piper
JF-Expert Member
- Jan 17, 2012
- 3,253
- 612
Stori za kijiweni peleka kijiweni, wenzetu hawafanyi kazi kwa staili za usimba na uyanga so acha propaganda zisizo na mashiko, halafu Liverpoool ina mataji 18 na siyo 19 waliyonayo Man Utd, mbali na hayo Howard Web Alichezesha mechi msimu ulopita ambayo Man Utd ilipigwa 3-0 dhidi ya Newcastle je alifungiwa? Andy Marriner alichezesha mechi mbili za Man Utd dhidi ya Chelsea Stamford Bridge na Man Utd ikafungwa mara zote likiwemo goli la offside la Drogba je alifungiwa?, na mechi iliyofuata refa huyo huyo alichezesha mechi kipindi cha akina Wes Brown Drogba alimvuta Brown na Terry kafunga goli je Andy Marriner alifungiwa? Ferguson alipolalamika aliishia kufungiwa na FA je David Gill hakuwepo amsaidie? acha propaganda zisizo na mashiko na jikite kwenye soka.