Sababu za kwanini MaT.O (Tanzania one) hawafanikiwi kimaisha!?

aisee kweli wewe ni noarmal People Ndio Maana Ulichepuka Na HKL ila hongera 7bu umechimbua sana /nina wasiwasi mi nina autism
 
Wewe Raynavero mimi pia EGM,humble imemuuma sana kuambiwa kasoma hkl,na kweli hiko kikomb ni cha failures,ya kuvutavuta kama vile ualimu ilivyokuwaga kote umekosa anaulizwa "hata ualimu pia amekosa?" japo sikatai kuna wanaosomea hobby ila wengi ndo hali zinakuwa tia maji tia maji
 
Back
Top Bottom