Sababu ya wanaomiliki vi-"BABY WALKER" kudharauliwa

Sababu ya wale wanaoendesha vi-"Baby walker" jamii ya "vigurumo" kudharaulika katika jamii iko wazi kabisa. Kule nchi za magharibi vi-baby walker hutumika hasahasa na 'mashosti' kuendea saloon kusuka nywele.., pia hivi vi-toy huwa vinasaidia sana kupeleka watoto nursery pamoja na kuwarudisha nyumbani. Sasa huwa inakuwa kituko sana unapokuta mtu kama J.B au Komba anapotumia ki-"baby walker" kwenda kutanulia na kung'olea totoz..???! USHAURI:Ukiona umeshindwa sana tafuta Suzuki Escudo used ununue.
Una drive gari aina gani?
 
Jamaa kanikumbusha ulimbukeni wa watanzania, eti ukiwa na KITAMBI ndio una hela,,, kumbe kwa vile watanzania wengi ni maskini kumudu Milo mitatu ni mgogoro yule anayeweza kula hadi kupata kitambi anaonekana "tajiri"

Hata kwenye magari, kuna watu wananunua magari ili jamii iwaone wako safi na sio kukidhi mahitaji yao
 
Sababu ya wale wanaoendesha vi-"Baby walker" jamii ya "vigurumo" kudharaulika katika jamii iko wazi kabisa. Kule nchi za magharibi vi-baby walker hutumika hasahasa na 'mashosti' kuendea saloon kusuka nywele.., pia hivi vi-toy huwa vinasaidia sana kupeleka watoto nursery pamoja na kuwarudisha nyumbani. Sasa huwa inakuwa kituko sana unapokuta mtu kama J.B au Komba anapotumia ki-"baby walker" kwenda kutanulia na kung'olea totoz..???! USHAURI:Ukiona umeshindwa sana tafuta Suzuki Escudo used ununue.

live your life brother,,,do not copy,,,mimi naendesha nissan march 2004 model na nimetuliaaaaaaaaa,,maisha yanaendelea,,,na mimi ni one of big man,,
 
Sababu ya wale wanaoendesha vi-"Baby walker" jamii ya "vigurumo" kudharaulika katika jamii iko wazi kabisa. Kule nchi za magharibi vi-baby walker hutumika hasahasa na 'mashosti' kuendea saloon kusuka nywele.., pia hivi vi-toy huwa vinasaidia sana kupeleka watoto nursery pamoja na kuwarudisha nyumbani. Sasa huwa inakuwa kituko sana unapokuta mtu kama J.B au Komba anapotumia ki-"baby walker" kwenda kutanulia na kung'olea totoz..???! USHAURI:Ukiona umeshindwa sana tafuta Suzuki Escudo used ununue.

anaemdharau mtu kwa gari anayoendesha ni mshamba!!!
 
yaan hii post imefanya nikucheke kwa dharau maana umekurupuka tu.hivi unajua kuna "baby walker" ambazo ni expensive and comfortable kuliko hiyo escudo??uko wap nije nkupe lift kwny 2009 vw golf gti yangu thn tuone ukirudia huu usemi wako.

aisee hii nayo ni 'baby walker'??? labda vw polo.......
 
Tumekua wengi tuliocheka tena nimecheka kwa sauti. Hivi mbona mnadanganya wenzenu hivi dah! Miji mikubwa ipi uliyoenda mtoa mada ukayakuta hayo. Mtu ana a lot of bills alafu akanunue gari yenye engine kubwa for what? What's the use of it. Acheni kupotosha na stori zenu za vijiweni.
Nasema kupanga ni kuchagua na muda hausubiri, sasa we nunua gari kwa kuangalia ati hii ni babywalker then utajipata kwa madeni tu

Nenda na wakati mzee
 
Hata Ulaya na kwingineko inaelekea hujafika uone gari zinazoendeshwa.
Nimefika London, Mumbai, Dubai, Copenhagen, Stockholm, Tokyo,Osaka, Washington, Johannesburg,New York na hata Singapore na unayosema ni ya kufikirika.
Wenzetu wakubwa huna haja hata ya gari maana wana mass transport system.
Vinginevyo gari ndogo ndio zina tawala kwa economy.
Nikiwa Tokyo, kuiona shangingi ni kama kumwona kakakuona!
Safiri kwanza uione dunia.

