Sababu ya Man Utd kubebwa hii hapa

....... Angalia wakati Liverpool imeamka, akaanza kulalamika kupangiwa game mfululizo za mchana (labda ilitokea tu), na maamuzi, na uhusiano wa Man U na FA. Hakupata msaada ila hizi ni baadhi ya data...........
Upangaji wa ratiba hauko kishabiki hivyo kuna mambo mengi huwa yanaangaliwa pia kuna mtaalamu tehama (Glenn Thompson)anayefanya hiyo kazi tangu 1994/1995. soma hii makala
Ever wondered why you have had to travel the length of the country on a wet Tuesday night to watch your team in action?
Or you haven't played at home on Boxing Day for the last three years?
Like me, you've probably just blamed the fixture computer, that mythical piece of technology that determines where you will be and when throughout the football season.
I have always imagined it to be some great beast of a machine like bertha, firing out tickertape full of fixtures while some overworked scientist desperately tries to make sense of the information spewing forth.
The fixtures for the 2009-2010 season are released at 1000 BST on Wednesday and last week I spoke to some of the key people involved in the formation of the schedule.
I wanted to find out exactly how the fixture list is put together and just how difficult a job it is. Needless to say, I spent a large chunk of last weekend in a dark and cool room as my brain tried to come to terms with its most serious case of information overload since I asked my wife to point out my most obvious flaws.

Putting the fixture list together is incredibly complex - with a whole series of factors ensuring it is an increasingly difficult task.
Just to give you one example; every club is paired with another in regard to when they play their home and away fixtures. This is done for a number of reasons, one being so that clubs like Everton and Liverpool do not play at home on the same weekend.
West Ham, it turns out, are paired with Dagenham and Redbridge. But for reasons of revenue Southend request they do not play at home on the same day as the Hammers as they believe it impacts upon their attendance.
fixturescomputer595.jpg

Southend, though, are in Essex, as are Colchester, so they cannot play together on the same weekend. Colchester share stewards with Ipswich so those two clubs also request they do not play home games on the same weekend. Transport links dictate Ipswich and Norwich do not play together on the same weekend either. In other words, when West Ham play at home can have an impact on when a club as far away as Norwich (108.8 miles) play their home fixtures. And there are 12 other professional clubs in London....
Confused? Read on and I guarantee you will be.
The compilation of the fixture list is done jointly between the Premier League and the Football League. The whole process starts upwards of a year in advance when Fifa and Uefa release their match calendars but work starts in earnest in the final months of the previous season.
The Football League, for example, sends out a questionnaire to all their clubs in March. This is a club's opportunity to request specific dates they would like to avoid and what other team they would like to be paired with. The questionnaire is jointly signed off by the police and also reflects their concerns - issues such as ensuring high-profile matches do not clash with big events in a city.
During this time the main man in the process - Glenn Thompson of Atos Origin, an international IT services company, - starts the process he describes as sequencing.
For most of the year Glenn works as an IT professional in Scotland but he has been compiling the fixtures since the 1993-94 season and describes the task both as an enormous puzzle and his summer job. He is the man who owns the laptop that is the fixture computer.
Sequencing involves mapping out on what days all the fixtures will take place and the pattern of home and away games that a team will play.
There are rules governing sequencing - for example clubs will play no more than two home games consecutively and, with one eye on the financial situation at lower league clubs, the games either side of an FA Cup fixture should not both be away from home.
But slotting all the fixtures into the calendar is becoming more and more difficult.
Paul Snellgrove is the Football League fixtures officer. I get the impression he is a very amiable man but mention the fixture calendar and it quickly becomes obvious this is a complicating factor in his life.
The increase in European club competition fixtures - with the inaugural Europa League next season - is eating into the available space; as are international friendlies and World Cup qualifiers. Next season is followed by the World Cup so the campaign ends early. The Champions League final next season takes place on a Saturday, eating into another weekend when Premier League fixtures cannot be played.
Out of necessity, next season's play-off finals are split across two weekends, with the Championship finale taking place on the same day as the Champions League final.
There are 10 rounds of midweek Championship fixtures to squeeze in, six for League One and League Two and four in the Premier League. Then you have the FA Cup, the Carling Cup and the Johnstone's Paint Trophy.
The process of sequencing took Thompson 10 days this year - and once the season finished he plotted his pairings into a grid and started wading through the lists of requests from the clubs and the police. Snellgrove estimated there were about 90 this year from the Premier and Football League clubs, while on average Thompson reckons about 80% of the home and away requests are accommodated.
He also manually creates the fixtures for Boxing Day and 28 December to try to minimise the travelling distance for fans. As Thompson readily admits, the computer has no concept of the distance between grounds.
Once the sequencing and plotting was finished - are you still with me here? - Thompson fed all the information into the programme on his laptop. The methodology was created in 1982 and was updated a decade ago. Way back when the computer was a desktop based in Wilmslow and compiling a division's fixtures was an overnight job. These days it can knock out a division in 5-10 minutes.
Five days after the Championship play-off final Thompson produced his first draft of the fixtures. From that moment onwards it was all a case of refinement, refinement, refinement, with Thompson returning to his computer 30-40 times to try to improve his list.
These might include issues such as potentially sensitive fixtures being played on the opening or final weekends of the season and derby fixtures taking place in midweek.
As Snellgrove puts it: "There is a huge amount of information crunched - by the time the fixtures actually come out the original list has been changed goodness knows how many times."
At this stage only Thompson sees the list, as he adjusts and tweaks it until he comes up with a calendar that he is happy to take to the Premier League and the Football League.
Last Wednesday, Thompson headed to Preston where he met with both the governing bodies - and a further process of refinement took place over the following days.
Thompson reckons he does the job because he enjoys it and derives great satisfaction from producing a body of work that has a very tangible end product. But it must be an agonising, head-scratching process that slowly strips you of the will to live.
For instance, every time a fixture is changed it affects at least seven other fixtures and can easily impact on as many as 48.
manutdnew595.jpg

