Sababu ya wanaomiliki vi-"BABY WALKER" kudharauliwa

Sababu ya wanaomiliki vi-"BABY WALKER" kudharauliwa

aisee hii nayo ni 'baby walker'??? labda vw polo.......

from nlivomuelewa baby walker anamaanisha hatch backs zote kama vits,ist,nissan march and the like so hata vw golf yangu kwake yeye anaiona kama baby walker.
 
Mimi ninako kwa kweli kananipa raha kweli hapa mjini dar, kwa wiki natembea kama kilomita 350 hivi na natumia mafuta ya elfu arubaini tu. Yani kinapiga kama kilomita 18 kwa lita. Ninalo lingine nimelipaki nyumbani nalitumia kwa visafari maalum tu.

aisee gari gani hiyo mkuu nkatafute??maana yangu inafika kilomita 13 tu kwa lita
 
Sababu ya wale wanaoendesha vi-"Baby walker" jamii ya "vigurumo" kudharaulika katika jamii iko wazi kabisa. Kule nchi za magharibi vi-baby walker hutumika hasahasa na 'mashosti' kuendea saloon kusuka nywele.., pia hivi vi-toy huwa vinasaidia sana kupeleka watoto nursery pamoja na kuwarudisha nyumbani. Sasa huwa inakuwa kituko sana unapokuta mtu kama J.B au Komba anapotumia ki-"baby walker" kwenda kutanulia na kung'olea totoz..???! USHAURI:Ukiona umeshindwa sana tafuta Suzuki Escudo used ununue.

nyie modz wa humu vp!mbn inashangaz sn kuona nyuzi za kishoga kama hz aaah
 
yaan hii post imefanya nikucheke kwa dharau maana umekurupuka tu.hivi unajua kuna "baby walker" ambazo ni expensive and comfortable kuliko hiyo escudo??uko wap nije nkupe lift kwny 2009 vw golf gti yangu thn tuone ukirudia huu usemi wako.
Hata mm nimecheka kisha nikakasirika
yaani nimeiacha pikipiki Honda CG 125 iliyokuwa ikinipa makovu na kulowana kila siku
nahamia kwenye Gari ndogo Economy naambiwa eti ni Ki-Baby walker
Kwa hiyo wana maana turudi kutembea kwa miguu
 
Mweleze huyo aliekurupuka bila kufanya utafiti..ndo maana kuna class tofauti tofauti za magari..family size, business cars au just single cars..sasa kama mimi sina familia na ninataka kubana matumizi nitanunua kigari kidogo kinachoendana na uwezo na kipato changu ili niweze kulihudumia mafuta...sasa shangingi la nini kama kulihudumia huwezi?

Nchi za ulaya hasa wajerumani ambao ndio wagunduzi wa magari....asilimia kubwa wana vigari vidogo..

Aisee mkuu unajiaibisha...nenda nchi za wenzetu ulaya uone aina za magari wanayoendesha afu uje uhare tena hapa.
PS: Kiagari kidogo haimaanishi kuwa bei yake ni ndogo..pengine bei ni kubwa kuliko hata hayo mashangingi mnayopapatikia.
 
Kweli hujatembea, nimekaa for 3 years Sweden, Holland, na Dernmark magari makubwa ni nadra hata kuyaona. Hiyo Nchi ya magharibi yako labda KIgoma na landcruiser ZA wakimbizi.

Nimekaa sana tokyo japani,brasilia brazil,panama mexico,chicago usa magari wanayo tumia ni clasic na kwa uchache sana hivi vigari vitoi wanatembelea wanafunzi.
 
Duh mtoa mada kaingia mtini,too sad


Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Hata Ulaya na kwingineko inaelekea hujafika uone gari zinazoendeshwa.
Nimefika London, Mumbai, Dubai, Copenhagen, Stockholm, Tokyo,Osaka, Washington, Johannesburg,New York na hata Singapore na unayosema ni ya kufikirika.
Wenzetu wakubwa huna haja hata ya gari maana wana mass transport system.
Vinginevyo gari ndogo ndio zina tawala kwa economy.
Nikiwa Tokyo, kuiona shangingi ni kama kumwona kakakuona!
Safiri kwanza uione dunia.

mkuu nakufahamu vzuri wewe ni jiran yangu. nakujua vizuri jins maisha yako yalivyo magumu na ya kuungaunga. hata kuingia kwenyew jf huwa unakwenda kwa jiran mwngne kudowea net na laptop.

nakujua vzur kwa jins maisha yako yalivyo ya shda huna uwezo wa kusafiri hata msumbiji. kuna siku tulikuwa tunapga stori ukasema hujawah hata kupanda pipa. nakushangaa leo unadanganya eti kusafir london, dubai, tokyo n.k

nakujua vzur hata kod mwenye nyumbd wako huwa anagombana nawe sana muda wa kulipa ukifika. mkuu wewe ni tz 11 huna gari wala uwezo wa kumilik basikel huna. acha uwongo mkuu tena acha uwongo.
 
