Sababu za kumbwaga mpenzi wangu Mwanasheria

Hahaaaaaa.
Najitahidi kusoma mambo mengi tofauti na career yangu.
Lakini majina yote uliyotaja namjua chakaraboti tu.

Hata mimi manzi wa hivyo simtaki aiseeh
Mimi nimeambulia huyo Chakarabouty na Madame Agathe wa Rwanda, wengine wote na vitu vya ulozi nimetoka kapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nope that is not sexy to me.Huyo demu anatakiwa kuwa na MTU kama Pascal Mayalla au Kiranga a.k.a Nyani Ngabu ndio at least wanaweza kuendana.

Akikutana na Kilazaa kama GENTAMYCINE there will be no hope for the future.

Demu yupo very smart na anajua vitu vingi hatari. Kama ni member WA Jf basi ye FaizaFoxy
Basi kuna bichwa limevimba kule nusra lipasuke

Najua ni nje ya mada lakini umeicheki avatar yangu mkuu?
 
Who da fuq is styles p? Anyway kama umempenda ishi nae

Najua ni nje ya mada lakini umeicheki avatar yangu mkuu?
 
Sijakataa, lakini kuna vitu ambavyo havina reference official hawezi kuwa anavifahamu kwa usahihi uliotajwa.

Nazumgumzia mfano wa wachezaji wa timu zetu bongo, hakuna records sahihi, wala kazi zao hutaziona YouTube, hao hakuna namna atakuwa anawajua kwa usahihi huo.
Unajua aje pengine mzazi wake alikuwa karibu nao na akamhadithia, mtoto ana kichwa kizuri kashika kila aliloambiwa na yeye anaeleza kwa wengiine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nope nimefikiri kuhusu maisha' ya watoto wetu yatakuwaje.

Uzoefu unaonyesha much knows wengi huwa wanachukiwa Sana katika Jamii. Chuki hongezeka zaidi pale much know huyo anapokuwa Mwanamke . Chuki ya jamii inaweza ku extend Hadi Kwa watoto.

Nimenote kitu kimoja, there is a very thin line between a muchknow and a pride person.

Ukiwa muchknow kupita kiasi people will put you in the space as a too proud.

And if people think U got pride, they will never like you.

Kwa umuch know wa.mdada huyu manesi wanaweza msusia labour room.

The rule is " Humble urself and u will be lifted up, if u do the opposite, the opposite will befall upon you"
Nafikiri kanuni hii ndio inayompata Magufuli. Licha ya mazuri anayojaribu kufanya, kutokana na hulka ya kuonesha anajua kila jambo, na wengine wote ni mazuzu, basi hapati sifa za dhati bali dharau na kupuuzwa, kama sio chuki kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukweli uliomchungu wanaume wengi hasa wa Afrika hatupendi wanawake wanaojua mengi (Elimu)
Maana tutashindwa kuwatawala na kuwapelekesha tuwezavyo!!
Ndo mana nimefikia uamzi wa kuoa demu mwenye cheti cha nursing nitamfungulia duka la madawa nikiugua ananitibu , hawa degree holder sio wote ila wengi wao miyeyusho Sana , they look more beautiful but in the long run lazima mtibuane , too much know , yaan unakuwa na mwanamke lakn unakuwa kana kwamba mpo wote vidume ndani .....
 
Usijali,ni aina ya watu wanaopenda kujua vitu vingi sana, ivi inawalizimu kuvifatiliaa..

Mengine yalobaki n hobby tu ,kama ambavyo wewe unaweza mpangia kikosi cha Tanga mpaka Suh yake.

Being Talkative haimfanyi tumuhesabu vibaya.

Na laiti kama utamlimit, utakua umeamua kushikilia Ubongo wake kama wanawake Wa Kisukuma.
Demu anajua vitu vingi hatari . Mpaka mtu mzima nakosa pozi. Kila kitu anajua yeye.

Demu anamjua Hadi Styles P? Nilikuwa sijui kama mama ake na Styles P ni Mzulu WA South Africa demu ndo kanichana yeye kupitia story.

Demu anamjua mpaka Craig Mack WA New Flavour in Ya Ear.

Demu anamjua mpaka Sylvain Wiltord?

Demu anamjua hadi Dennis Edwin. Unamjua Dennis Edwin wewe? Dennis Edwin ni kipa namba mbili wa Prison ya Mbeya msimu wa 2008/2009 or something.

Demu anamfahamu Hadi Anwar Awadh Yule shombe shombe Half Back WA kushoto wa Dar Es Young Africans way back in 1995.

Demu anajua kwanini Said Mwamba aliitwa Kizota.

Demu anamjua Hadi Mohamed Nyalusi. Unamkumbuka Mohamed Nyalusi wewe?

Demu anamjua Hadi Bruce Seldon.

Demu anamjua Hadi Soko Sugi.