Inaelekea hata Ulaya hajafika mm nimeona hata waziri wa fedha wa Uingereza akitemebelea gari ndogo sana na nikastaajabu ,sasa wewe Unazungumzia ulaya gani? watu wanapuguza gharama
 
We songa mbele achana na hawa watoto waliotoka chuo akina FRANCIS DA DON ishi upendavyo bana mi naendesha Hyundai Getz sasa asbh mtu anitolee jicho tukionana njiani uone
Akikutolea macho kama pana mchanga unamrushia hahahaaaaa,daaa ila ukifuata yaliosemwa hapa unaweza ukapaki gari aisee Mkiu tukomae tu,wengine watoto wa mama tukishindana nao ni kuambulia maumivu ya figo lol!
 
Last edited by a moderator:
Hata Ulaya na kwingineko inaelekea hujafika uone gari zinazoendeshwa.
Nimefika London, Mumbai, Dubai, Copenhagen, Stockholm, Tokyo,Osaka, Washington, Johannesburg,New York na hata Singapore na unayosema ni ya kufikirika.
Wenzetu wakubwa huna haja hata ya gari maana wana mass transport system.
Vinginevyo gari ndogo ndio zina tawala kwa economy.
Nikiwa Tokyo, kuiona shangingi ni kama kumwona kakakuona!
Safiri kwanza uione dunia.

Bila shaka unafanya kazi ya ubaharia!!!
 
rollsroyce-phantom-11.jpg
Rolls-Royce Phantom
Price: $ 350,000 - 500,000
Displacement: 6749cc
12 cylinder
Naona hili ndilo gari analolihitaji Francis da don litamfaa
 
well said broda, mwisho wa siku kitakufikisha pale unapotaka kufika kwa haraka. :car:
Usitu-brainwash, huo ni uongo kbs vigari hivi unavyoviita baby walker ndio vinatumika zaid kwa sababu ya economy ya wese, so wanaotumia ni watu aina zote tu
 
Mimi gari nikinunua sababu niko hapa mjini nitanunua hizo baby walker ataesema ya kike aninunulie hiyi ya kiume na awe anaweka mafuta.
Hapa mjini kuna sababu gani kununua 2.5,3.5,4.6cc
 
Mimi ninako kwa kweli kananipa raha kweli hapa mjini dar, kwa wiki natembea kama kilomita 350 hivi na natumia mafuta ya elfu arubaini tu. Yani kinapiga kama kilomita 18 kwa lita. Ninalo lingine nimelipaki nyumbani nalitumia kwa visafari maalum tu.
 
Hata Ulaya na
kwingineko inaelekea hujafika uone gari zinazoendeshwa.
Nimefika London, Mumbai, Dubai, Copenhagen, Stockholm, Tokyo,Osaka,
Washington, Johannesburg,New York na hata Singapore na unayosema ni ya
kufikirika.
Wenzetu wakubwa huna haja hata ya gari maana wana mass transport system.
Vinginevyo gari ndogo ndio zina tawala kwa economy.
Nikiwa Tokyo, kuiona shangingi ni kama kumwona kakakuona!
Safiri kwanza uione dunia.

acha uongo
 
Hata Ulaya na kwingineko inaelekea hujafika uone gari zinazoendeshwa.
Nimefika London, Mumbai, Dubai, Copenhagen, Stockholm, Tokyo,Osaka, Washington, Johannesburg,New York na hata Singapore na unayosema ni ya kufikirika.
Wenzetu wakubwa huna haja hata ya gari maana wana mass transport system.
Vinginevyo gari ndogo ndio zina tawala kwa economy.
Nikiwa Tokyo, kuiona shangingi ni kama kumwona kakakuona!
Safiri kwanza uione dunia.

hahahaa, we unahangaika kujibu? amekosea njia alitaka kwenye wall yake fb.
 
Back
Top Bottom