Sababu za kupinga Bob Sambeke sio bilionea

Sababu za kupinga Bob Sambeke sio bilionea

kiuhalisia,,bilionea ni mpaka uwe na 1billion u$d=1trillion tshs ndio maana hata bakhressa sio bilionea according to forbes based on international standard,,na kuwa milionea uwe na 1m u$d,,,,

hapa tunazungumzia bilionea wa tshs!kwan
 
Ila jamaa kwa wanawake alikuwa ni funga kazi!! Halafu cha kushangaza wanawake wengine walikuwa wanafahamiana lakini kila mtu anakula kwa wakati wake na hela kwa wakati wake!! Ama kweli dunia hatari. Msiba watu watakuwa wanalia kwa mengi. Ila pia tabia yake ya kuchukua wake za watu hadi za rafiki zake kisa hela haikupendeza hakika.
Ni kweli mkuu,alikuwa akichukuwa hadi mapacha wote kwa pamoja na dada yao(yaani watatu),wazuri sana tu.Sometimes akiwapakiza wote kwenye piki piki(Paris Dakar)Na hilo la rafiki yake kuna ile issue nasikia Mengi alikuja kusuluhisha.

Alikuwa ameshatulia lakini,umri na mambo mengine.Alikuwa keshaacha hayo mambo ya mascandal.
 
Chezea Assey weye!!! Masharti yake hapandi gari ni baiskeli tu!!! Ha ha ha!!! Simo mimi!!! Ni mwisho wa habari!

Nilikua sijui kama mzee Assey wa rose garden hapandi gari.Kwa hiyo hata akienda moshi xmass anasimamia phoenix toka dar mpaka marangu? Ngoja nitaconfirm na mlatie au mdogo wake Daffu
 
Nilikua sijui kama mzee Assey wa rose garden hapandi gari.Kwa hiyo hata akienda moshi xmass anasimamia phoenix toka dar mpaka marangu? Ngoja nitaconfirm na mlatie au mdogo wake Daffu
Ha ha ha AmaniGK, Mlatie umempata? Hakika Mzee Assey wewe uliza wanywaji wa Rose Garden!! Jamaa yeye na baiskeli yake tu. Ila kwa Moshi pia huwa najiuliza anapanda gari gani? Ungo au? Au pia yawezekana ni maneno ya watu pengine mzee anakula tizi na baiskeli. Mimi binafsi nilishamshuhuria kama mara 3 na baiskeli yake toka hm hadi kazini (RG) hata kama mama Assey gari hatumii lakini mzee kupanda gari no!! Masirahara hayo!
 
Tatizo la Arusha hata mimi nikienda huko nikafika bar nikatoa ofa za bia na supu za ulimi kesho mji mzima watasema Spike Lee ni bilionea. Data za kuwajua mabilioni zinapatikana Forbes Magazine.
spike lee ulijitabiria ubilionea toka mda mrefu sana
 
Back
Top Bottom