Sababu ya wanaomiliki vi-"BABY WALKER" kudharauliwa

Sababu ya wanaomiliki vi-"BABY WALKER" kudharauliwa

Siku nitakapoona vitz ipo kwenye msafara wa rais hapo ndipo nitaacha kukiita ki-baby walker..!
 
Sababu ya wale wanaoendesha vi-"Baby walker" jamii ya "vigurumo" kudharaulika katika jamii iko wazi kabisa. Kule nchi za magharibi vi-baby walker hutumika hasahasa na 'mashosti' kuendea saloon kusuka nywele.., pia hivi vi-toy huwa vinasaidia sana kupeleka watoto nursery pamoja na kuwarudisha nyumbani. Sasa huwa inakuwa kituko sana unapokuta mtu kama J.B au Komba anapotumia ki-"baby walker" kwenda kutanulia na kung'olea totoz..???! USHAURI:Ukiona umeshindwa sana tafuta Suzuki Escudo used ununue.
.......naona makalio yanalia mbwata hapa....ndo madhara ya kujipatia hela kwa njia ya kuhemewa
 
Niwe na Camaro Chev ............ we na Passo........ siwezi kukudharau, wote tumejichanga, na wote tuna usafiri, kama garage/ Fuel station, wote tunaenda.... Tunazidiana urefu wa mapato tuu!!
Kumdharau mtu mwenye gari economic ni Upumbavu
Anaweza kua na hela ya kununua PRADO Tx, but kaamua kununua IST, ni mipango tuu
Anyways you need to go around the world and see what is actually happening out there,,, then come back and Zip it up
 
magari makubwa ndio magari mazuri zaidi na sio madogo: kwanza yana hadhi na kuheshimika, yako safe katika kupishana na malori, yanastarehe nyingi, na pia yanaleta respect. mfano: range vogue, v8, Jeep new model, Prado,lexus,benz, Rolls Royce,Hammer, n.k. kama hamuamini angalieni hata masafara wa rais ama waziri mkuu mtajua tu gari gani ni fimbo hapa tized... Huwezi kuta vitiz wala spacio . Lakini magari haya makubwa yanachangamoto mbalimbali kama fuel cost, inshuarensi, spea parts cost, n.k.
lakini pia wenye baiskeli wanaona gharama kumiliki hata hiyo pikipiki, tena wanaona bora uongeze room 2 ama 3 kuliko kununua gari/pikipiki, kwani ukisikia limegongwa ama kupinduka roho unaweza kuchanganyikiwa. All in all hili ni swala la mfuko. Siku zote kizuri gharama. Binafsi napenda Range kuliko Vitz, siwezi kusema vitz ni bora kuliko range..ila vitz ina advantage zake ambazo huwezi kuzipata kwenye range mfano yenyewe price yake ni affordable.

kutokana na nature ya binadamu ya kupenda kujitutumua you may find that.. hata wenye simu za gharama kubwa kama samsang galaksi es faivu ni vijana wasio na kipato chochote tena wanazo hadi zilizovunjika vioo, kana kwamba walizinunua zamani sana, All in all poor people by Gold but wealthy people buy real estate.
Ni bora uwe na ka gari kadogo lakini hela yako inafanya vitu vya maana, coz technology na fashion siku zote ni dynamic-- zinakuja na zitapita. mjanja wa sasa ni bora kuliko mjanjawa zamani.

Siku nitakapoona vitz ipo kwenye msafara wa rais hapo ndipo nitaacha kukiita ki-baby walker..!

For Sure
 
Vibebi woka ni very risky.hata kikigongwa kinAkuwa kama karatasi na unaweza usionekane humo ndani.yaani ni kama umenunua bajaji.it is very risk to explain. Watu wanaoelewa maana ya gari hawanunui hizi gari.isipokuwa kwasababu ya kipato na kupunguza gharama na ukali wa maisha wanalazimika kuvinunua.
 
Hata Ulaya na kwingineko inaelekea hujafika uone gari zinazoendeshwa.
Nimefika London, Mumbai, Dubai, Copenhagen, Stockholm, Tokyo,Osaka, Washington, Johannesburg,New York na hata Singapore na unayosema ni ya kufikirika.
Wenzetu wakubwa huna haja hata ya gari maana wana mass transport system.
Vinginevyo gari ndogo ndio zina tawala kwa economy.
Nikiwa Tokyo, kuiona shangingi ni kama kumwona kakakuona!
Safiri kwanza uione dunia.

Kwa nchi za kiarabu kama dubei sio kweli hakuna watu wanapenda. Ufahari wa magari makubwa na ya gharama kama waarabu ukizingatia mafuta bei ya kutupa 1lt ni shilingi 800. Na uwezo wa kubadilisha wanao yaani mwanachi wa UAE apande Vits wacha utani labda wenzangu wahamiaji
 
Kuna wale wanaendaga kule kufanya kazi za ndani..,sasa huwa wanapewa hivi vi-toy kama bonus ya mwisho wa mwaka...
 
Nenda Scandinavian countries uone, watu wanavyoendesha baiskeli kwenda kazini ili ku-serve fuel cost,inaelekea kuna jirani yako kanunua vitz inakuchoma roho.
 
Hata Ulaya na kwingineko inaelekea hujafika uone gari zinazoendeshwa.
Nimefika London, Mumbai, Dubai, Copenhagen, Stockholm, Tokyo,Osaka, Washington, Johannesburg,New York na hata Singapore na unayosema ni ya kufikirika.
Wenzetu wakubwa huna haja hata ya gari maana wana mass transport system.
Vinginevyo gari ndogo ndio zina tawala kwa economy.
Nikiwa Tokyo, kuiona shangingi ni kama kumwona kakakuona!
Safiri kwanza uione dunia.

Yaaan umenena mkuu.wabongo wanaprnda sana story za vijiweni.ivi hata kuchanganya akili kidogo hawataki,hivi vigari vinafaa sana ktk kubana matumizi.ndo mana wenzetu wanatuzidi kimaendeleo maana wanafanya posible means kupunguza gharama za maisha.sisi tunapenda ufahari wa kijinga.ivi na foleni za jiji kama dar uwe na prado au cjui vogue kwa kutegemea mishahara yetu hii kweli hata kiwanja utanunua wewe??gari ni gari na gari ni zuri ulifurahie kulingana na unavyilimudu.sio unanunua gari mawazo kibao na linaingia road mara mbili kwa week!!kisa wese na service ndo hamna kbisaa.
 
mtoa mada natamani nikutupie mitusi ya nguoni waziwazi...ila ndo nshakutukana kimoyomoyo!!!!
 
nyuzi zingine zinabidi zifikiriwe kwa kina kabla hazijalitwa hapa, hivi ni anathadharau unachookiita baby walker? au na pingine anaesema hivyo hata baiskeli hana, nadhani tufirie zaidi,
 
Sababu ya wale wanaoendesha vi-"Baby walker" jamii ya "vigurumo" kudharaulika katika jamii iko wazi kabisa. Kule nchi za magharibi vi-baby walker hutumika hasahasa na 'mashosti' kuendea saloon kusuka nywele.., pia hivi vi-toy huwa vinasaidia sana kupeleka watoto nursery pamoja na kuwarudisha nyumbani. Sasa huwa inakuwa kituko sana unapokuta mtu kama J.B au Komba anapotumia ki-"baby walker" kwenda kutanulia na kung'olea totoz..???! USHAURI:Ukiona umeshindwa sana tafuta Suzuki Escudo used ununue.

https://www.jamiiforums.com/jamii-photos/706841-pope-ndani-ya-gari-aina-ya-its-apendi-makuu.html
 
Hata Ulaya na kwingineko inaelekea hujafika uone gari zinazoendeshwa.
Nimefika London, Mumbai, Dubai, Copenhagen, Stockholm, Tokyo,Osaka, Washington, Johannesburg,New York na hata Singapore na unayosema ni ya kufikirika.
Wenzetu wakubwa huna haja hata ya gari maana wana mass transport system.
Vinginevyo gari ndogo ndio zina tawala kwa economy.
Nikiwa Tokyo, kuiona shangingi ni kama kumwona kakakuona!
Safiri kwanza uione dunia.
Long time brooo..., hahahahahahah
 
Back
Top Bottom