Hata Ulaya na kwingineko inaelekea hujafika uone gari zinazoendeshwa.
Nimefika London, Mumbai, Dubai, Copenhagen, Stockholm, Tokyo,Osaka, Washington, Johannesburg,New York na hata Singapore na unayosema ni ya kufikirika.
Wenzetu wakubwa huna haja hata ya gari maana wana mass transport system.
Vinginevyo gari ndogo ndio zina tawala kwa economy.
Nikiwa Tokyo, kuiona shangingi ni kama kumwona kakakuona!
Safiri kwanza uione dunia.

umenena mkuu wengi wetu ni wale wa kusimulia vijiweni. ukweli utabaki palepale miji ya wenzetu gari ni kitu cha kawaida sana na wengi wao wana magari madogo ya kifamilia. Bima ni gharama sana. Mfano kama Uingereza ukiwa na Vogue ya kisasa jiandae kulipa bima isiyopongua 30milioni za kitanzania kwa mwaka.Sasa mtanzania na mimi unakaaa kwa shemeji ana ka V8 basi unaanza dharau kubwa au ni mtoto wa kulelewa umepewa gari basi shida tupu. Huo ni ulimbukeni uliopitiliza na wala watu wa namna hiyo huwa siwashangaai. Daima katika maisha dumu na simamia kile unachoamini.
 
Kwenye Nchi zilizoendelea gari ndogo Ndio mpango mzima ...wenyewe wanaita Green Life...yaani gari hazitumii mafuta mengi...,kupaki ni rahis kwenye nafasi ndogo etc ...tena nyingi zina bei tu.....sema hapa Kwetu Ndio tu naona ufahari....kusukuma V8 hata Kama nyumbani ni upanga..kazini benki Kuu

dunia yote sasa inahamia kwenye "intelligent Energy Fuel Cells" ambayo mpango mzima ni kuwa na magari madogo yenye kuleta unafuu wa "carbon emissions" ama kutotumia kabisa mafuta.
 
binafsi
sipingi kutumia hivi vigari vidogo lakini naona watu wengi wanataka
kutuaminisha kuwa ndio yanatumika sana " developed nations" kama jamaa
mmoja anasema kuiona landcruiser vx v8 japan ni kama kumuona kakakuona huo ni uongo uliopitiliza.
 
Hata Ulaya na kwingineko inaelekea hujafika uone gari zinazoendeshwa.
Nimefika London, Mumbai, Dubai, Copenhagen, Stockholm, Tokyo,Osaka, Washington, Johannesburg,New York na hata Singapore na unayosema ni ya kufikirika.
Wenzetu wakubwa huna haja hata ya gari maana wana mass transport system.
Vinginevyo gari ndogo ndio zina tawala kwa economy.
Nikiwa Tokyo, kuiona shangingi ni kama kumwona kakakuona!
Safiri kwanza uione dunia.
Ahsante mkuu, umemaliza
 
Mkuu umetembea kweli kweli, hongera
Kweli

hongera zake, jamaa anafanyakazi ofisi ya JK nini? Ama isije kuwa kama jamaa aliyeaga kuwa anaenda Argentina kupitia Moroko, watu wakafikiri atakwea pipa lkn baadaye akakutwa maeneo karibu na Biafra na kule karibu na uwanja wa fisi
 
Hata Ulaya na kwingineko inaelekea hujafika uone gari zinazoendeshwa.
Nimefika London, Mumbai, Dubai, Copenhagen, Stockholm, Tokyo,Osaka, Washington, Johannesburg,New York na hata Singapore na unayosema ni ya kufikirika.
Wenzetu wakubwa huna haja hata ya gari maana wana mass transport system.
Vinginevyo gari ndogo ndio zina tawala kwa economy.
Nikiwa Tokyo, kuiona shangingi ni kama kumwona kakakuona!
Safiri kwanza uione dunia.

Ni kweli............hapa ni TOKYO

a-0146.jpg
 
Kweli bana Vibaby walker vinatuletea foleni zisizo na msingi....serikali piga kodi ya kufa mtu tuheshimiane!
This is too low for u..unajua benz ndogo sport two doors ni beigani..! wabongo tuache ushamba
 
binafsi
sipingi kutumia hivi vigari vidogo lakini naona watu wengi wanataka
kutuaminisha kuwa ndio yanatumika sana " developed nations" kama jamaa
mmoja anasema kuiona landcruiser vx v8 japan ni kama kumuona kakakuona huo ni uongo uliopitiliza.
Mimi nipo maryland us..hizo v8 hakuna..uongo unatoka wapi sasa
 
Back
Top Bottom