Sababu ya Man Utd kubebwa hii hapa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sababu ya Man Utd kubebwa hii hapa

Discussion in 'Sports' started by mi_mdau, Oct 29, 2012.

 1. mi_mdau

  mi_mdau JF-Expert Member

  #1
  Oct 29, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 563
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Kumekuwa na malalamiko kila kukicha kuhusiana na matukio ya ‘wazi’ ya kubebwa yanayotoka kwa timu pinzani za Manchester united ya uingereza. Pamoja na ubora wake, Man Utd ni timu ambayo inapendelewa sana na waamuzi, wakiongozwa na howard web ambaye katika historia yake ya kuchezesha soka, asilimia 18 ya penati alizotoa ameipa Man utd (FACT).

  DAVID GILL- Ni mtendaji mkuu wa Man utd. Anasifika kwa uhodari wake wa kuongoza timu na kusimamia biashara ya club yake. Alipanda kuwa mtendaji mkuu akitokea nafasi ya ukurugenzi wa fedha klabuni hapo. Aliingia kwenye bodi ya FA (chama cha soka cha uingereza) mwaka 2006 kama mjumbe. Kocha wa liverpool (Rafa Benitez) aliwahi kulalamika kuhusu uteuzi wake lakini hakuwa na mtu wa kumsaidia. Mbaya zaidi kwa wapinzani wa Man u ni kwamba October, 2012, David Gill amekuwa makamu mwenyekiti wa FA, na hivyo kuwa na nguvu zaidi. Akishirikiana na uzoefu wa Ferguson, Gill ametumia ushawishi wake (usio wa haki kimpira) kuisaidia timu yake kushinda mechi kadhaa isivyo haki. Mfano refa aliyechezesha mechi yao ya mwisho na Liverpool, alialikwa na Fergie kwenye tafrija (ya Charity), takribani wiki moja kabla ya hiyo mechi. Refa Mike Hasley aliudhuria na alifurahia tukio hilo.

  UPINZANI NA LIVERPOOL- Vijana wengi walioanza kufuatilia mpira wa uingereza katikati na mwishoni mwa miaka ya tisini wanaweza wasielewe sana kama Man u na Liverpool ni Simba na Yanga za Uingereza. Sababu ni kuwa Kipindi hiki Liverpool haijafanikiwa sana katika mpira wa Uingereza (hasa ligi), tofauti na timu kama arsenal na chelsea, na sasa Man City. David Gill kama kiongozi wa man u na Ferguson wanafanya kila njia kuendelea kuisimamisha Liverpool ibaki na mataji yake 19 ya ligi ili Man U yenye idadi hiyo pia kwa saa iipite na kutawala ligi hiyo. Si rahisi kulielewa hili kama mtu si mfuatiliaji mzuri wa siasa za soka, ila fuatilia maamuzi ya mechi za liverpool yanavyokuwa, inapopambana na timu yoyote ile katika ligi ya uingereza. Wengine hushangaa kwa nini liverpool na ubaya wake inafanya vizuri mashindano ambayo si ya ligi (UEFA, EUROPA LEAGUE, FA, CARLING). Ni kwa sababu mkono wa marefa wa ligi haufiki sana huko (FACT). Liverpool (ingawa kwa sasa inatengeneza timu) italizwa sana na mtu huyu kama ilivyonyimwa goli la dakika za mwishoni jana (28/10/2012) dhidi ya Everton.

  UPINZANI WA MAN U NA CHELSEA, ARSENAL, MAN CITY, TOTENHAM.- Man U wamekuwa wakibebwa sana wanapopambana na wapinzani wao kama Man City na wengineo wanaogombania nao mataji. Man City ilipoanza kuja juu kuna mechi yao ilikuwa na dk za nyongeza zisizopungua 5, cha ajabu zilienda hadi 7 na Man u wakapata ushindi. Kwa kifupi ni udhibiti kwa wapinzani. Mechi ya mwisho ya Chelsea na Man U, torres aliguswa, sisemi ni foul, ila haikuwa sawa kumpa kadi kwa kuwa hakujirusha. Goli la 3 alilofunga Chicharito lilikuwa ni la kuotea (wakati mpira unapigwa alikuwa ameotea tayari, anajaribu kujirudisha onside). Kuna mifano mingi sana, lakini tujiulize kwa nini Man U tu????
  Jibu ni rahisi, kwa sababu ya Ushawishi wa David Gill na SIR AF

  KIPANDE CHA DATA (Hivi ni coincedence au??)
  Mike Riley, kiongozi wa marefa ligi kuu uingereza- alikuwa refa kipindi cha nyuma kidogo, aliyempa rooney penati ya kudive 2004 Man u ikiwapiga arsenal 2-0. Arsenal siku hiyo wakapoteza rekodi yao ya kutofungwa katika game 49. Mwaka 97/98-2004 amechezesha game za Man u 23, katika kipindi hicho amewapa utd penalty 12, ila 3 tu against them, ametoa kadi nyekundu 5 kwa wapinzani, at old trafford ametoa penat 10 katika game 14. Huyu ndo anaamua nani achezeshe game ipi kwa sasa

  Ref wa jana Clattenburg hakuwa amechezesha game 38 za Man u katika michuano yoyote. Game yake ya mwisho kabla ya jana alitoa kadi nyekundu kwa evans na man u walilala 6-1 dhidi ya city. Aliporudi akatoa faida kwa Man u

  Asilimia 18 ya penalt alizotoa Howard webb maishani mwake, ameipa Man U. Na huyu ndo refa aliyechezesha mechi nyingi za Manchester kuliko mwingine yoyote.

  Unamkumbuka Mark Halsey (aliyechezesha last match Liverpool vs Manure)- aliwapa WBA penat walipodraw na Man u 1-1 at old trafford. (May 2005). Ilikuwa game yake ya 5 kuchezesha Man u hiyo season. Hakugusa mechi ya Man u mwaka mzima baada ya hapo. Alipozigusa 11 zilizofuata zote Man u alishinda, mojawapo ni ile ya Anfield ya mwisho, with 3 controversial decisions kwenda kwa Man U.

  Michael Oliver took charge of Man u 2-1 loss at wolves feb 2011. Dec 2011 ndo akaja kugusa tena mechi ya Man u, mechi zote mbili Man u ikashinda, akiwanyima fulham penat kwenye mojawapo. Wiki chache zilizopita wakawapa penat ya kichekesho Man U baada ya welbeck kujirusha vs Wigan, unakumbuka?

  Martin Atkinson ndo alishika mechi aliyopoteza Man u dhidi ya chelsea 2011. Akakaa mwaka mzima bila kupewa game ya Man u. Zaidi, akaadhibiwa kwa maamuzi yake ya siku hiyo. Hakugusa mechi yoyote ya ligi kuu kwa mwezi mzima, akapewa mechi tatu za ligi za chini msimu huo.

  Man u alilala 3-1 kwa liverpool msimu wa 2010-11, refa akiwa Phil Dowd. Fergie akamuwakia kwa nini hakumtoa Carragher na Red. Game iliyofuata ya Man u (the very next game), Dowd akaishika, Man u wakapewa penat wakadraw 1-1dhidi ya Blackburn wakapata League title ya 19.

  Chris Foy alichezesha mechi ya man utd ikilala 1-0 dhidi ya arsenal msimu uliopita. Mwaka mzima, Foy hajagusa mechi yoyote ya Man U. Game 2 za man u zilizofuata, alizochezesha, dhidi crystal palace, carling cup akawapa Man u penalty. Dhidi ya city, FA cup, akawapa penalty na red akala Kompany mapema tu.

  Mike Jones, akachezesha Man u na Newcastle, ilikuwa draw ya 1-1, alimpa demba ba penat. Jones hakupewa mechi yoyote tena kwenye level yoyote kwa mwezi mzima. Game ya united aliyopewa baada ya hapo, Man u waliipiga. Stoke 2-0, penati 2 laini kwa Man U
  Na Man U si alipigwa 3-2 na spurs? Si unajua Chris foy ndo alichezesha, si unajua hakuwapa penati? Hatachezesha game weekend ijayo, atachezesha mechi ya League 2 kwa mara ya kwanza ndani ya miaka 4.

  Mike Jones amefanywaje sasa maana hakutoa penalty ya wazi kwa Suarez dhidi ya norwich. Ye anachezesha game ya WBa vs QPR.
  Na Howard Webb je?? Yeye alitoa kadi nyekundu kwa Jordi Gomez, ambayo imetenguliwa na FA, anashika game ya Newcastle na Man U, utampenda!! Kosa linamgharimu Foy lakini si hawa wengine, why???!!
   
 2. m

  mgomba101 JF-Expert Member

  #2
  Oct 29, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 1,788
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Refaree ni binadamu kama wewe! kuna human error! anaweza fanya mistake or a stupid mistake(Blunder).

  Goli mbili za mwanzo zilifungwa wakati chelsea wakiwa pungufu au wamekamilika??
  mbona hapa bongo kamati ya ligi inajumuisha viongozi wa timu
   
 3. myhem

  myhem JF-Expert Member

  #3
  Oct 29, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Bangi unayovuta inatoka Mara,Arusha au Mbeya? Peleka hizo bangi zako chitchat.
   
 4. mchapa

  mchapa Member

  #4
  Oct 29, 2012
  Joined: Oct 21, 2012
  Messages: 21
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  Nafikiri haufahaamu vizuri unachokiandika,gill kuwapo fa si ajabu km unavyofikiri na ndo mana kafikia kuwa na cheo hicho na wala usifikiri yupo peke yake hata kina kenyon wapo na wengine wengi,hata hapa bongo kaka hujawahi sikia kama rage yuko katika klamati za Tff? unachoongea wewe ni stori za kahawa tena ambazo sio za kitaalamu unafikiri timu zingine hazifahamu hilo?mbona hazihoji?au ye ndo ana mamlaka ya mwisho?Mara zote 19 alizochukua man gill alikuapo na huyo fergy?
  Eti unaongelea liverpool sasa hv we ni kipofu?ni timu ya kusema man u wanahitaji kuizuia wkt tayari ishajifia.ndo mana nawashanga mnaongelea goli la hernandez mnasahau hilo la liverpool na asernal ambao pia walifunga kwa offside juzi,hayo yote ni makosa ya kibinadamu na ndo raha ya mpira si wangeweka refa wa replay basi km ni muhimu sana unafikiri kuona kila kitu? acha story sio mpira wabongo huo hiyo man u ndani ya miaka 5 imecheza mara ngapi fainali za uefa?JIONGEZE
   
 5. w

  white wizard JF-Expert Member

  #5
  Oct 29, 2012
  Joined: May 18, 2011
  Messages: 2,462
  Likes Received: 748
  Trophy Points: 280
  sikubaliani na wewe,cku zote huwa yakitokea kwa man utd,inakuwa haina shida,ni fair,ila kwa timu nyingine inakuwa nongwa,mfano.mechi ya juzi ya arsenal na qpr,lile goli la dk za mwisho la arsenal alilofunga,ingekuwa ni man utd ndio amefunga lile goli ungeckia mengi!na je huyo David Gill kwenye uefa ana ushawishi gani? Kwani nako huwa mnasema ana bebwa.
   
 6. Mawenzi

  Mawenzi JF-Expert Member

  #6
  Oct 29, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,261
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Hv uko serious kweli kupinga aliyosema Mdau? Jamani tuache ushabiki. Jamaa kaongea facts tupu.
   
 7. gobore

  gobore JF-Expert Member

  #7
  Oct 29, 2012
  Joined: Aug 17, 2009
  Messages: 730
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Chelsea walishazidiwa within 20 minutes za mwanzo walipopigwa goli mbili za chap au hilo hukuliona ndugu? Au walikua pungufu? Man U walibebwa? Sidhani
   
 8. mi_mdau

  mi_mdau JF-Expert Member

  #8
  Oct 29, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 563
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Mike Riley, kiongozi wa marefa ligi kuu uingereza- alikuwa refa kipindi cha nyuma kidogo, aliyempa rooney penati ya kudive 2004 Man u ikiwapiga arsenal 2-0. Arsenal siku hiyo wakapoteza rekodi yao ya kutofungwa katika game 49. Mwaka 97/98-2004 amechezesha game za Man u 23, katika kipindi hicho amewapa utd penalty 12, ila 3 tu against them, ametoa kadi nyekundu 5 kwa wapinzani, at old trafford ametoa penat 10 katika game 14. Huyu ndo anaamua nani achezeshe game ipi kwa sasa

  Ref wa jana Clattenburg hakuwa amechezesha game 38 za Man u katika michuano yoyote. Game yake ya mwisho kabla ya jana alitoa kadi nyekundu kwa evans na man u walilala 6-1 dhidi ya city. Aliporudi akatoa faida kwa Man u

  Asilimia 18 ya penalt alizotoa Howard webb maishani mwake, ameipa Man U.

  Unamkumbuka Mark Halsey (aliyechezesha last match Liverpool vs Manure)- aliwapa WBA penat walipodraw na Man u 1-1 at old trafford. (May 2005). Ilikuwa game yake ya 5 kuchezesha Man u hiyo season. Hakugusa mechi ya Man u mwaka mzima baada ya hapo. Alipozigusa 11 zilizofuata zote Man u alishinda, mojawapo ni ile ya Anfield ya mwisho, with 3 controversial decisions kwenda kwa Man U.

  Michael Oliver took charge of Man u 2-1 loss at wolves feb 2011. Dec 2011 ndo akaja kugusa tena mechi ya Man u, mechi zote mbili Man u akishinda, akiwanyima fulham penat kwenye mojawapo. Wiki chache zilizopita wakawapa penat ya kichekesho Man U baada ya welbeck kujirusha vs Wigan, unakumbuka?

  Martin Atkinson ndo alishika mechi aliyopoteza Man u dhidi ya chelsea 2011. Akakaa mwaka mzima bila kupewa game ya Man u. Zaidi, akaadhibiwa kwa maamuzi yake ya siku hiyo. Hakugusa mechi yoyote ya ligi kuu kwa mwezi mzima, akapewa mechi tatu za ligi za chini msimu huo.

  Man u alilala 3-1 kwa liverpool msimu wa 2010-11, refa akiwa Phil Dowd. Fergie akamuwakia kwa nini hakumtoa Carragher na Red. Game iliyofuata ya Man u (the very next game), Dowd akaishika, Man u wakapewa penat wakadraw 1-1dhidi ya Blackburn wakapata League title ya 19.

  Chris Foy alichezesha mechi ya man utd ikilala 1-0 dhidi ya arsenal msimu uliopita. Mwaka mzima, Foy hajagusa mechi yoyote ya Man U. Game 2 za man u zilizofuata, alizochezesha, dhidi crystal palace, carling cup akawapa Man u penalty. Dhidi ya city, FA cup, akawapa penalty na red akala Kompany mapema tu.

  Mike Jones, akachezesha Man u na Newcastle, ilikuwa draw ya 1-1, alimpa demba ba penat. Jones hakupewa mechi yoyote tena kwenye level yoyote kwa mwezi mzima. Game ya united aliyopewa baada ya hapo, Man u waliipiga. Stoke 2-0, penati 2 laini kwa Man U
  Na Man U si alipigwa 3-2 na spurs? Si unajua Chris foy ndo alichezesha, si unajua hakuwapa penati? Hatachezesha game weekend ijayo, atachezesha mechi ya League 2 kwa mara ya kwanza ndani ya miaka 4.

  Mike Jones amefanywaje sasa maana hakutoa penalty ya wazi kwa Suarez dhidi ya norwich. Ye anachezesha game ya WBa vs QPR.
  Na Howard Webb je?? Yeye alitoa kadi nyekundu kwa Jordi Gomez, ambayo imetenguliwa na FA, anashika game ya Newcastle na Man U, utampenda!! Kosa linamgharimu Foy lakini si hawa wengine, why???!!

  Kusoma hujui, hata picha nayo huitambui?
   
 9. Gang Chomba

  Gang Chomba JF-Expert Member

  #9
  Oct 29, 2012
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 8,791
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  kuna refa anaitwa Mike Rirey, huyu jamaa ni Man UTD damu.
  Yeye huwa anadili na wachezaji wakorofi wa timu pinzani na Man UTD na ndio maana katika enzi yake ashawahi kufokewa na kusukumwa mpaka chini na Paul di Canio, ashawahi kutemewa mate na Gavana Paul Ince na ashawahi kutukanwa na Kaka mkuu Patrick Vieira katika mechi ambayo iliisha kwa sare ya bila kufungana.

  lakini palitokea na vurugu kuubwa uwanjani old traford.
  Katika tukio la kushangaza siku hiyo Vieira akiwa na mpira Ruud Van Nisteeroy alikuja na kumrukia kwa nyuma na Vieira akadondoka chini.

  ili kumpandisha hasira Vieira basi Ruud Van akasimama mbele ya Vieira aliyekuwa chini huku maneno yakimtoka.

  Ndipo Vieira akainua mguu na kutisha kama anamrushia teke.
  Na hapo Ruud van akakimbia hatua kadhaa nyuma huku akimlalamikia refa ambaye alikuwa eneo la tukio na kumpa Vieira kadi nyekundu.

  Mechi haikuishia kuharibika hapo kwani dakika za usiku Rirey akatoa penati ambayo Ruud Van aliipiga na kugonga mwamba na mpira kuisha na ndipo wachezaji wa Arsenal wakiongozwa na Generali Martin Keown na Brigadia Generali Ray Palour walipoongoza kipigo kwa Ruud van na baadhi ya wachezaji wenzie.

  Hivyo naungana na mtoa mada kuwa wajomba wanapendelewa na waamuzi.
  Ni kama Juventus kule Italia.
   
 10. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #10
  Oct 29, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
 11. mi_mdau

  mi_mdau JF-Expert Member

  #11
  Oct 29, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 563
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  mambo ya kuiua liverpool ni kama mission haijaanza leo. Unakumbuka benitez alivyokuwa analalamika akakosa support ya waoga kama kina wenger. Au umesahau liverpool ilikuwa ibebe taji la ishirini wakati huo, man u ingebaki na 18 ikaishia namba mbili. Umesahau ilibeba kombe la uefa na msimu wa pili baadae ikafika fainali. Benitez akatambaa. Kama huamini soka lina siasa ntashangaa kama unaamini soka ni biashara. Leta facts tu usiongee mapenzi peke yake
   
 12. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #12
  Oct 29, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Jamaa kachambua vizuri kamzidi hata shafii dada
   
 13. Scofied

  Scofied JF-Expert Member

  #13
  Oct 29, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 2,017
  Likes Received: 197
  Trophy Points: 160
  haya ni maneno tu hata kwenye kanga yapo.....viva Man U
   
 14. kbosho

  kbosho JF-Expert Member

  #14
  Oct 29, 2012
  Joined: Jun 4, 2012
  Messages: 12,505
  Likes Received: 3,314
  Trophy Points: 280
  imekaa kshabk
   
 15. c

  chilubi JF-Expert Member

  #15
  Oct 29, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 3,027
  Likes Received: 1,016
  Trophy Points: 280
  Wewe mfuatiliaji sana wa siasa za soka, ivi nkuulize kama Gill anafanya mitikasi ya kuizuia liverpool isichukue ubingwa wa ligi, kwanini asizuie FA na Carling? Au FA na carling ni makombe ambayo hayapo chini ya FA?

  Usijidai buree kama eti liverpool inazuiwa ma Gill, timi yako liverpool ni mbovuuuu!!! Wangeizuia man city isichukue ubingwa! Mukishakufungwa mnakua hamina jipya
   
 16. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #16
  Oct 29, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Matapishi tupu haya! Yananukaaaaaaaaa!
   
 17. Mtoto halali na hela

  Mtoto halali na hela JF-Expert Member

  #17
  Oct 29, 2012
  Joined: Aug 10, 2012
  Messages: 19,177
  Likes Received: 2,882
  Trophy Points: 280
  Wakishinda man wamebebwa, wakishindwa peche mingi. Nina uhakika hata ikija hapa bongo kucheza na timu zetu, wakishinda tu utasikia wamebebwa. Inasikitisha, kama mna chuki na Man U andamaneni!
   
 18. Mtoto halali na hela

  Mtoto halali na hela JF-Expert Member

  #18
  Oct 29, 2012
  Joined: Aug 10, 2012
  Messages: 19,177
  Likes Received: 2,882
  Trophy Points: 280
  huyo Shafii dada anatangaza Tv/radio gani?
   
 19. Mwana Mtoka Pabaya

  Mwana Mtoka Pabaya JF-Expert Member

  #19
  Oct 29, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 11,697
  Likes Received: 7,955
  Trophy Points: 280
  Hizi human erro mbona zinaelekeaga upande wa wapinzani tu? That day, Shevley (Liverpool) alitolewa kwa red card kwa kosa lisilo na kichwa wala miguu, muda si mrefu, Van Persie akafanya faulo mbaya na hakupata hata njano.

  Van Persie kampiga Cabaye kipepsi mbele ya Lines Man, nayo kwa human error hakuonekana.

  Lini tutaona human error zikitokea in favor of Man U's opponents?
   
 20. Kennedy

  Kennedy JF-Expert Member

  #20
  Oct 29, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 11,234
  Likes Received: 2,916
  Trophy Points: 280
  Teh teh teh,ngoma inogire ngoja nipige kambi jukwaa hili nicheke mpaka mbavu ziume.
   
Loading...