Ian Todd is the president of the Football Supporters' Federation and sits on the fixtures working party that meets to discuss Thompson's list. One year he objected to Morecambe playing at Dagenham and Redbridge in midweek. They tried to alter the fixture but found out that it would negatively impact on so many other games that what Todd calls "the least worst option" was to maintain the status quo.
The fixtures working party met last Saturday to discuss this year's calendar. In addition to Todd, Thompson and Snellgrove, the Premier League and Football Association are represented as well as people from the top flight, Championship, League One and League Two clubs.
Todd estimates he has between 30-45 minutes to scan the fixtures and point out any concerns that might impact negatively on supporters.
Monday involves a meeting with various police chiefs and the British Transport Police. Again, there are potential issues here that had never crossed my mind. They look at potential logistical problems such as whether there will be too many fans from different clubs all heading to one train station in London for a particular set of fixtures on any given weekend.
On Tuesday the list will be signed off and on Wednesday morning we will all see the fruits of a lot of hard work.
Not everyone will be happy but Snellgrove is confident that if certain clubs' requests have not been accommodated then at least he will be able to explain why.
Thompson sometimes has nightmares about the job but always hopes to produce a list that is balanced and neutral. He reckons this year's list will not be the best they have produced but will be far from the worst.
The story doesn't end there.
Over the following week Snellgrove will deal with requests by clubs to switch days. Clubs cannot move a game away from an allocated weekend but they can switch the day of the match. Cheltenham, for example, often play a home game on a Friday when there is a clash with the horse racing festival.
Thompson will start dealing with reserve fixtures, academy games and feeder leagues to the Blue Square Premier.
This year when I see some ridiculous fixtures my club have been asked to play I hope I show a little bit more understanding. Though I seriously doubt it.
 
Shida yako wewe ni ushabiki, haya nayosema ya media si umezungumza mwenyewe, sasa ulitaka usijibiwe au. We si ndo ulizungumzia vyombo vya habari vya england. Usichoelewa nilichokisema ni nini au unajilazimisha kutokuelewa? SAF has influence, thats y mambo ya Tony Blair yameingia hapo.
Mambo ya kina Parry na hata Dein nayajua na nimeshayazungumza kwenye post za nyuma, zitafute,sirudii. Kama unataka nikukubalie kila kitu sawa.
Unazungumzia FIFA? Eti FA ni transparent? Usigusie huu mjadala kuhusu FA, ni mpana mno, they are no where near transparency
6a01630241df75970d017ee41e0fcc970d-800wi

If FA not transparent or refs are bought by Manchester United. Then it means EPL, are fixed and the results are planned.
So why do Arsenal, Chelsea,, Liverpool, Man City, etc fans watch a fixed league with so much passion?
They should stop watching EPL if they think FA is Fergie Association. It only means either these fans ( like mi_mdau ) don't have a clue or their accusations aren't true.
 