Demu anamjua Hadi Mithun Chakrabothy.

Demu anajua Hadi how Madam Agathe Uwiyilingimana was assassinated in 1994.

Demu anajua Hadi picha la Tridev.

Funny enough she was born in 1994.

Kwenye Mambo ya dini nako hayupo nyuma. She can recite Suratul Yaseen or Ayatul Qursy in as much as she can recite the Lord's Prayer which was taught by Jesus Christ of Nazareth.

She is a much know I say. Kwenye ulozi sasa ndo usiseme. Kuna siku alikuwa anaongea na.mtu kwenye simu akamwambia " mbona unanichimba kama mzizi wa muharaka!!???"

Nikamuuliza, baby unaujua Hadi Muharaka?

After that ndo nikagundua demu yupo conscious Hadi kwenye mambo ya ulozi.

Demu anajua Mambo ya ulozi utafikiri Mjukuu WA Binti Ameer.

Wife material hatakiwagi kuwa mjuaji saaana. She has to be the kind of a lady who will ask you when watching football with her " BABY HIVI HUYO NI CHRIS BROWN EEH ?"

Unamjibu nope baby, huyo anaitwa Theo Walcott.

And she replies: OOH REALLY???

Demu unajua mpaka mistari ya KR
This is too much
 
Si mbaya akijua kila kitu hapa duniani hata akiweza ajue na vilivyopo kwenye sayari nyingine,bado nitajivunia kuwa nae...

Ila tu awe msikivu na mnyenyekevu mwenye hekima anapozungumza ama pale anaponirekebisha..

Na ajue wapi pa kuongea na wapi akae kimya!!Awe na staha katika mazungumzo, akiwa na sifa hzi nitazidi kujivunia tofauti na hapo nitamuona mjuaji tu anayependa mashindano!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Very narrow mkuu kumpata wa hivyo , tena Kwa mwanamke ndo taabu kabisa wachache Sana , mwanamke wa hivyo anaamin anachokijua yeye wewe hukijui , utajikuta unakula lecture kila sku
 
Usijali,ni aina ya watu wanaopenda kujua vitu vingi sana, ivi inawalizimu kuvifatiliaa..

Mengine yalobaki n hobby tu ,kama ambavyo wewe unaweza mpangia kikosi cha Tanga mpaka Suh yake.

Being Talkative haimfanyi tumuhesabu vibaya.

Na laiti kama utamlimit, utakua umeamua kushikilia Ubongo wake kama wanawake Wa Kisukuma.
Demu anazingua bangi. Ujuaji wake sio kwangu Tu hadi Kwa watu Baki.

She is a kind of a woman ambae mtaenda Kwa mganga, mganga atawaambia leteni kuku jike mweusi na kabla mganga hajaendelea kuzungumza she will jump into his mouth and ask " Huyo kuku mweusi jike awe ameshataga au hata ambae hajawahi kutaga?"
Mganga akisema nendeni mkavunje nazi njia panda she would ask him tukavunje njia panda jike au njia panda dume?

Muulize Mshanajr what will a witchdoctor do to a customer who is acting much know
 
Demu anajua vitu vingi hatari . Mpaka mtu mzima nakosa pozi. Kila kitu anajua yeye.

Demu anamjua Hadi Styles P? Nilikuwa sijui kama mama ake na Styles P ni Mzulu WA South Africa demu ndo kanichana yeye kupitia story.

Demu anamjua mpaka Craig Mack WA New Flavour in Ya Ear.

Demu anamjua mpaka Sylvain Wiltord?

Demu anamjua hadi Dennis Edwin. Unamjua Dennis Edwin wewe? Dennis Edwin ni kipa namba mbili wa Prison ya Mbeya msimu wa 2008/2009 or something.

Demu anamfahamu Hadi Anwar Awadh Yule shombe shombe Half Back WA kushoto wa Dar Es Young Africans way back in 1995.

Demu anajua kwanini Said Mwamba aliitwa Kizota.

Demu anamjua Hadi Mohamed Nyalusi. Unamkumbuka Mohamed Nyalusi wewe?

Demu anamjua Hadi Bruce Seldon.

Demu anamjua Hadi Soko Sugi.

Demu anamjua Hadi Mithun Chakrabothy.

Demu anajua Hadi how Madam Agathe Uwiyilingimana was assassinated in 1994.

Demu anajua Hadi picha la Tridev.

Funny enough she was born in 1994.

Kwenye Mambo ya dini nako hayupo nyuma. She can recite Suratul Yaseen or Ayatul Qursy in as much as she can recite the Lord's Prayer which was taught by Jesus Christ of Nazareth.

She is a much know I say. Kwenye ulozi sasa ndo usiseme. Kuna siku alikuwa anaongea na.mtu kwenye simu akamwambia " mbona unanichimba kama mzizi wa muharaka!!???"

