Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 43,166
- 51,517
Sababu ya wale wanaoendesha vi-"Baby walker" jamii ya "vigurumo" kudharaulika katika jamii iko wazi kabisa. Kule nchi za magharibi vi-baby walker hutumika hasahasa na 'mashosti' kuendea saloon kusuka nywele.., pia hivi vi-toy huwa vinasaidia sana kupeleka watoto nursery pamoja na kuwarudisha nyumbani. Sasa huwa inakuwa kituko sana unapokuta mtu kama J.B au Komba anapotumia ki-"baby walker" kwenda kutanulia na kung'olea totoz..???! USHAURI:Ukiona umeshindwa sana tafuta Suzuki Escudo used ununue.