Last edited by a moderator:
If FA not transparent or refs are bought by Manchester United. Then it means EPL, are fixed and the results are planned.
So why do Arsenal, Chelsea,, Liverpool, Man City, etc fans watch a fixed league with so much passion?
They should stop watching EPL if they think FA is Fergie Association. It only means either these fans ( like mi_mdau ) don't have a clue or their accusations aren't true.
People still watch Serie A na Juve hata baada ya Juve kushushwa daraja. Watu wa mpira hatuko hivyo. Hata mechi za man tunaangalia vile vile. Mpira kama unaupenda utaungalia tu
 
Me nimempenda sana huyu mleta mada amechambua vizur sana, ila angefanya la maana sana kama ataenda kuomba kaz kwenye radio ya wambea wenzie wanafk na majungu studio pale clous, i think atapata kazi inayoendana na yeye

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Andre Marriner ni moja ya marefa au pengine ndo pekee (sina uhakika) ambaye kwa kipindi cha karibuni amechezesha mechi kadhaa za man utd na karibia zote anachapwa. Hii nayo ni kweli, ila asiwepo hata mmoja ambaye hatetereki?? na kiukweli Mechi hizo zote man u anapigwa na timu nzuri, man city, everton, na newcastle ya kina demba ba. Na uzuri ni kuwa mechi hizo zote hazina utata. take an example man u alivyopigwa na everton kimoja msimu huu, walizidiwa. Njoo na mifano zaidi ili tukubaliane.

Je ulitaka Howard webb awe na 100% kwamba mechi zake zote man u ashinde ili uamini yuko biased, ingekuwa ni mpira sasa au maigizo?

Aisee we jamaa ni mbishi sijapata kuona. Yani mashabiki wa Chelsea wamekaa kimya lakini wewe mshabiki wa looserful ndio una hasira kama nini.

Mtabaki kulalamika hivi hivi kila mwaka wakati wenzenu tunabadilishana ndoo na chelsea na man city.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Hilo kosa unalosema halina kichwa wala miguu msimu ulopita lilimtoa Jonny Evans kwa kadi nyekundu Man Utd walipocheza na Bolton Old Trafford, Evans na Stuart Holden waliufata mpira kwa staili ile ile ya Shelvey na Evans, human errors huwa zinatokea hata dhidi ya Man Utd hasa ilipocheza na Newcastle msimu ulopita OT Newcastle walipata penati ya magumashi, je hukuliona hilo? Drogba aliifunga Man akiwa offside je nn kilitokea? mui muue haki yake mpe na siku zote mti utowao matunda ndo wakupopolewa haters mtaifanya Man Utd izidi kupaa, Viva Man Utd. Kaa ukijua football ni game of mistakes England ilifunga goli dhidi ya Germany kwenye world cup but refa akapeta kwa kufikiri mpira haukuvuka mstari, vivyo hivyo England ilifungwa goli na Ukraine kwenye Euro kwa staili hiyo likakataliwa kuwa halikuvuka mstari but replays zilionyesha otherwise, so tuache unazi au walete technology mpirani kitu ambacho kitaharibu ladha ya mpira.

Soma hyo original post uone kilichomtokea Mike Jones (aliyetoa penati kwa newcastle) na Mike Dean aliyetoa goli la offside kwa Drogba.

113c2dd381a47ea359b3414e40bda6ec_view.jpg
 
Aisee we jamaa ni mbishi sijapata kuona. Yani mashabiki wa Chelsea wamekaa kimya lakini wewe mshabiki wa looserful ndio una hasira kama nini.

Mtabaki kulalamika hivi hivi kila mwaka wakati wenzenu tunabadilishana ndoo na chelsea na man city.

Hii post ni yangu, siyo ya mashabiki wa Chelsea. Na sikuongelea Chelsea peke yake au ndo ulivyoelewa. Post mbona inajieleza?
 
Aisee we jamaa ni mbishi sijapata kuona. Yani mashabiki wa Chelsea wamekaa kimya lakini wewe mshabiki wa looserful ndio una hasira kama nini.

Mtabaki kulalamika hivi hivi kila mwaka wakati wenzenu tunabadilishana ndoo na chelsea na man city.

Liverpool kinawauma sana kila wakiona wapinzani wao wa jadi wakiwapita.

It is painful for them kwa kweli ukizingatia they were the most decorated football club in the world.

Pamoja na ku-decline kwao, they are still the most popular football in England.

Wako tofauti kabisa na timu nyingine maarufu ambazo zime-decline kama vile Nottingham Forest.

They have got die hard fans and the most passionate fans in the UK.

Man Utd haina mashabiki wengi locally. In the city of Manchester itself, Man City ina mashabiki wengi kuliko Man Utd.

Mashabiki wa Man Utd wamesambaa hasa nje ya Uingereza because of their recent success.

Unfortunately, for Liverpool, the only thing they can be proud of now is their past history.

Most Liverpool fans are proud of this. And they strongly believe that kuanguka kwao kulisabishwa na wao wenyewe.

Kwa hiyo anaposema mtu kuwa kuanguka kwao kumesababishwa na David Gill huwa nashangaa sana.
 
Hii post ni yangu, siyo ya mashabiki wa Chelsea. Na sikuongelea Chelsea peke yake au ndo ulivyoelewa. Post mbona inajieleza?

Mkuu kama post ni yako, si ungekaa nayo huko huko?

Kwa nini umeileta hapa. Si ili ijadiliwe?

Is so, kwa nini unataka kutufunga midomo kwa kigezo kuwa post ni yako?

Anyone is free to air his/her views regardless of your views.

We are not bound by your views. Neither you are bound by ours.

Kubali kutokubaliana.
 
Mkuu kama post ni yako, si ungekaa nayo huko huko?

Kwa nini umeileta hapa. Si ili ijadiliwe?

Is so, kwa nini unataka kutufunga midomo kwa kigezo kuwa post ni yako?

Anyone is free to air his/her views regardless of your views.

We are not bound by your views. Neither you are bound by ours.

Kubali kutokubaliana.

Angalia alichokisema mwenzio ninayemjibu kabla hujacriticise nilichokisema. Ye si amesema mi naongea sana kuliko washabiki wa chelsea, sasa ninyamaze vipi wakati post nimeianzisha mimi. Sikuanzisha hii post kwa sababu ya washabiki wa chelsea, usichoelewa ni kipi??! Hapa hujafikiria kabisa
 
DAVID GILL- Ni mtendaji mkuu wa Man utd. Anasifika kwa uhodari wake wa kuongoza timu na kusimamia biashara ya club yake. Alipanda kuwa mtendaji mkuu akitokea nafasi ya ukurugenzi wa fedha klabuni hapo. Aliingia kwenye bodi ya FA (chama cha soka cha uingereza) mwaka 2006 kama mjumbe. Kocha wa liverpool (Rafa Benitez) aliwahi kulalamika kuhusu uteuzi wake lakini hakuwa na mtu wa kumsaidia. Mbaya zaidi kwa wapinzani wa Man u ni kwamba October, 2012, David Gill amekuwa makamu mwenyekiti wa FA, na hivyo kuwa na nguvu zaidi. Akishirikiana na uzoefu wa Ferguson, Gill ametumia ushawishi wake (usio wa haki kimpira) kuisaidia timu yake kushinda mechi kadhaa isivyo haki. Mfano refa aliyechezesha mechi yao ya mwisho na Liverpool, alialikwa na Fergie kwenye tafrija (ya Charity), takribani wiki moja kabla ya hiyo mechi. Refa Mike Hasley aliudhuria na alifurahia tukio hilo.


Yaani facts zako ni very misleading. Kwanza kabisa inaonyesha hujui hata tofauti kati ya FA na Premier League. Kwako unaona kama kitu kimoja which is not.

Premier league ni organisation ambayo ina-consist the top English Football League clubs ambazo ni timu 20. The Premier league ndiyo inayoendesha na kusimamia Ligi Kuu ya Uingereza.

FA ni chama cha soka cha Uingereza. FA inasimamia mashindano ya soka mojawapo ikiwa the FA cup, lakini siyo Ligi Kuu ya Uingereza. The FA sanctions all competitive football matches in England at national level, but it does not specifically run Ligi Kuu ya Uingereza.

