Kivumbi Uchaguzi Mkuu wa Urais 2025; Huku mtaani ushawishi wa Kiongozi wetu unashuka kwa kasi, ni kama vile anawakilisha Zanzibar tu

Mwande na Mndewa

JF-Expert Member
Feb 26, 2021
950
2,866
Wasaidizi wa Mwenyekiti Wetu Wa Chama Taifa na Rais wapo busy kuandaa matamasha wao kwa wao kumpongeza na kumchukulia fomu moja,Ajabu ni kwamba huku mtaani Kiongozi wetu ushawishi wake unashuka kwa kiwango kikubwa sana.

Maisha magumu
Hakuna umeme
Hakuna maji ya bomba
Mfumuko wa bei wa bidhaa mbalimbali ni mkubwa sana

Mgombea wa CCM hana haja ya kufanya kampeni kwani utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM 2020-2025 ndio inatakiwa kuongea kwa niaba ya Wagombea wa CCM wakati wa uchaguzi.

-Wa Tanganyika yupo safarini,Wa Zanzibar yupo field.

Nikiangazia utendaji kazi kwa mujibu wa ilani wa Zanzibar yupo field mwenyewe anafika kila kona ila huyu wa Tanganyika anafanya kazi na kuongea na wananchi kwa kutumia simu,kwa ufupi wa Zanzibar yupo FIELD
Huyu wa Tanganyika yupo safarini muda mwingi na kwenye ceremonial activities tu mitaani kwa Wananchi haonekani.

Mambo yafuatayo yatamgombanisha Rais na wananchi.

1. Mambo ambayo wananchi wanajua yanawezekana kutatuliwa halafu hayatatuliwi.
2. Wateule wake kujikita na mambo ya uchaguzi 2025 wakati Kuna vitu vingi havipo sawa kwa wananchi.

PRACTICALLY
1. Watumishi wa serikali wanapaswa kujikita Kuhudumia wananchi.
2. Watendaji wa chama wajikite kuimarisha chama.

Hapa kwetu watumishi wa serikali nao wanajikita kwenye maandalizi ya uchaguzi.

It's awkward
 
Nikiangazia utendaji kazi kwa mujibu wa ilani Dr Mwinyi yupo field mwenyewe anafika kila kona ila huyu wa Tanganyika anafanya kazi na kuongea na wananchi kwa kutumia simu,kwa ufupi Dr. Mwinyi yupo FIELD

Ushuke au upande Rais ni Samia Hadi 2030 mengine Utajua wewe
 
Fomu ni shilingi milioni Moja ,huku kuchangiwa sh 120 Million maana yake nini?
 
Attachments

  • IMG-20240310-WA0438.jpg
    IMG-20240310-WA0438.jpg
    64.2 KB · Views: 2
Kwenye barabara za vumbi Nina wasi wasi kama ataweza kwenda maeneo hayo kuomba kura.

Mfano hawezi kupitia Tabora kwenda Mbeya kupitia Chunya kwenda kuomba kura.
 
Kwenye kupiga kura wenzenu ccm wanaenda wakati huo nyie mnakaa kwenye vijiwe vya kahawa kusikilizia matokeo ili muendeleze story za hapa na pale
 
watanzania ni kuangalia ccm nani anapitishwa kugombea urais akiisha pitishwa tu basi ujue huyo ndio Rais wa tanzania kwa miaka 5. usitegeemee kwenye kura pamoja na vyama vingi ndio upate Rais,
 
Wasaidizi wa Mwenyekiti Wetu Wa Chama Taifa na Rais wapo busy kuandaa matamasha wao kwa wao kumpongeza na kumchukulia fomu moja,Ajabu ni kwamba huku mtaani Kiongozi wetu ushawishi wake unashuka kwa kiwango kikubwa sana.

Maisha magumu
Hakuna umeme
Hakuna maji ya bomba
Mfumuko wa bei wa bidhaa mbalimbali ni mkubwa sana

Mgombea wa CCM hana haja ya kufanya kampeni kwani utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM 2020-2025 ndio inatakiwa kuongea kwa niaba ya Wagombea wa CCM wakati wa uchaguzi.

-Wa Tanganyika yupo safarini,Wa Zanzibar yupo field.

Nikiangazia utendaji kazi kwa mujibu wa ilani wa Zanzibar yupo field mwenyewe anafika kila kona ila huyu wa Tanganyika anafanya kazi na kuongea na wananchi kwa kutumia simu,kwa ufupi wa Zanzibar yupo FIELD
Huyu wa Tanganyika yupo safarini muda mwingi na kwenye ceremonial activities tu mitaani kwa Wananchi haonekani.

Mambo yafuatayo yatamgombanisha Rais na wananchi.

1. Mambo ambayo wananchi wanajua yanawezekana kutatuliwa halafu hayatatuliwi.
2. Wateule wake kujikita na mambo ya uchaguzi 2025 wakati Kuna vitu vingi havipo sawa kwa wananchi.

PRACTICALLY
1. Watumishi wa serikali wanapaswa kujikita Kuhudumia wananchi.
2. Watendaji wa chama wajikite kuimarisha chama.

Hapa kwetu watumishi wa serikali nao wanajikita kwenye maandalizi ya uchaguzi.

It's awkward
Ukisikia mara ooh mama anatosha, mara oooh Fomu ya Urais ni Moja tu, mara ooh tuna jambo letu 2025 lazima ujue hao watu Wana wasiwasi na kukubalika kwa Samia.

Kimsingi Samia hakubaliki hakubalika kabisa. Yaani hata akisimamishwa na Mdude Nyagali mama anapigwa kwa mbali mno
 
Uvccm mmegawanyika?!
 
Back
Top Bottom