pia nisingemuelewa Humble African.
 
wazee wa tmt kwa ontario hao wanajuana vizuri sisi wengine acha tuwe watazamaji
 
vijana mliosoma shule za kajambanani mnashida sana.

huu ujinga mnaojadili hapa hauwezi kuuta unajadiliwa na sisi kaka zenu tuliosoma international school of tanganyika au wadogo zetu waliosoma feza boys.

sisi tukikutana huwa tunapeana updates za investment na miradi mbalimbali tuliyoianzisha ambayo inalipa kodi serikalini na kutoa ajira kwa maelfu ya watanzania.

kati ya alumni wenzangu wa IST ni yusuf bakhresa na mohamed dewji.
 
Wewe Raynavero mimi pia EGM,humble imemuuma sana kuambiwa kasoma hkl,na kweli hiko kikomb ni cha failures,ya kuvutavuta kama vile ualimu ilivyokuwaga kote umekosa anaulizwa "hata ualimu pia amekosa?" japo sikatai kuna wanaosomea hobby ila wengi ndo hali zinakuwa tia maji tia maji
Maelezo kama haya yako yanaproves namna ulivyo na akili timamu kumzidi engineer mjinga asiejua kujieleza na kutetea hoja zake zaidi ya kutukana watu hovyo. Sometimes huwa nasita kuamini kama huyu boya ni engineer kweli... Yaani ni mjinga hadi akili zake ababebewa na kinyozi.

Nimefurahi kuona unaweza kueleza mambo kwa ufasaha.
 
Back
Top Bottom