Nikamuuliza, baby unaujua Hadi Muharaka?

After that ndo nikagundua demu yupo conscious Hadi kwenye mambo ya ulozi.

Demu anajua Mambo ya ulozi utafikiri Mjukuu WA Binti Ameer.

Wife material hatakiwagi kuwa mjuaji saaana. She has to be the kind of a lady who will ask you when watching football with her " BABY HIVI HUYO NI CHRIS BROWN EEH ?"

Unamjibu nope baby, huyo anaitwa Theo Walcott.

And she replies: OOH REALLY???

Demu unajua mpaka mistari ya KR
This is too much
Title ilivokaa nikafikiri dem atakuwa much know kwenye profession yake kumbe ni kwenye upuuzi huo.

Sasa hapo anawajua yeye au ni wew unawajua?au tuseme alikuandikia kwenye karatasi akakupa uje uanzishe uzi huu.Nikuulize sasa

Kuna shida gani akijua?kwahiyo unataka wife material wa kucheki nae movie awe anakuuliza?yan hujawaza muchknow inaweza kusaidia vipi katika maendeleo ya familia wew unataka awe mpumbavu ili uwe unatazama nae movie.Na kesho utakuwa utaandika uzi mwingine wanawaka hawajishughulishi,wavivu na wanategemea wanaume.

Jitathmini afu chukua hatua ala.

😀😀😀umenivunja mbavu mkuu.. Vp haijui chemical formula ya vumbi la mkongo?
 
Title ilivokaa nikafikiri dem atakuwa much know kwenye profession yake kumbe ni kwenye upuuzi huo.

Sasa hapo anawajua yeye au ni wew unawajua?au tuseme alikuandikia kwenye karatasi akakupa uje uanzishe uzi huu.Nikuulize sasa

Kuna shida gani akijua?kwahiyo unataka wife material wa kucheki nae movie awe anakuuliza?yan hujawaza muchknow inaweza kusaidia vipi katika maendeleo ya familia wew unataka awe mpumbavu ili uwe unatazama nae movie.Na kesho utakuwa utaandika uzi mwingine wanawaka hawajishughulishi,wavivu na wanategemea wanaume.

Jitathmini afu chukua hatua ala.

Sent using Jamii Forums mobile app
Na wewe ni muchknow. Halafu umewahi kusikia wapi MTU anaitwa muchknow Kwa sababu ya kujua vitu vingi kwenye professional yake?
 
Demu anajua vitu vingi hatari . Mpaka mtu mzima nakosa pozi. Kila kitu anajua yeye.

Demu anamjua Hadi Styles P? Nilikuwa sijui kama mama ake na Styles P ni Mzulu WA South Africa demu ndo kanichana yeye kupitia story.

Demu anamjua mpaka Craig Mack WA New Flavour in Ya Ear.

Demu anamjua mpaka Sylvain Wiltord?

Demu anamjua hadi Dennis Edwin. Unamjua Dennis Edwin wewe? Dennis Edwin ni kipa namba mbili wa Prison ya Mbeya msimu wa 2008/2009 or something.

Demu anamfahamu Hadi Anwar Awadh Yule shombe shombe Half Back WA kushoto wa Dar Es Young Africans way back in 1995.

Demu anajua kwanini Said Mwamba aliitwa Kizota.

Demu anamjua Hadi Mohamed Nyalusi. Unamkumbuka Mohamed Nyalusi wewe?

Demu anamjua Hadi Bruce Seldon.

Demu anamjua Hadi Soko Sugi.

Demu anamjua Hadi Mithun Chakrabothy.

Demu anajua Hadi how Madam Agathe Uwiyilingimana was assassinated in 1994.

Demu anajua Hadi picha la Tridev.

Funny enough she was born in 1994.

Kwenye Mambo ya dini nako hayupo nyuma. She can recite Suratul Yaseen or Ayatul Qursy in as much as she can recite the Lord's Prayer which was taught by Jesus Christ of Nazareth.

She is a much know I say. Kwenye ulozi sasa ndo usiseme. Kuna siku alikuwa anaongea na.mtu kwenye simu akamwambia " mbona unanichimba kama mzizi wa muharaka!!???"

Nikamuuliza, baby unaujua Hadi Muharaka?

After that ndo nikagundua demu yupo conscious Hadi kwenye mambo ya ulozi.

Demu anajua Mambo ya ulozi utafikiri Mjukuu WA Binti Ameer.

Wife material hatakiwagi kuwa mjuaji saaana. She has to be the kind of a lady who will ask you when watching football with her " BABY HIVI HUYO NI CHRIS BROWN EEH ?"

Unamjibu nope baby, huyo anaitwa Theo Walcott.

And she replies: OOH REALLY???

Demu unajua mpaka mistari ya KR
This is too much
Nipe namba zake huyo ananifaa mimi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom