Je, ni muujiza gani umeusikia uliotendeka kwa maombi ya Mwamposa, ambao umekufurahisha, umekushangaza au umekutia wasiwasi?

Weakman

JF-Expert Member
Jul 23, 2021
861
1,384
Mwamposa ni motooo!

Taifa linatetemeshwa kwa miujiza mbalimbali ambayo kila leo Mungu anawatendea watu wake kwa njia ya Mtume wake mtakatifu!

Majuzi alikuja Mtwara na wengi wameponywa, pepo wametupiwa mbali na viwete wametembea!

Kuna ndugu mmoja kasema alihudhuria huko, na ametoa shuhuda kuwa amepokea pesa sh. 900,000 kwenye simu yake, bila kujulikana ilikotoka, na ameweza kulipa deni lililokuwa linamsumbua!

Muujiza huu umenishangaza Sana!
Kwamba Mungu wetu ameanza kugawa pesa?

Share na sisi ni muujiza gani umetendewa?

Je, Kuna jirani yako amepata muujiza ambao ni real?

Muujiza gani umekustaajabisha na kukushangaza?

Kuna kiwete yoyote mtaani kwako ulimfahamu na hivi Sasa anatembea kwa maombi ya Mwamposa?

Njoo, tuongee ili wengine tuamini ukuu wa Mungu wa Mwamposa!
 
Ni msomaji mzuri sana wa neno la Mungu.... nadhani kwa vile nimelelewa na kukulia kwenye dhehebu la Rc.,, sibarikiwagi na ibada zenye makelele mengi
Hata Mimi nilikuwa hivyo, nilikuwa Mlutheri, nilikuwa niliambiwa habari za ulokole na Manabii naona wananivuruga...

Wakati wa Bwana ulipofika, nikajua kuwa wapo Manabii wa kweli.

Saivi nasali Anglicana baada ya ndoa..
 
Mwamposa ni motooo!

Taifa linatetemeshwa kwa miujiza mbalimbali ambayo kila leo Mungu anawatendea watu wake kwa njia ya Mtume wake mtakatifu!

Majuzi alikuja mtwara na wengi wameponywa, pepo wametupiwa mbali na viwete wametembea!

Kuna ndugu mmoja kasema alihudhuria huko, na ametoa shuhuda kuwa amepokea pesa sh. 900,000 kwenye simu yake, bila kujulikana ilikotoka, na ameweza kulipa deni lililokuwa linamsumbua!
Acha undezi mkuu.
Niliwahi kuwa na mama mwenye nyumba mlemavu na mpaka leo hajapona. Na kwa huyo Mwamposa wenu kaenda sana.
 
Mfanyabiashara wa mafuta na maji ya upako mzuri sana huyo. Hana cha unabii wala nini. Nina Ndugu yangu japo ni mwislam alikuwa anaendaga uko kawe kila siku ya jamamoss na jumapili alikuwa anasumbuliwa na kisukari. Nikamwambia uko unapoteza muda wako na pesa zako. Hanisikii. Sasa hivi ameacha kwenda uko kwa kawe maana tatizo linazidi kila siku
 
Back
Top Bottom