Sababu ya wanaomiliki vi-"BABY WALKER" kudharauliwa

Sababu ya wanaomiliki vi-"BABY WALKER" kudharauliwa

Hapa inaonekana huyu jamaa kuna mtu sample ya jb kamnyopolea mtoto wake , na hiyo anayoiita baby walker while yeye alikuwa anajidai na escudo yake,huyu ni mji%$£a, sikuhizi imekuwa ni fashion wale wore wenye hayo magari makubwa wanavyo vi baby walker mostly for keeping low profile, nakumbuka E.L, alikuwanacho kimoja cheupe jioni utamuona nacho mitaa ya mindu upanga.
 
watanzania ulimbukeni umetuzidi. nenda London uone vigari vyao viduchuviduchu
 
Sababu ya wale wanaoendesha vi-"Baby walker" jamii ya "vigurumo" kudharaulika katika jamii iko wazi kabisa. Kule nchi za magharibi vi-baby walker hutumika hasahasa na 'mashosti' kuendea saloon kusuka nywele.., pia hivi vi-toy huwa vinasaidia sana kupeleka watoto nursery pamoja na kuwarudisha nyumbani. Sasa huwa inakuwa kituko sana unapokuta mtu kama J.B au Komba anapotumia ki-"baby walker" kwenda kutanulia na kung'olea totoz..???! USHAURI:Ukiona umeshindwa sana tafuta Suzuki Escudo used ununue.

Kumbe swala ni udogo wa gari!

Vipi JB akinunua ka haka, je atakua amekaonea?

JB.JPG
 
from nlivomuelewa baby walker anamaanisha hatch backs zote kama vits,ist,nissan march and the like so hata vw golf yangu kwake yeye anaiona kama baby walker.

golf sio baby walker...baby walker ya VW ni POLO hio ndio level za vits/ist....GOLF GTi HIO NI LIGI INGINE.....gari aina ya golf zinaitwa HOT HATCHBACK na POLO zinaitwa SUPER MINIS ndio akina vits/ist/starlet.
 
Naomba kujua mtoa post unamiliki aina gani ya gari???
 
Sababu ya wale wanaoendesha vi-"Baby walker" jamii ya "vigurumo" kudharaulika katika jamii iko wazi kabisa. Kule nchi za magharibi vi-baby walker hutumika hasahasa na 'mashosti' kuendea saloon kusuka nywele.., pia hivi vi-toy huwa vinasaidia sana kupeleka watoto nursery pamoja na kuwarudisha nyumbani. Sasa huwa inakuwa kituko sana unapokuta mtu kama J.B au Komba anapotumia ki-"baby walker" kwenda kutanulia na kung'olea totoz..???! USHAURI:Ukiona umeshindwa sana tafuta Suzuki Escudo used ununue.
Mkuu tafuta kitabu kinachoitwa rich daddy and poor daddy usome afu ulete mrejesho hapa jukwaani.
 
Naomba kujua mtoa post unamiliki aina gani ya gari???
hata angekuwa anamiliki gari la kifahari,ni upuuzi kutanua mjini wakati ndugu zako kijijini wanakufa njaa eti unataka umaarufu.
Haina tofauti na kumiliki simu ya laki sita lakini buttons zake zinachubuka kwa kutuma sms kila siku.
Ni bora uwe na gari dogo ulitumie kuliko kuwa na gari la show siku ya X-mas na mwakla mpya tu.
 
Wewe hata bajaj huna unawaponda wenzio wenye magari madogo,kisa jirani kanunua Vitz wewe hela yako kulewa mpaka unapoteza Chanel bar...hichohicho kibaby walker kimembadirisha status mwenzio we huwezi fanananae,mwenzio hamalizi soli ya kiatu
 
golf sio baby walker...baby walker ya VW ni POLO hio ndio level za vits/ist....GOLF GTi HIO NI LIGI INGINE.....gari aina ya golf zinaitwa HOT HATCHBACK na POLO zinaitwa SUPER MINIS ndio akina vits/ist/starlet.

Nawashangaa sana hawa jamaa,hawataki kuchukua ujumbe kabisa!
Baby walker inajulikana kabisa kabisa.
Hivi ni vigari vya minors wanyoa viduku!
 
Hizi sasa ni sifa za kijinga.
Yaani ukiona mwenzio Kapost kitu na wewe una paste hivyo hivyo,ili uonekane na wewe umo,
Hii imeisha kuwa posted na G Sam kwa vile imepata vote nyingi eti na wewe umahamisha kama ilviyo
Wewe njoo na mada nyingine,we are tired of this.
 
hata angekuwa anamiliki gari la kifahari,ni upuuzi kutanua mjini wakati ndugu zako kijijini wanakufa njaa eti unataka umaarufu.
Haina tofauti na kumiliki simu ya laki sita lakini buttons zake zinachubuka kwa kutuma sms kila siku.
Ni bora uwe na gari dogo ulitumie kuliko kuwa na gari la show siku ya X-mas na mwakla mpya tu.

kwa hiyo wanaotumia baby walker wanasaidia sana ndugu zao huko vijijini?
 
Back
Top Bottom