Nyadhifa za David ziko FA, siyo Premier League. Kama angekuwa na hizo nyadhifa ndani ya Premier League labda tungeweza ku-assume anaweza kuwafavour Man Utd.

Kwa hiyo basi assumption pekee ambayo unaweza kuijenga ni kwamba David Gill anai-favour Man Utd kwenye FA Cup kwa sababu FA ndiyo yenye mamlaka na hayo mashindano.

Na kama unahisi kuwa FA ndiyo wanao-appoint marefa, the fact is that the appointments are made by the Professional Game Match Officials Board (PGMOB), who are also in charge of all Premier League referees.

PGMO consists of a select group who officiate in all Premier League and some Football League matches as well as a national list who officiate in Football League matches.

The FA is only responsible for development of referees at grassroots and amateur level. FA haihusika kabisa na kuchagua nani awe refa katika mechi fulani. Kwa wenzetu wamejipanga vizuri. Usifananishe na kwetu.

Ironically inawezekana FA walikuwa wanaipendelea Liverpool wakati ligi ilipokuwa chini yao maana tokea Premier league inanzishwe Liverpool ime-decline.
 
Yaani facts zako ni very misleading. Kwanza kabisa inaonyesha hujui hata tofauti kati ya FA na Premier League. Kwako unaona kama kitu kimoja which is not.

Premier league ni organisation ambayo ina-consist the top English Football League clubs ambazo ni timu 20. The Premier league ndiyo inayoendesha na kusimamia Ligi Kuu ya Uingereza.

FA ni chama cha soka cha Uingereza. FA inasimamia mashindano ya soka mojawapo ikiwa the FA cup, lakini siyo Ligi Kuu ya Uingereza. The FA sanctions all competitive football matches in England at national level, but it does not specifically run Ligi Kuu ya Uingereza.

Nyadhifa za David ziko FA, siyo Premier League. Kama angekuwa na hizo nyadhifa ndani ya Premier League labda tungeweza ku-assume anaweza kuwafavour Man Utd.

Kwa hiyo basi assumption pekee ambayo unaweza kuijenga ni kwamba David Gill anai-favour Man Utd kwenye FA Cup kwa sababu FA ndiyo yenye mamlaka na hayo mashindano.

Na kama unahisi kuwa FA ndiyo wanao-appoint marefa, the fact is that the appointments are made by the Professional Game Match Officials Board (PGMOB), who are also in charge of all Premier League referees.

PGMO consists of a select group who officiate in all Premier League and some Football League matches as well as a national list who officiate in Football League matches.

The FA is only responsible for development of referees at grassroots and amateur level. FA haihusika kabisa na kuchagua nani awe refa katika mechi fulani. Kwa wenzetu wamejipanga vizuri. Usifananishe na kwetu.

Ironically inawezekana FA walikuwa wanaipendelea Liverpool wakati ligi ilipokuwa chini yao maana tokea Premier league inanzishwe Liverpool ime-decline.

Sijawahi kusema FA, premier league na PGMOB ni kitu kimoja. Ila naona tayaru unajua uhusiano wake
 
kesho tuletee na uchambuzi wa kina wa namna arsenal anavyoshindwa kuchukua ubingwa wa uingereza kwa takribani miaka nane sasa. Tena nasisitizia kwa kina zaidi ya hapa mkuu
 
Una mushkeli kwa sababu uko upande tofauti na wewe au?? Alizoeleza hapo zote ni sababu za kimpira ambazo hamna mtu anazipinga. Wala hakuna mtu aliyesema Man U ni timu mbaya.
Hivi, de gea, ashley young, carrick, cleverley, evans, fletcher. ni world class players?? hizi data zina mushkel na nina mashaka kama huyo mtu ni wa arsenal??
Halafu timu ndogo na kubwa, ambayo ikibebwa itabebeka ni ipi? Kocha mkubwa na mdogo, mwenye uwezekano mkubwa wa kubebwa ni yupi?? Mbona huyo jamaa anaongea obvious na hakanushi kuwa Man U wanabebwa. Anachoeleza hapo ni kuwa Man U ni timu nzuri, na ni kweli. Hajakanusha data zangu (hasa kuhusu marefa)
Huwezi kupata mafanikio ukiwa na wachezaji kama kina Carol,Henderson,Downing,Alen,Caragher na makocha dizain ya Daglish,Hoodgson au Rodgers kwenye soka la ushindani kama EPL.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom