Yaani facts zako ni very misleading. Kwanza kabisa inaonyesha hujui hata tofauti kati ya FA na Premier League. Kwako unaona kama kitu kimoja which is not.
Premier league ni organisation ambayo ina-consist the top English Football League clubs ambazo ni timu 20. The Premier league ndiyo inayoendesha na kusimamia Ligi Kuu ya Uingereza.
FA ni chama cha soka cha Uingereza. FA inasimamia mashindano ya soka mojawapo ikiwa the FA cup, lakini siyo Ligi Kuu ya Uingereza. The FA sanctions all competitive football matches in England at national level, but it does not specifically run Ligi Kuu ya Uingereza.
Nyadhifa za David ziko FA, siyo Premier League. Kama angekuwa na hizo nyadhifa ndani ya Premier League labda tungeweza ku-assume anaweza kuwafavour Man Utd.
Kwa hiyo basi assumption pekee ambayo unaweza kuijenga ni kwamba David Gill anai-favour Man Utd kwenye FA Cup kwa sababu FA ndiyo yenye mamlaka na hayo mashindano.
Na kama unahisi kuwa FA ndiyo wanao-appoint marefa, the fact is that the appointments are made by the Professional Game Match Officials Board (PGMOB), who are also in charge of all Premier League referees.
PGMO consists of a select group who officiate in all Premier League and some Football League matches as well as a national list who officiate in Football League matches.
The FA is only responsible for development of referees at grassroots and amateur level. FA haihusika kabisa na kuchagua nani awe refa katika mechi fulani. Kwa wenzetu wamejipanga vizuri. Usifananishe na kwetu.
Ironically inawezekana FA walikuwa wanaipendelea Liverpool wakati ligi ilipokuwa chini yao maana tokea Premier league inanzishwe Liverpool ime-decline.