Sababu za kwanini MaT.O (Tanzania one) hawafanikiwi kimaisha!?

MISURI TEMBO HAWATOBOI KIMAISHA KWASABABU WANAJIFANYA WAJUAJI SANA ALAFU HAWAOGOPI KUFELI.. SASA WANATUMIA HIYO DHANA KATIKA MAISHA..

MAISHA UNATAKIWA UYAOGOPE KWANZA.. HII INAJENGA UWEZO WA KUYAKABILI KWA UMAKINI KULIKO KUYAINGIA KICHWA KICHWA.. UKIJIPA USHINDI KABLA YA MPAMBANO..
 
Ndomana nashangaa naowajua mimi wametoboa tu na walikua msuli tembo
 
Hahahaha wewe mchokozi
Yeye ndio kauanza uchokozi afu kumbe muoga balaa ....yaani ananiogopa hadi nabaki nacheeka tu. Jana kakaa kimya anasomea comments chini ya uvungu kwa uoga lakini ilipofika saa nane za usiku akajibu there is now way nitakuwa macho akajibu comment tatu akakimbia tena zisizo zangu.....kavizia tena jioni sipo akacomment akaniachia vumbi tu!

Vyanzo vyangu vya habari vinanipa taarifa zake kwamba jamaa alijiunga kwenye chama cha punyeto Tanzania maarufu kama (CHAMUGATA) kirefu "Chama cha Mugalala Tanzania" chenye mafungamano na CHAMUDATA akiwa form one B pale uzumbeni.

Nina mengi sana yanayomhusu!

CCNP Engineer Don't tease me if you can't please me coward bwai. I'm a bad ass muhufuka!
 
Hahahaha piah alishawahi kusema yeye Padri kwahiyo yawezekana akili yake ina Shidaa sana anaelekea kuwa chizi ukimleta mirembe Dodoma nitampokea
 
Ndomana nashangaa naowajua mimi wametoboa tu na walikua msuli tembo
Mkuu mwombeki kubali huu ukweli mchungu kwamba wenye elimu kubwa wengi walichofanya kwenye maisha ni kupunguza tu ukali wa maisha basi, lakini hayupo msomi anaishi comfortably akiwa na uhakika wa asilimia 100 kuishi miaka 50 bila kufanya kazi kwa jitihada.

Tena ukifika level ya profesa ndio ujue wewe na utajiri ni mbingu na ardhi! Hao wote unaowajua hawajatusua bali wamepunguza tu ukali wa maisha kama sisi akina kajamba nani? Mtu analipwa Milion moja kwa mwezi unasema katusua? C'moon man!

Kusoma sana pia ni ishara ya uoga wa maisha
 
Humble African mkuu naona makaburi yanafukuka tu mwanzo mwisho,duh kweli ukiyakanyaga usilaumu kunukiwa.
Tena nafukua makaburi yenye laana kama yale ya mafirauni wa Misri.

Ukianzisha vita na wacambodia wa Vietnam kubali kutokulala...dogo hanijui kwamba mbali na kuwa humble and respectful person pia Nina other part of aggressiveness and violent once provoked.

Sadism is inevitable when the situation is alarming...!
 
Mkuu mwombeki kubali huu ukweli mchungu kwamba wenye elimu kubwa wengi walichofanya kwenye maisha ni kupunguza tu ukali wa maisha basi, lakini hayupo msomi anaishi comfortably akiwa na uhakika wa asilimia 100 kuishi miaka 50 bila kufanya kazi kwa jitihada.

Tena ukifika level ya profesa ndio ujue wewe na utajiri ni mbingu na ardhi! Hao wote unaowajua hawajatusua bali wamepunguza tu ukali wa maisha kama sisi akina kajamba nani? Mtu analipwa Milion moja kwa mwezi unasema katusua? C'moon man!

Kusoma sana pia ni ishara ya uoga wa maisha
Unaowajua wewe ni tofauti na naowajua mimi, wooote naowajua mimi wametoboa, sasa sijui utanikonvisi vipi nikubaliane na wewe wakati ninaowajua wanaishi fresh tuu km nyumba gari likizo za kikazi, hata kutembelea mbuga wanafanya hizo kitu,
 
Hahahaha piah alishawahi kusema yeye Padri kwahiyo yawezekana akili yake ina Shidaa sana anaelekea kuwa chizi ukimleta mirembe Dodoma nitampokea
Ahahaha!! Atakusumbua sana kwa maswali yao yale ya "mwezi nchanga" anaweza Kukuomba madaftari na mayai atafune kidogo....utadata!

Mwache apambabe na hali yake john kisomo mkubwa...mpiga punyeto mkubwa yule....blalifuli!
 
Yeye ndio kauanza uchokozi afu kumbe muoga balaa ....yaani ananiogopa hadi nabaki nacheeka tu. Jana kakaa kimya anasomea comments chini ya uvungu kwa uoga lakini ilipofika saa nane za usiku akajibu there is now way nitakuwa macho akajibu comment tatu akakimbia tena zisizo zangu.....kavizia tena jioni sipo akacomment akaniachia vumbi tu!

Vyanzo vyangu vya habari vinanipa taarifa zake kwamba jamaa alijiunga kwenye chama cha punyeto Tanzania maarufu kama (CHAMUGATA) kirefu "Chama cha Mugalala Tanzania" chenye mafungamano na CHAMUDATA akiwa form one B pale uzumbeni.

Nina mengi sana yanayomhusu!

CCNP Engineer Don't tease me if you can't please me coward bwai. I'm a bad ass muhufuka!
Wacha niagize Popcorn niendelee kutazama hii Documentary ya Vita vya Muisrael na Mpalestina. Yangu macho tu.
 
Back
Top Bottom